Tatizo una Munkari halafu povu linakuwa jingi, matokeo yanaathiri uwezo wa kufikiri....Hayo yote nayajuwa kuliko wewe unavyofikiri...nahitaji aya ulikotoa haya hapa chini na si vinginevyo.
Kweli nimeamini wewe mtupu.
Pale aliposema twaeini mkate huu....... nimwili wangu.... hii ni damu yangu damu ya agano...... alimanisha ule mkate na divai ya kutoka dodoma?
Unayajuwa maandiko, yeye alifundisha kwa mifano wala hakusita kuwaeleza wanafunzi wake maana, nitakueleza!.
Mada ya mpende jirani yako katika mkutada huu au mada hii, kati ya wakongomani na wanyanrwanda wa pale muleba nani anapaswa kuwa jirani yako? Umeshindwa kuwapenda hawa ambao unakula na kunywa nao kila siku umewafukuza, je hao ambao huli wala kushinda nao utawapenda vipi? haiwezekani bali mnafiki ndiyo hujifaraguwa kukoti maandishi akidhihaki uhalisia na maana halisi wala asiyatende, naye hutenda yagizani. jitathimini kama fimbo ya mbali yaweza uwa nyoka na maana halisi ni nini.
Unawezaje kuwapenda wakongo usiyewajuwa kama umeshindwa kuwapenda waliyeachwa na Hayati JK nyeree pale Muleba?
hata mambo ya dini yanakupiga chenga, mpende kwanza huyu unayemfaham ndipo uweze kumpenda mungu aliyembalia nawe