Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Manyerere nakupongeza sana,
Hakika umeitikia wito wangu niliowashauri wanahabari hapo wiki jana,
Tunataka waandishi wanaosimamia ukweli kama wewe, wanatanguliza maslahi ya taifa kama wewe, wenye uzalendo kama wewe,
Hawa wachangiaji unaoona wanabwabwaja hapa ndio wale wale wanaosubiri ndoto za BAHIMA,
Amani ya eneo la maziwa makuu haiwezi kupatikana kama Kagame hataondolewa madarakani kwa vikwazo vya kiuchumi kisha kwa mtutu wa bunduki,
Mwenye uwezo wa pekee katika Afrika hii wakumuondoa Kagame madarakani kwa mtutu ni Tanzania tu,
Naaaam kazi imeanza Goma, kwa mwavuli huu huu wa UN tutahitimisha Ikulu ya Kigali
Asante sana mkuu, umesuuza kiu yangu ya kuona mwanahabari wa Tanzania akisimama wima kama wewe!