Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.
nilishawahi kukwambia kuwa wewe sio mtanzania! unakumbuka?
 
Kumbe hawa wageni wako wengi sana humu ndani. Wanasema ukirusha jiwe gizani halafu ukasikia kilio basi jua aliyetoa mlio ndo kaguswa. Jina lako tu la kihaya nilidhani ungesimama kwwnye ukweli kama mtanzania wa Kagera ambao kwa sehemu kubwa ndiyo wamei feel pinch ya kadhia za hawa jamaa. Mimi niko eneo husika kila baada ya maizi mitatu alichkiandika mwandiahi ni kweli kabisa raia wa maeneo ya mpakani wanaweza kuthibitisha haya. Jiulize maana ya kauli za mara kwa mara za Kafame anaposema mupaka iliwekwa na wazungu tu wala siyo ya kwetu. Unaweza kunipa maana ya hii jauli kwa jicho la tatu? Nina mashaka na uraia wako.
 
Naunga mkono 100%. Umoja wetu wa kiuchumi kati ya TZ, DRC na BURUNDI, mchakato wake uanze sasa, Tuache ugoigoi.
Ila kwa viongozi hawa!, tukicheza tutakosa kotekote.
Badala ya kuwa na mawazo kama haya!, yameacha na kuhamia kuhamasisha uraia wa nchi mbili.
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.

mkuu mbona povu limekuwa zito kuliko la OMO+FOMA. Jinsi ulivyoandika kwa jaziba nafikiri umejitambulisha uraia wako vya kutosha GET PREPARED, hakuna jiwe litakalo baki juu ya jiwe.

kagame si bora kuliko kikwete, hata kama kikwete sio rais bora kwa tanzania ya sasa. kagame angekuwa na akili asingeruhusu kufikiwe hatua ya mapambano ya majeshi ya UN na vibarak wake wa M23,
KOSA LA MWISHO NI KUENDELEA KUATHIRIKA KWA WANAJESHI WA TZ, HIYO ITALETA PICHA KUWA RWANDA NDIYO INAYODHURU WANAJESHI WETU, CAN YOU IMAGINE WHAT WILL HAPPEN IF IT WILL BECOME TANZANIA vs RWANDA?

THINK BIG
 
Watutsi na wanajamii wenzao wale wenye Pua ndefu, shingo ya Upanga, Fizi Nyeusi, wasio na kisigino utawajua tu. Wanaishi baadhi ya maeneo ya Tabora, Kagera na Kigoma kwa majina ya makabila yasiyo yao. Plz inawaomba muache kelele wakati Tunamfundisha adabu Tolu wenu.Akiendela na upambafu wake tutakunywa chai Kigali.

JWTZ @ TPDF wameanza na mtoto M23 atafuatia Tolu anayeishi pale Kigali. Ni kipondo tu kwenda mbele
 
kweli raia wa congo wana haki ya kuishi, nani kawazuia kulinda nchi yao? Congo ina raia 55 million, wana askari 120,000, wana utitili wa utajiri, walinde mipaka yao basi, wasisubiri huruma za manyerere. Katiba inasema jukumu la kulinda nchi ni la wananchi wake wenyewe, sasa kwanini wasijilinde? Nani anailinda tanzania, si wananchi wake wenyewe?

rutajumbukirwa, unachojisahau kimoja hapa ni kuwa watanzania tunamsimamo usiotetereka hasa tunaposimamia jambo tunaloliamini, tulisema ni lazima m 23 wapokonywe silaha tunaendelea kutekeleza pamoja na upinzani mkali kutoka rwanda, sasa ni lazima amani ya kweli maziwa makuu ipatikane na hili ni sambamba na kumwondosha madarakani nyoka kagame ambaye ndiye mchochezi wa migogoro yote ya kijeshi inayoendelea ndani na nje ya rwanda
 
nimefanya kazi kwenye kambi za wakimbizi wa kongo upande wa store wakati uganda na rwanda wakichochea vita vya kongo asilimia kubwa ya vifaa vya wakimbizi kuanzia sabuni,masufulia,blanketi na vinginevyo vilikuwa vikitoka kenya hao wakimbizi walifanya uharibifu mkubwa wa ardhi na hata wafanyakazi wa un miongoni mwao walikuwa wakitoka huko Kenya sioni sababu ya sisi kuendelea kupokea wakimbizi wakati hatufaidiki chochote ni heri tuwazuie huko huko kwani ni wao ndio wanaonufaika kiuchumi na sisi kuendelea kupata hasara
 
mkuu mbona povu limekuwa zito kuliko la omo+foma. Jinsi ulivyoandika kwa jaziba nafikiri umejitambulisha uraia wako vya kutosha get prepared, hakuna jiwe litakalo baki juu ya jiwe.

kagame si bora kuliko kikwete, hata kama kikwete sio rais bora kwa tanzania ya sasa. Kagame angekuwa na akili asingeruhusu kufikiwe hatua ya mapambano ya majeshi ya un na vibarak wake wa m23,
kosa la mwisho ni kuendelea kuathirika kwa wanajeshi wa tz, hiyo italeta picha kuwa rwanda ndiyo inayodhuru wanajeshi wetu, can you imagine what will happen if it will become tanzania vs rwanda?

think big

kuawawa kwa mdhalimu kagame au akibahatika sana kufikishwa icc kujibu mashtaka ya uhalifu wa kivita ndani ya drc na rwanda.
 
Burundi unamwonea kumweka kwenye mpango huo. Burundi ya sasa haiku mali na Tanzania. Hata hivyo ni bora vilevile tuboreshe miundo mbinu yetu ya bandari na vinavyoiunganisha has reli kuliko kuendelea kuamini tu kuwa hawa watu hawatakwenda Mombasa kwa sababu ya umbali! Tunaimba muno kwa kujiaminisha badala ya kutenda.
Kweli we ni mnyamurenge pure. Oneni kiswahili chake..
 
Nimesoma waraka wako nimeshindwa kuelewa;

1.0 Kichwa cha habari na content yenyewe. Kwa nini uliamua kuuita waraka kwa JWTZ??

2.0 Vita ni fedha. Kwa hali ya sasa ya Tanzania hatutakiwi kupigana vita yoyote ile. Nchi iliyoshindwa kujitegemea kibajeti tokea uhuru mpaka leo, bado inategemea misaada ku "subsirdise" bajeti yake halafu ikapigane vita!!!

Nashindwa kuelewa mwandishi kama wewe unameshindwaje kuelewa kuwa Tanzania ya JK hali ya uchumi ni mbaya labda kuliko hata Mkapa alipokuwa akiondoka. Kama serikali inashindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kukosa fedha itawezaje kugharamia vita ambayo ni ghari kuliko miradi ya maendeleo??? Deni la Taifa kila siku linakuwa kama mimba lakini hatuoni kinachofanyika kisha tukapigane vita!!! Ni jambo la kushangaza sana.

Ukweli kama hujui tukusaidie, serikali ya sasa imebaki kulipa mishahara tu na kupiga propaganda kuwa uchumi unakuwa kwa asilimia fulani huku mwananchi wa chini akizidi kuzama katika dimbwi la umaskini.

3.0 Umeshawahi kujiuliza athari za vita tuliyopigana ya kumng'a Iddy Amini?? Ile vita ilikuwa haikwepeki lakini uchumi wa nchi ulitetereka sana, itakuwaje leo Taifa la kujisifu kwa kupewa misaada tukapigane vita??

Kwangu mimi huu ni waraka wa kishabiki na kipuuzi kabisa.

Hilo linaeleweka vita ni fedha lakini lazima ujue kuwa unaweza kutumia fedha(vita) ili uje upate fedha zaidi sawa...kama hapa tukiwaondoa hao m23 na Pk wao tayari tunajihakikishia fedha zaidi na biashara na Congo....hata US ilipoenda kumtoa Saddam ilitumiapesa nyingi but now inajilipa kwenye mafuta au sio....watoto wa mujini wanakwambia tumia pesa ikuzowee..toa pesa upate pesa...huwezijua tuna mikataba gani tutaingia na Congo...
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.
kusoma ni hiari na kuandika pia ni hiari lakini si lazima hata kidogo kuchangia- yawezekana ktk tamadun zenu neno Hiari halipo-tatizo lipo pia kwa rais wa gachacha!
 
maskini, nakuonea huruma. Utaimba huo wimbo wee mpaka utachoka. Hivi bado hujaenda huko kuwasaidia ndugu zako fdlr? Au unaogopa moto!! Stupid is as stupid says.

nashukuru sana kwa matusi yako lakini mwisho wa utawala wa kidhalimu wa dikteta kagame unaelekea ukingoni kabisa.
 
Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani!

Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni usiojua inakokwenda.

Sipendi kuona mwandishi makini anaandika upuuzi, sipendi kabisa. Nilidhani upuuzi unaandikwa na akina Mtikila au wanaotoa comment humu ambao ni watu tu wa kawaida, hata Manyerere? aliyelelewa na kula nafaka kwa Nyerere? Jamani, uandishi Tanzania unaelekea kubaya.

Manyerere ingia google, tafuta Tutsi, then Hima, then Bairu, then Hutu... then utajua tofauti. Kuhusu vita kuhitimishwa Kigali, nadhani Manyerere amevurugikiwa akiri. Vita Enzi hizi ambazo watu wanaangalia uchumi na kushirikiana?

Ona sasa unazungumzia kuingia EAC ikiwa ni mkakati wa Himaya, huoni Kenyatta ana take advantage ya matatizo yetu kujinufaisha? Wakati tunapiga kelele za empire, kupeleka majeshi kuwasaidi wacheza ndombolo, Kenyatta anazindua bandari na kuweka mpango wa kuhakikisha inatumiwa. We upo tu kwenye Hima empire.

Na hujui kuwa ili upigane vita Enzi hizi lazima ui-convice UN, Marekani, etc. Hujui kuwa Congo iko vile kwasababu kuna dola dhaifu, na kuna utamaduni wa uasi tangu Enzi za Mobutu? Sasa unaleta hadithi za Hima empire hapa, kweli nimekudharau, you are an empty basket.
Nenda kwenu pimbi wewe,tulia safishasafisha ihamie mikoa mingine hata kama unakibali tutakung'oa tu we mende...
 
sikutaka kukujibu, lakini ngoja nijaribu. Hoja yako ya kwanza sijajua wapi huelewi. Unaweza kuwa sahihi kwa sababu headline za kifilosofi huwa zinawasumbua wengi pale wanapojaribu kuunganisha na hoja iliyo ndani. Pili, hii vita inagharimiwa na un, ndiyo maana kuna majeshi hadi kutoka afrika kusini. Tunachojaribu kukifanya hapa ni kuhakikisha tunakuwa na minimum causalities kwa askari wetu. Tatu, kuna maeneo ambayo amani haiji isipokuwa kwa ncha ya upanga! Hatushangilii vita, lakini tuangalie namna kagame anavyosumbua eneo hili la maziwa makuu.

heri watanzania tufunge kula mwezi lakini utawala dhalimu wa kagame ukomeshwe hapo kigali.
 
Nakubaliana twaachie EAC yao tuunde Umoja mpya na DRC iliyokombolewa tutakuwa Super Power
 
nimesoma waraka wako nimeshindwa kuelewa;

1.0 kichwa cha habari na content yenyewe. Kwa nini uliamua kuuita waraka kwa jwtz??

2.0 vita ni fedha. Kwa hali ya sasa ya tanzania hatutakiwi kupigana vita yoyote ile. Nchi iliyoshindwa kujitegemea kibajeti tokea uhuru mpaka leo, bado inategemea misaada ku "subsirdise" bajeti yake halafu ikapigane vita!!!

Nashindwa kuelewa mwandishi kama wewe unameshindwaje kuelewa kuwa tanzania ya jk hali ya uchumi ni mbaya labda kuliko hata mkapa alipokuwa akiondoka. Kama serikali inashindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kukosa fedha itawezaje kugharamia vita ambayo ni ghari kuliko miradi ya maendeleo??? Deni la taifa kila siku linakuwa kama mimba lakini hatuoni kinachofanyika kisha tukapigane vita!!! Ni jambo la kushangaza sana.

Ukweli kama hujui tukusaidie, serikali ya sasa imebaki kulipa mishahara tu na kupiga propaganda kuwa uchumi unakuwa kwa asilimia fulani huku mwananchi wa chini akizidi kuzama katika dimbwi la umaskini.

3.0 umeshawahi kujiuliza athari za vita tuliyopigana ya kumng'a iddy amini?? Ile vita ilikuwa haikwepeki lakini uchumi wa nchi ulitetereka sana, itakuwaje leo taifa la kujisifu kwa kupewa misaada tukapigane vita??

Kwangu mimi huu ni waraka wa kishabiki na kipuuzi kabisa.
mkuu vita isiyoepukika sio ghali hata kama itachukua uchumi wote wa nchi. Ila vita inayoepukika ni ghali sana kwa sababu haina umuhimu hata kama ni vita dhidi ya majambazi
 
Manyerere,

Kweli una mawazo ya al-qiada. kweli kuna mfugaji ambaye amewahi kuchoma nyumba na mashamba? huu ni uchochezi kabisa, uliza mtu yeyote kutoka Kagera, hawa watu wanaishi kwa kuliwa. Wanaliwa na police, immigration, idara ya wanyamapori burigi, nk. Walikuja kwasababu kwao hakuna ardhi, huo ndo ukweli, wakati mipaka inawekwa walipewa ardhi kidogo, basi.

Lakini usieneze chuki eti wanachoma mashamba, etc, nenda kafanye utafiti ache jaziba, na usilifanye gazeti lako kuwa la itikadi la ki-nazi, we ni mwandishi wa habari una wajibu wa wananchi, wasomaji na kuleta utengamano wa kijamii na maendeleo sio kuchochea chuki, make makala yako imejaa jazba sana
Hao wanaoteka mabasi,wezi wa mifugo,wanapiga matukio yakijangili huwaoni,mtatoka tu bongo nyie mabhahau..
 
Back
Top Bottom