Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Status
Not open for further replies.
Pascal mayala ni mtanzania mwenzetu, sikupendezwa na kitendo mdau mmoja kumuelezea eti muuza sura kila ifikapo katikati ya mwaka !! Mwingine kule kilwa rd! Nimelazimika kulitaja jina direct ili kuondoa unafiki hapa ndani. Nimekukubali kiongozi,ninakuamini sana tangu zama za kitimoto tv program ila uvumi huu ulinisononesha sana.. Kibaya zaidi kuhusishwa kwako na huyu mjinga mataka, poleni sana wewe na familia yako na tunashukuru sana kwa clearance hii mkuu. Ubarikiwe sana
 
<br />
<br />

Pole , lakini angalau umezushiwa thru ur Nyani Ngabu alias and not ur true identity....japo pia ni mbaya but heri kuliko kutajwa...

Unajua nini....ni heri hata mtu anayekuzushia awe anakujua basi lakini hii ya mtu ambaye hata hakujui, hajawahi kukutana na wewe hata siku moja, halafu bila hata haya anakuzushia kwa watu wengine kuwa eti wewe ni shoga...I mean, come on now....how stupid is that?

Ni sawasawa na mimi hapa nianze kujifanya eti nakujua sana wewe Nsiande...uko hivi na uko vile....halafu uje usikie ninavyokuteta kwa watu. Si utanishangaa? Lazima utaniona hamnazo. Lazima utajiuliza...hmm huyu NN anajifanya kunijua, kanijulia wapi huyu? Mbaya zaidi iwe yote hayo ninayokuteta kwao ni ya uongo!!

Ama kweli asiye na haya wala hajui vibaya.
 
nn
unaweza sema only famous people ndo wanazushiwa hayo mambo
mfano
obama,jay z,lenox lewis,the list is endless
inawezekana wewe ni famous thats why??

Hahahahaaa kuna ukweli aisee. Manake ki JF JF mimi nina ka uselebu flani hivi.....

Ila ni aibu sana kwa jibaba zima na midevu yake na mke na watoto nyumbani au jimama zima lililovunja ungo mwaka 1986 kuzusha na kueneza uongo dhidi ya mtu ambaye hata halimjui.
 
Pole sn pasco..wafitini wamejaa humu...nimesikia habari za mataka lakini sijapata jua akihusishwa na ww..
 
Pole sana Kaka,afadhali umeweka mambo wazi na zidi kumuomba mungu mbaya wako hatoweka kichwa kaburini bila kulipa dhambi alokutetendea,
na yote hayo sio jengine ila rohombaya na choyo,na wake mafisadi wanao kuharibia jina Nawatuliza na wimbo wa Njenje! wacha wacha wasema,watasema mchana na usiku watalala! mwenyezi mungu akupe uzima na afya waishie kumeza mate.
 
hahahahaaa kuna ukweli aisee. Manake ki jf jf mimi nina ka uselebu flani hivi.....

Ila ni aibu sana kwa jibaba zima na midevu yake na mke na watoto nyumbani au jimama zima lililovunja ungo mwaka 1986 kuzusha na kueneza uongo dhidi ya mtu ambaye hata halimjui.

unajua mimi niliposikia mtu kaandika kitabu on obama kuhusu hilo
halafu tena jay z
kimoyomoyo nikasema you are nobody till they say you are gay......lol
 
Pole mkuu, ndiyo ukubwa huo, kuna watu wakiona hawakufikii katika anga zako huwa wanatabia ya kukuharibia ili angalau wajione bora.
 
Hahahahaaa kuna ukweli aisee. Manake ki JF JF mimi nina ka uselebu flani hivi.....

Ila ni aibu sana kwa jibaba zima na midevu yake na mke na watoto nyumbani au jimama zima lililovunja ungo mwaka 1986 kuzusha na kueneza uongo dhidi ya mtu ambaye hata halimjui.


duhh nimecheka...kavunja kitambooo lakin bado mzush..aipendez
 
ushahidi mwingine kuwa ni uzushi mtupu
wale walioleta mada hapa jf,wapo kiimya kabisa.wameloa
ombeni japo radhi basi
 
uzushi mwingine bana
hivi kama pascal angekuwa na ndugu wa mbaali hivi
mfano ndugu mweenyewe awe mpemba mpemba hivi
ndevu hizooo,si angeshindwa hata kuongozana nae lol
 
Pole saana KAKA MAYALA,

Naamini huu uzushi utakuwa unakutesa saana wewe binafsi pamoja na familia yako yote. binafsi nakufahamu saana kwa upande wa Mama na bro wako, nakufahamu unavyopambana, naamini kuna mijitu haifurahii mafanikio yako hata kidogo.

watu hawajui hizi taarifa za uzushi zinaweza sambaratisha familia za watu. Chamsingi mwachie MUNGU naamini atawalipa hawa wazushi stahili yao
 
Nimesikitika sana . Umefanya vema kuweka mambo hadharani. Hii ni tabia mbaya kuchafuana. Pole sana na kwa familia.Mungu akupe ujasiri zaidi
 
Nakumbuka mwaka juzi(kama sikosei) nilisikia habari kuwa PASCAL MAYALA ALIFARIKI kwa ajali ya piki piki.
Baada ya miezi kadhaa kupita nikaja kumwona maeneo ya Dar nilistuka sana, almanusura nikimbie.
Tangu siku ile nikajifunza kitu juu ya UZUSHI.
Pole sana ndugu Mayala.
 
nimegundua kuwa hata chuki nayo huwa ngumu kuificha

Na wewe ndugu, you're not so innocent yourself. Sababu ulikuwa ukichochea uwongo huu kwenye ile mada ya awali na kudai watu watajwe majina. You're as guilty as them all and should be ashamed kwa kuendeleza umbeya.
 
Na wewe ndugu, you're not so innocent yourself. Sababu ulikuwa ukichochea uwongo huu kwenye ile mada ya awali na kudai watu watajwe majina. You're as guilty as them all and should be ashamed kwa kuendeleza umbeya.

mkuu watu wasingetajwa.... bwana pasco asingekuja kujisafisha.. watu wangeishia na coclusion vichwani mwao.. matangaji.. katikati ya mwaka etc... kutajwa majina imesaidia walengwa kuja kumaliza uvumi unaoendelea mtaani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom