Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

Balali, wewe ni Mtanzania kweli? Mbona majibu na jazba zako ni kama za Kitutsi?


Wewe mzee unashusha heshima yako.

La kwanza, hii tabia ya kukosa hekima, adabu na busara kuvuwa watanzania wenzenu Uraia mnaitowa wapi? kwa akili zenu zilivodumaa mnataka wote tuwe na mwelekeo mmoja? kupinganga hoja na mitazamo inawezaje kuwa sababu ya kuniondolea uraia wangu?

La pili hebu soma maelezo yako hapo juu kisha ulinganishe na nilichokiuliza hapa chini kama vinaendana au kuhusiana, hii pia inaendele kushusha zaidi heshima yako.
quote_icon.png
By Balali
Huna haja ya kupamba uwongo pasipo na jambo hilo, nataka utamke kwamba nyerere aliwafukuza wakenya, Je nikweli alishawahi wafukuza wakenya?

Acha kunyonga historia kwa ujinga, lini na mwakagani wakenya walifukuzwa Tanzania? Huu uzushi ndiyo unatufanya watanzania kubakia masikini siku zote kwa hadithi za vijiweni na utapeli wa maneno. wenzetu wanaonga mbele kwa maendeleo kiuchumi sisi yetu majungu na fitina.
 
Balali, wewe ni Mtanzania kweli? Mbona majibu na jazba zako ni kama za Kitutsi?
Wewe mzee unashusha heshima yako.La kwanza, hii tabia ya kukosa hekima, adabu na busara kuvuwa watanzania wenzenu Uraia mnaitowa wapi? kwa akili zenu zilivodumaa mnataka wote tuwe na mwelekeo mmoja? kupinganga hoja na mitazamo inawezaje kuwa sababu ya kuniondolea uraia wangu?La pili hebu soma maelezo yako hapo juu kisha ulinganishe na nilichokiuliza hapa chini kama vinaendana au kuhusiana, hii pia inaendele kushusha zaidi heshima yako.
By Balali Huna haja ya kupamba uwongo pasipo na jambo hilo, nataka utamke kwamba nyerere aliwafukuza wakenya, Je nikweli alishawahi wafukuza wakenya?Acha kunyonga historia kwa ujinga, lini na mwakagani wakenya walifukuzwa Tanzania? Huu uzushi ndiyo unatufanya watanzania kubakia masikini siku zote kwa hadithi za vijiweni na utapeli wa maneno. wenzetu wanaonga mbele kwa maendeleo kiuchumi sisi yetu majungu na fitina.
 
hawa dawa yao ni ndogo tu,
tukisha wafurusha hao kenge wake kutoka DRC tuweke base ya kijeshi huko ili wasijejipanga tena badae wakarud kuendeleza dhulma na ufedhul wao dhidi ya wakongomani..
hapo jeuri ya huyo PK itakua imefka kikomo.
 
Kwanza nikupongeze Manyerere kwa uzalendo ulionao,mimi binafsi naunga mkono hoja ya JWTZ kuhakikisha wanafika Kigali,labda niseme kwanini Kigali? siku zote unaposhughulika kupata suluhisho la jambo lolote ni vizuri kukishughulikia chanzo,na chanzo cha M23 ni Kigali hata kama JWTZ watawatoa M23 ktk mipaka ya DRC ni lazima watarudi Rwanda na hilo limejidhihirisha kwani Kagame ameshapeleka kikosi mpakani kujihami watakapo ingia kwao,na kitendo cha kuwaacha mpakani ni sawa na daktari anaempa mgonjwa dawa nusu dozi! tatizo ni lazima limalizwe kabisa! viva JWTZ mpaka Kigali,aluta kontinua!
 
nani ambae ataishi milele bob??kuna siku utakufa tu so usiogope kufa mtoto wa kiume...tena ni jambo la faraja ukifa unapigania heshima ya nchi yako.

mkiwa mbele ya computer zenu mnajiamini sana! ila tulio site tunajua tunachoongea! lakini kumbuka jeshi lipo kwa sababu wananchi wanaogopa kuuawa (including wewe)!
 
Wewe jaribu ufike kigali watu wanatembea na magold na simu za bei mbaya 24hours bila wasiwasi,jaribu bongo kama hawajakutoa shingo! uliza vizuri ni nchi iliyo na amani kuzidi nchi zote katika ukanda huu,we sema unajikanyaga kwasababu unajua ulichofanya rwanda unaogopa kuulizwa,wewe njoo tu uombe msamaha,utubu dhambi zako utasamehewa.
Maendeleo yanayotokana na wizi wa maliasili ya DRC.
 
Soma vizuri post yangu, nikutukana kwasababu umekosa adabu na hekima kunivuwa urai wangu kwa ujinga tu.

Hapo juu umepinda pinda na porojo za kutosha naomba majibu kama nilivouliza mkuu acha siasa na vijembe.

"Discussion is an exchange of knowledge, argument is an exchange of ignorance"
 
Sion sababu wala kushangaa maneno yako.

Baada ya General Uimwengu kutofautiana na serikali ya ccm alitakiwa kuondoka haraka nakwamba yeye sio raia

Baada ya ponda kutofautiana na serikali ya ccm anapewa uraia wa burundi sijuwi inaanzia wapi

Na wengineo, wewe unanipa mimi uraia wa ambao siyo wangu unakilia timamu wewe? unanifahamu mimi? unapaswa kujibu hoja nasio kunitowa/kunivua uraia wangu mjinga wewe.

Watu wapumbavu na wajinga kama wewe siku zote hujadili watu badala ya hoja, huo ni uzuzu baada yakukosa cha kuchangia au huna lakujadili.

1. Hebu nipe sababu kuu na za lazima tatu kwanini tuingie vitani na wanyarwanda, nataka tatu tu za msingi.

2. Kama wewe ni mzalendo wa kweli nataka utueleze umepambana vipi na serikali hii kuhakikisha kwamba vijana kwa maelefu wanaoteketea kwa dawa za kulevya wanaokolewa? au uchungu wako nikwa wanyarwanda na hawa wakwetu hawana maana? huo ndiyo uzalendo na uraia unaojivunia-kuwakombowa wakongomani huku kwetu tunaangamia kwa maelfu? huwezi peleka fagio kwa jirani yako kumsaidia usafi na kumsengenya ilhali kwako kumesheheni uvundo!

Nipe maelezo ya hayo machache, halafu tupime uzalendo wako kama ni zaidi ya huu wangu wakutaka kwanza tuisimamishe Tanzania katika amani, haki na usawa na watanzania watimiziwe haki za masingi dhidi ya maradhi, ujinga na umasikini.

Watu wenyeakili fupi na za kijinga daima hutafuta ufumbuzi wa migogoro kwa vita na mauwaji bali welevu na waliomakini hujitahidi kadri ya uwezo wao kuiepuka vita maana madhara ya vita na visasi visivyo na tija huleta matoke mabaya na pengine kwa vizazi na vizazi na hata karne kadhaa baadaye, haya hamuyaoni kwaababu kwenu short cut ndiyo njia muitakayo.

Tutakusaka na kukunyan'ganya Uraia tuiliokupa, maana huna adabu unatutukana ndani ya nchi yetu. Urudi kwenu Rwanda, endelea kututukana. Kama unafikiri watanzania wamelala unjidanganya sana.
 
"Discussion is an exchange of knowledge, argument is an exchange of ignorance"


If and only if the statement you posed could accurately bear the answers prior to what was asked. The naked brain

justified by its poor response when encountered with minor problems.




Kindly any response on this???

quote_icon.png
By Balali

Sion sababu wala kushangaa maneno yako.

1. Hebu nipe sababu kuu na za lazima tatu kwanini tuingie vitani na wanyarwanda, nataka tatu tu za msingi.

2. Kama wewe ni mzalendo wa kweli nataka utueleze umepambana vipi na serikali hii kuhakikisha kwamba vijana kwa maelefu wanaoteketea kwa dawa za kulevya wanaokolewa? au uchungu wako nikwa wanyarwanda na hawa wakwetu hawana maana? huo ndiyo uzalendo na uraia unaojivunia-kuwakombowa wakongomani huku kwetu tunaangamia kwa maelfu?

Huwezi peleka fagio kwa jirani yako kumsaidia usafi na kumsengenya ilhali kwako kumesheheni uvundo!

 
Tutakusaka na kukunyan'ganya Uraia tuiliokupa, maana huna adabu unatutukana ndani ya nchi yetu. Urudi kwenu Rwanda, endelea kututukana. Kama unafikiri watanzania wamelala unjidanganya sana.


This should be mulugo's product!
 
Maendeleo yanayotokana na wizi wa maliasili ya DRC.


But in our lovely Country -Tanzania everything being stolen and transferred to abroad anonymously, can you discuss this against your statement so that the two are distinguishable?
 
Kwanza nikupongeze Manyerere kwa uzalendo ulionao,mimi binafsi naunga mkono hoja ya JWTZ kuhakikisha wanafika Kigali,labda niseme kwanini Kigali? siku zote unaposhughulika kupata suluhisho la jambo lolote ni vizuri kukishughulikia chanzo,na chanzo cha M23 ni Kigali hata kama JWTZ watawatoa M23 ktk mipaka ya DRC ni lazima watarudi Rwanda na hilo limejidhihirisha kwani Kagame ameshapeleka kikosi mpakani kujihami watakapo ingia kwao,na kitendo cha kuwaacha mpakani ni sawa na daktari anaempa mgonjwa dawa nusu dozi! tatizo ni lazima limalizwe kabisa! viva JWTZ mpaka Kigali,aluta kontinua!

Hivi unadhani kuingia Kigali ni rahisi? Udogo wa Rwanda sio urahisi wa vita, hata Cuba na Israel ni Ndogo kieneo, Kagame has one of the strongest army in Africa, jeshi lake Lina wana jeshi 61,000 very motivated, over the years Kagame ameinvest heavily kwenye jeshi, Ana zana zA Kisasa, zikiwemo ndege za Kisasa na helicopter, hili jamaa linatumia sehemu Kubwa ya Bajeti yake kwenye jeshi.
 
Hakika ndani ya nchi watutsi wengi!!! Tukisoma Tunapata jibu kama UPAYUKAJI WA FIDO DIDO
 
Tutakusaka na kukunyan'ganya Uraia tuiliokupa, maana huna adabu unatutukana ndani ya nchi yetu. Urudi kwenu Rwanda, endelea kututukana. Kama unafikiri watanzania wamelala unjidanganya sana.

Mmmh...Humu inaonekana kila mtu ni afisa uhamiaji
 
Manyerere, nilikuwa napenda sana kusoma makala yako Rai, na nilikuwa nakuona mwandishi mahiri sana, nilikupenda, ila leo ume-ni disappoint, najua hapa utapata kudos nyingi kwasababu ya aina ya watu wanaojadili mijadala hapa, lakini sikutegemea kuwa mwandishi wa hadhi yako achochee vita na nchi jirani, hii haipo duniani mwandishi wa habari kuchochea vita waziwazi, fanya utafiti. Kisha unakuja na himaya ideology, hii nimeifanyia utafiti na nita-post walaka original ambao umekuwa ukitumiwa kueneza hii campaign
Vipi leo Koba hayupo akusaidie we Mtusi extremist, kwa nini usome habari za mwandishi mahiri wa Tanzania usiende kwenu kusoma ule upuuzi wenu wa Umuseso na Rwanda news.Shenzi type wewe na ndugu zako wote.Tutapiga mpaka Kigali tumuondoe yule kimbau mbau
 
Back
Top Bottom