Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Haina haja ya kuomba msaada toka mashirika ya kijasusi nje ya nchi, mipango ya mauaji inafanywa nje nje ila jeshi la polisi na serikari kwa ujumla wake inawalinda kuendeleza ushenzi wao. Jk wachukulie hatua mapema haina haja ya kutudanganya kuwa huwafaham mpaka msaada toka nje
 
Ally Kombo, hebu tuthibitishie hili. Maana mpaka dakika hii sijaamini kama waislamu wa TZ wamefikia hapa. Kwa hiyo huyo Padre ameuwawa na waislamu na yule waliyemkos wanjutia kumkosa... Wazanzibar wakumbuke na huku Tanganyika kuna waislamu wa kizanzibar... Tukishawasamehe saba mara sabini, hiyo ya sabini na moja itakuwa vurugu
 
Kuna genge la watu wanataka madaraka kwa nguvu, sasa wameona hii ndiyo njia pekee ya kuisambaratisha Tz ili kila mmoja apate kuongoza!! Yule jamaa aliyesema chura sijui kafanya nini kwwenye nec sijui, sina imani naye jamani mtaniwia radhi, ila huyoooo jamani.
 
Je, tunauthibitisho gani kuwa huo ni waraka wa UAMSHO?
Kama je mtu ana wa-frame?

Ila kama ni kweli basi waangamizwe from the face of this earth.
Na hao viongozi wao serikalini na nje ya nchi watakamatwa
 
Uislamu ni dini ya amani lakini wajinga wachache ndio wanao-utukanisha uislam uonekane ni usheitani,wasilamu msikubali hilo.

Wewe acha kurud nyuma unajua ksa cha Mtume (s.a.w) kuamrishwa kupigana vita vya badr n kuondoa dhurma ya makafir hvyo waislamu wamevumilia baada ya kupata uhuru mpaka Leo wameshndwa na Inshaallah ktaeleweka mwaka huu
 
Mi kila nikiwatafakari sipati jibu huyo ala ni ala wa machafuko kila siku anadai damu tu ndugu zangu amkeni nyie ni watu wazuri sana ila ile roho inayotenda kazi ndani yenu ndio iyowafanya muonekane magaid mnatumiwa bila kujijua
hivi uislamu unaruhusu kuua? ndivyo inavyotakiwa? sasa wakiua mwisho wa siku nao ipo siku watakufa tu wanapata faida gani?
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!

Aliuliwa Osama mmefanya nini? Subirini sasa nyie wote msalimie TUMSIFU YESU KRISTO!
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona. Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV. Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi. Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!
Wacha kutisha watu nyuma ya keyboard wewe...Ushamwaga damu ya wangapi?? Au hujui maana ya kumwaga damu njoo MUSOMA ndio utajua nini maana yake... Unatoka povu nyuma ya keyboard utamwaga damu kulipiza kisasi wakati unaogopa hata kuugua malaria....
 
Mbona kama tunadanganywa hapa kama watoto jamani? Waraka gani utaandaliwa bila sahihi/saini ya taasisi kama hiyo?
Watch out, TISS in action!
 
Ndugu hebu someni waraka huu uliosambazwa Zanzibar muone tunakoelekea

attachment.php

Jk ana kazi ya ziada na hawa ndugu zake
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!

SO MTU WETU KAUAWA BILA HATIA JANA HUKO ZANZIBAR...............NA SISI TULIPIZE KISASI!!!?tukifanya hivyo wote dunia hii atakaa nani!!?mbona mnafikiri kwa kutumia masaburi nyie!!?nani anawaonea kama mnavyoaminishwa!!?kenge kadhaa zinatumia jina la uislamu kutekeleza matakwa yao ya kifirauni kwa kivuli cha dini na nyie kichwa kichwa mnaingia na kuwaunga mkono kwa ushabiki wa kipuuzi!nani yuko nyuma ya huu upuuzi wa uamsho!??bakwata wanautambua!?hakuna nchi isio na utaratibu.ziko mamlaka zinazoratibu na kusimamia shuguli hizi za kiimani,lakini mnachofanya nyinyi ni kama kuna wapumbavu tu wachache ndio wanowaza kwa niaba yenu!..............na sisi tutachoka kuuawa kikondoo hivi na walau kwa muda na sisi tutaweka ustaarabu pembeni na haitakalika hii nchi nakwambia!
 
aliuliwa osama mmefanya nini? Subirini sasa nyie wote msalimie tumsifu yesu kristo!
halafu naona kama hii vita ni ya kupinga ukatoliki,
kwani ninyi mnashindwa kumsifu yule jamaa aliyekufa bila kufufuka, sisi tutamsifu mpaka tunaingia kaburini!
 
Kama kweli waraka huu ulifahamika na usalama wa taifa wakachelea kuchukua hatua basi kuna jambo ambalo sisi hatulijui!!
 
Kiini macho cha kuficha ukweli....Sisi tunataka kupewa majibu yenye tija sio upuuzi wa kutuambia uamsho au mama yake na uamsho, huo uamsho upo nje ya tanzania. Hao wanaojiita usalama wa taifa wanakula kodi zetu wamesahau kazi zao wameishia kueneza siasa na kulinda viongozi.......Binafsi sitaki huu urojo/----- nataka majibu yenye tija, mkumbuke sponji likijaa maji linaanza kuvuja.
 
Wewe acha kurud nyuma unajua ksa cha Mtume (s.a.w) kuamrishwa kupigana vita vya badr n kuondoa dhurma ya makafir hvyo waislamu wamevumilia baada ya kupata uhuru mpaka Leo wameshndwa na Inshaallah ktaeleweka mwaka huu

Jamani dhulma ni neno la jumla mno na ni neno ambalo linatakiwa litumiwe na mtu asiye na maarifa wala hekima,kwa kadri ya niishivyo mateso shida nizipatazo mimi kwa kiasi kikubwa sana ni sawa au nafuu kwa baadhi ya rafiki zangu waislam,wapo ambao wanashida zilizo nafuu ya zangu,wapo ambao shida zetu zinafanana,na wapo ambao shida zao ni kubwa kuliko zangu, sasa unapoandika dhulma kwa Waislam una maanisha nini hasa, au unamaanisha ni kipi ambacho mimi napata kwa kuwa tu ni mkristo ambacho wengine hawapati kwa kuwa tu ni waislam ?
 
siamini kama waraka huo umetoka kwaUAMSHO. kWA WATU WALIOAHI KUSOMA NYARAKA MBALIMBALI ZA UAMSHO ATAKUBALIANA NAMI KUWA HYO SI STAILI YAO HATA NEMBO ILIOTUMIKA SIDHANI KUWA YAO NEMBO YAO NI KAHIIHAPA.
police-jumiki-504x272.jpg


MARA ZOTE WALIKUWA SIWOGA WAKUWEKA SAHIHI YAO NA KUJITAMBULISHA. WARAKA HUO ULOANDALIWA NA WATU WASIOITAKIA MEMA NCHI YETU KWA LENGO KUKAMILISHA MALENGO YAO POTOFU. HATA KISWAHILI KILICHOTUMIKA SI CHA UALAMAA NA HIVYO KUZIDI KUTI MSAKA UHALALI WAKE. NADHANI IPO HAJA YA INTERPOL NA JESHI LA POLISI KUFUATLIA KWA INA MTUNZI WA WARAKA FITINA NA KUWEZA KUJUA AZMA YA KUBANIKA UPUUZI HUU KWENYE UKUMBI. FUMO HUU NI SAWA NA VIPEPWRUSHI VILIOKUWA VIKISABBAZWA AMBAVYHAVIANA MBELE WALA NYUMA KATIKAMANISPAA YA ZANNZIBAR.
JAMANI TUJIEPUSHE NA FITINAAMBAZO LENGO LAKE KUTUFARAKISHE. MTU ANAEIJUA VIZUI ZANZIBAR NA WATU WAKE BASI INAMUWIA VIGUMU KUAMINI YANAYOTOKEA VISIWANI KAMA KWELI VINA MKONO NA WATU WAZANZIBAR

WAZANZIBARI HUKO NYUMA WALOPKUWA WAMETWALIWA NA WAKIRISTO WAKIRENO WALIBAKI KULALMA MPAKA WALIPOKWENDA KUOMBA SAADA KUTOKA OMAN KUJA KUWAONDOSHA WARENO. MATOKEO TUKAPATA MTAWALA MWENGINE. HATA MAPINDUZI TENA NI WATU KUOKA NJE YA ZANZIBAR AKINA OKELLO NA ENZAKE WAKAJA KUWAFUKUZA WAARABU LAKINI WAZANZIBARI WALIBAKI MAYAHEN KUENDELEZAUPOLE WAO.

JAMANI MSIKIPAKE UCHAFU KISIWA CHETU KA MATALABA YENU KILLA HERI NAOMBA KTOA HOJA
A%20S%20angel.gif
 
ndg.waislam.hunaweza kudhani unamtolea mungu ibada kwa kumwua mkristo ambae ni ndugu yako.kumbe unamtolea ibada shetani.nitawapa stori katika bblia ya mtu anaeitwa saul.au paulo.[wagalatia 1;13-14].inasema.13.maana mmesikia habari zamwenendo wangu.wa zamani katika dini ya kiyaudi kwamba na liliudhi kanisa la mungu kupita kiasi nikiliharibu.14.nami niliendelea.katika dini ya kiyahudi kuliko wengine walio hirimu zangu katika kabila yangu.nikijitahidi sana katika kuyashika mapokeo ya baba zangu.ndg zangu waislam.huyu paulo aliwa uwa wakristo sana akizani anaitetea dini na kuyafanya mapenzi mungu.kumbe siyo.kumbuka badala ya kujenga heshima ya dini mtaifanya ionekane vibaya machonipa watu nakuaribu heshima alioijengea dini ya uislam.mtume muhamad.hatukatai mnaweza mkawa na hoja za msingi kuhusu zanzibar.lakini sikwaku muua ndg yako mkristo.ni dhambi mbaya sana.
 
Hayo ndiyo yatakuwa maoni ya Uamsho;''Hawa watu hawajui sisi tuna nguvu kiasi gani,na balaa tunayoweza kuleta.They are underestimating the enemy'' Maoni ya Polisi itakuwa kukubaliana kabisa na maoni hayo,kwamba this is a case of underestimating the enemy,those 'terrorists' are underetimating the ability of the Police.
 
Ukizoa kusoma kinyumenyume na akili inaenda kinyume,shame on them
 
Back
Top Bottom