Waraka wa Tambwe Hizza kwa watanzania

Waraka wa Tambwe Hizza kwa watanzania

Kwa u.p.u.p.u huu wa Tambwe lazima kila mwenye timamu atawashwa! Pindi atakapofunguwa hapa.
 
Gamba bana,
Njaa + u-gamba = umbumbumbu.

Msingi mkuu wa hoja ya Tambwe ni kua why CDM walikubali kufanya mkutano ndani ya muda wa sensa.

Critically bwana Tambwe atueleze kama sensa ilibidi iheshimiwe kiasi hicho mpaka watu wasiende mikutanoni, why maofisi yasingefungwa basi watu wasiende kazini??
 
Kwa waraka huu haikosi ana laana ya kumlala mama yake!
Huku Nauye, huku Chemba na huku Tambwe. Kwa nini Chama Cha Mwabepande kisife?!
 
This country bwana! yaani hata kilaza Tambwe anaweza kutoa waraka na great thinkers wakaujadili? Tambwe hana la kuweza kujadiliwa humu jamvini ni kapuku mzungu wa reli tu hana lolote wala jipya zaidi ya kuchumia tumbo tu.

"kwanini chadema ilishidwa vibaya kwa kupata viti 23 kati ya 239 kwenye uchaguzi uliopita?"

Hata hoja yake hii nayo unaona haina maana kwenu kuijadili ili muweze kujitambua mlipo??basi mtachukua muda mrefu sana kuiondoa ccm madarakani kwa upofu wa kuitakia wa namna hii wa kushindwa kuamini mnachokiona na kubaki mnaoana tu kile mnachoaminishwa na hiyo safu yenu nyembamba ya uongozi
 
Tambwe Hiza, with all due respect wewe ni kijana wa vijiweni Temeke, ninakufahamu vizuri.

Katika suala hili Polisi na waliowatuma wamefanya kitendo kisichokubalika kwa hali yoyote ile, kuua mwandishi wa habari, asiye na silaha, akiwa kazini,huku amezungukwa na Polisi wenyewe, wengine wakiwa wa vyeo vya juu kabisa mkoani Iringa.

Tatizo hili ni kubwa na lina msingi katika ukosefu wa utekelezaji wa General Police Orders na mafunzo ya vijana na maofisa wa leo.
kwamba Serikali imejikanyaga sana katika suala hili ni dhahiri.

Aidha kwa malayman kama sisi , Polisi sasa imekuwa dubwana lisilo na kanuni za uongozi unaoeleweka, na taswira inayotoka sasa ni kwamba, polisi wako juu ya sheria.
Kwa vyovyote vile, maujai ya kinyama ya Nd Mwangosi hayakubaliki, kwa vile yalikosa sababu na maelezo ya aina yoyote ile.

Kwa vile wewe ni pro-gamba lakini ktk hili umekuwa honest and objective, kula LIKE!

Hata hivyo ni ukweli ulio wazi kama jua kuwa, Hizza anawakilisha idadi kubwa sana ya aina ya wanachama wa CCM. Ni wachache sana wenye kuona mambo kwa uhalisia na kuyachambua inavyostahiki.
 
Kama vile Jakaya Kikwete alivyofanya kila mtu ajione kuwa anaweza kuwa rais wa nchi hii,
Kadhalika Tambwe Hizza naye atawafanya na wale wagonjwa wa akili pale Mirembe wajione kuwa wao ni vipaji maalum!
 
Nakujibu moja moja:

1:kwanini chadema ilishidwa vibaya kwa kupata viti 23 kati ya 239 kwenye uchaguzi uliopita?

Sijui ni uchaguzi upi unao uzungumzia na sielewi uchaguzi unahusianaje na thread?

2:Je kulikuwa na ulazima kwa CHADEMA kukaidi amri ya polisi ya kusubiri sensa ipite?

CHADEMA walizuiwa kufanya mikutano ya hadhara na wao wakaamua kufanya vikao vya ndani na wakapigwa mabomu wakiwa ndani(kielelezoo naambatanisha)
ofisi%2Bya%2BChadema%2BNyololo%2Bikifuk%2Bmoshi%2B%2Bwa%2Bmabomu.JPG


3:Je, ukaidi wa CHADEMA siyo chanzo cha maafa yaliyotokea na yanayotokea mara kwa mara nchini?

Fafanua CHADEMA walikaidi nini(refer #2)...na kwa nini mara kwa mara?

4:Je, ingekuwa sawa kwa jeshi la polisi kuwaachia CHADEMA kufanya shughuli ambayo walikwisha wazuia wasiifanye?

Wangewaacha tu kwa kuwa hawakuwa wanafanya mkutano wa hadhara

5:Je, polisi ingewaachia kufanya jambo ambalo walikwishawazuia wangekuwa wanatimiza sheria na wajibu wao?

Hapo sijui una maana gani

Atleast wewe umejitahidi,ntakusaidia ulimoteleza katika majawabu yako kwa kuwa naelewa mnalo tatizo la ufahamu mashabiki wengi wa chadema.


1:"Sijui ni uchaguzi upi unao uzungumzia na sielewi uchaguzi unahusianaje na thread?"-

jibu:Ni wazi uchaguzi pekee wenye viti 239 vilivyo wazi utakua ni uchaguzi mkuu uliopita 2010 hili haliitaji degree kulijua hata illeterate anaelewa kirahisi tu unless awe amechagua kutoelewa kwa ukaidi tu wa kutaka kuuma maneno ama kuzima hoja kijanja baada ya kukosa hoja!
Kuhusu uchaguzi unahusianaje hili naomba niwaachie viongozi wa m4c kama wapo humu wakusaidie maana katika hali ya kawaida hakitajwa chama cha siasa bila kuutaja uchaguzi,kushika dola kupitia njia ya sanduku la kura kwenye chaguzi ndio lengo kuu la chama chochote cha kisiasa ukiondoa NGO'S

2:CHADEMA walizuiwa kufanya mikutano ya hadhara na wao wakaamua kufanya vikao vya ndani na wakapigwa mabomu wakiwa ndani

Mkutano wa ndani maana yake nini labda?ukiomba kibali cha kufanya mkutano wa hadhara ili kuihutubia hadhira(wananchi) jangwani ukakatazwa na kupewa sababu then wewe ukaenda kufanya mkutano huo ndai ya ukumbi wa diamond jubilee na kuwahutubia watu walewale ndio mkutano wa ndani?

3:Fafanua CHADEMA walikaidi nini(refer #2)...na kwa nini mara kwa mara?

jibu:walikatazwa kufanya mkutano wa hadhara wakabadili venue na kuufanya mkutano ule ule walioomba kuufanya wakataliwa wakaenda kuufanyia ukumbini na kuubadilisha jina kuuita "mkutano wa ndani"

4 na 5 zako hazina maana ndio mana nimeziacha
 
Watu wakisha kuchoka, hakuna hata haja ya kuoshwa nyota!
 
Acha uvivu wa kufikiri ,suala sio CDM na CCM .Hapa cha kujadili ni Kitendo cha polisi kutumia nguvu kubwa kiasi kile mpaka kupelekea mauti ya Mwongoso. Usitake kupaka ukweli wa mambo rangi kwa mashairi yasiyo na vina ,beti wala mizani kwa kuhalalisha kilichofanywa na polisi kuwa ni sahihi.Zipo njia za kupambana na wanaovunja taratibu/ maagizo ya serikali .Usihalalishe uharamia ule kwa chuki na ushabiki wa kivyama,makala hii imeegemea kiushabiki zaidi na si uhalisia/ukweli.
Tatizo langu ni mbona chadema wanaachwa kwenye hili la kifo cha mpendwa wetu mwangosi ilhali walitakiwa kuwa watuhumiwa namba moja kwa kukaidi amri halali ya polisi na kuilazimisha polisi kutumia nguvu kuwalazimisha watii sheria na kuacha ukaidi ambao matokeo yake umegharimu maisha ya mwanahabari aliekwenda eneo la tukio baada ya kuaminishwa na chadema mkutano utakuwepo bila kujali amri ya polisi
 
Mi natofautiana na wewe, tatizo sio shule, tatizo ni laana, si alisema siku akirudi ccm ni bora amlale mama yake? So unaweza kuona, hiyo ndo shida!

Labda alimlala utajuaje? ndo mana domo lake alina tofauti na sehemu ya kutolea haja kubwa. ni bonge la bogus
 
Naona hujanipata vizuri, sitaki kumtetea mtu wala kumuonena mtu. Kuhusu Chadema kuvunja sheria bado ni debatable kwa sababu wao wanasema ule ulikuwa mkutano wa ndani na yale hayakuwa maandamano wala mkutano wa hadhara.

Ila makosa ya polisi yapo clear, hamna debate. Mwandishi kapigwa bomu la machozi tumboni!! Wapi ambapo polisi wanaelekezwa hizi mbinu??

Ninachotaka kusisitiza ni kwamba two wrongs dont make no right, CHADEMA kuvunja sheria hakuwezi kuwa kisingizio cha polisi kuvunja sheria. Na kama kosa lilikuwa la CHADEMA mbona askari ndio ana kesi mahakamani?? Polisi wakubali tu kwamba wali-mess katika hili swala, kuendelea kuilaumu CHADEMA kutawafanya wao waonekane kama tawi la CCM.

Bomu la machozi kupigwa tumboni,katika hali ya kawaida hilo linaweza kuwa kosa la kiufupi,any one can make mistake even kwenye kazi aliyoisomea zaidi ya miaka minne,inatutokea wote makazini,haiyumkiniki bomu la machozi akatandikwa nalo mtu tumboni kwa makusudi,ni wazi ilikua ni bahati mbaya,lakini chadema wangetii amri halali ya polisi bahati mbaya za namna hii zingeepukika,kwanini chadema walikua wakaidi hasa slaa maana tunaambiwa siku moja kablaya tukio alituma ujumbe kwa IGP akimuagiza aje na mabomu ya machozi nafikiri ya kutosha ambayo ndio yamegharimu maisha ya ndugu yetu,ni huruma na unyonge labda niseme wa IGP huyu wa sasa otherwise ingekua kipindi cha mahita slaa alitakiwa kuwa ndani anaisadia polisi now kama ilivyowahi kutokea kwa lipumba enzi za igp mahita
 
Hivi majuzi kulitokea maandamano ya wachimaji madini huko South Afrika kinyume cha amri ya Polisi na ikatokea watu zaidi ya 34 waliuawa. Serikali ya South Afrika wakiongozwa na polisi walifungua mashtaka kuwaadhibu viongozi wa maandamano hayo kama wao ndio walosababisha vifo vile. Dunia nzima ililaani kitendo hicho, balozi na hata marekani waliishutumu serikali ya South Afrika kuendelea kiutumia sheria ya Apartheid, kiasi kwamba iliwabidi ku withdraw mastaka hayo.

Mh. Tendwa inabidi ajifunze kuongozi badala ya kutumiwa kama kibaraka hasa pale mwandishi wa habari anapouawa pasipo huruma hata baada ya watu wote kusambaa. Ushahidi upo na unaonyesha wazi waliobakia pale walikuwa waandishi wa habari ambao walikuwa kazini wakiifanya kazi yao. Mauaji yamefanyika baada ya watu kusambaa..
Uzalendo sii sheria ya kutawala bali ni imani ya kuipenda nchi yako na watu wake..
unadhani kwanini marekani hawalaani mauaji yanyotokana na vurugu za chadema?
 
Unaelewa maana ya neno "illiterate" au unalitumia tu kama mwendawazimu?

Yap..nalielewa vizuri sana maana yake ni person having or demonstrating very little or no education kama mlivyo wengi mashabiki wa chadema
 
Huyu jamaa nawasiwasi haziko sawa,je yeye hakusikia namna RSO alivyokuwa akitofautiana na waliyempa maagizo ya kuleta fujo pale kwenye ofisi yaani RPC,RSO alimwambia RPC kuwa hakuona sababu ya kuwazuia chadema kwani wapo kwenye ofisi yao na pia hawakuleta fujo,polisi hawatoki hata wakisafishwa na dodoki la mkoloni
 
Yap..nalielewa vizuri sana maana yake ni person having or demonstrating very little or no education kama mlivyo wengi mashabiki wa chadema
Hii ndio shida ya elimu ya shule za kata mlizopitia! mnaokota maneno ya kiingereza na kuyatumia bila hata kujua huwa yanatumikaje lini na wapi, pumbavu "You used the word out of context! go to the semantics!"
 
Back
Top Bottom