Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA Edward Lowassa ni balaa kwa Taifa! Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama cha CCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowassa na wengine, kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeni ya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.

Source: Mtikila Mwenyewe :0766 053081 View attachment 266356
Mtikila japo ana ponts, ila sio mzima!. Ibara hiyo inazungumzia kuanza kampeni kabla ya muda kwa mujibu wa ratiba za NEC, sheria hiyo haizungumzii kampeni za kuteuliwa ndani ya vyama!.

Sheria ya fedha za uchaguzi, ina apply mara tuu baada ya kipenga kupulizwa!, hakuna sheria yoyote inayozungumzia matumizi ya fedha kwenye kampeni za uteuzi za vyama!.

Uthibitisho kuwa Mtikila sio huu ni huu
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!

Kuna vitu alivisema sikuviweka ili kumtunzia heshima, ukiisha mjua kuwa fulani sio mzima, unawajibika kumsetiri as much as you can!.
Mtu mzima mwenye akili zake timamu, hawezi kuuzungumzia ugonjwa wa mtu kwa kejeli, iwe ni kweli unaujua ugojwa huo, au sii kweli, afya ya mtu, uzima au ugonjwa uko mikononi mwa Aliyejuu!.

Pasco
 
Ni pale Mtikila mwenyekiti wa DP anapoisemea CCM katika chaguzi zake! hii isitupe shida ni kazi ya wakina Nape, Makamba na Ridhiwani na ni dalili ya kuweweseka na kumuogopa EL kwahiyo wanamsakazia Mtikila kumfunga paka kengele
 
Kweli mti wenye matunda ndio unarushiwa mawe,mbona Lowassa mnamsema sana!,wivu ka 'kike!,mwacheni mzee wa watu kama anatoboa kuwa rais shauri zenu!,badala ya kuongea nini mtafanya mmekaa Lowasa Lowasa!.

Kwa tunda sawa ila kwa binadamu ni mwizi ndo anarushiwa mawe kwa hiyo hakuna ulinganisho
 
angejesaidia mwenyewe kwanza nyie semeni lieni na mpuuzi wenu mtikila mwisho simba atanguruma tu
 
Hapa sasa nimemuona mtumishi wa Mungu akitumimika vibaya na viongozi wachache ndani ya ccm na hayo sio mawazo take!
 
Kwanza naomba kusema viongozi wanateuliwa na Mungu pasipo siasa ila Mimi namuunga jembe mkono kwa asilimia mia
 
Kwa nini nguvu kubwa hivi inatumika kwa CCM kumchafua Lowasa?

Kwa nini Low as a pekee? Wangapi walifanya mikutano hawasemwi?

Hapa wenye akili tunazidi kuwa na imani nae...
Mkimkata mmemuonea..CCM hakuna msafi...hayupo

Du! Mungu saidia nchi hii tutoke usingizin, kumbe bado watu wa jinsi hii mpo? Afu unasema kabisa hakuna msafi CCM, huku unaamin mchafu tena! Mkuu hebu jihurumie
 
Rostam ndo Mjanja wa Mtikila alimpa Rushwa ya 3 Million akamsainisha kama vile ni malipo halali

Kama Singh seth slivyomsainisha zitto alipoenda kuomba sh mill 6 kwa ajili ya matibabu ya marehemu mama yake
 
mtikila all the best-huyu jamaa na watu wake hawafai kabisa,fanya haraka waende mahakamani
 
Anayemtetea Lowasa ni mlemavu wa akili .
 
hII NI KWELI TUPU. lOWASA NI UNFIT WA AKILI NA MWILI. Nawala haoni tofauti kati ya kuiba, kunyangany na kufisadi, kwake yote hallali.
 
Mtikila ni mjumbe wa NEC CCM????haya ndiyo matawi ya ccm!!!
 
Kama Singh seth slivyomsainisha zitto alipoenda kuomba sh mill 6 kwa ajili ya matibabu ya marehemu mama yake
Kumbe taarifa za zitto kabwe kuchukua hela kwa Seth ni za kweli, zilizokuwa million kumi. Na zilifatwa a wakili wake Alberto msando
 
Sawa Mchungaji. Lakini siyo Lowasa peke yake. Washiitaki na wengine au unaogopa?
 
Back
Top Bottom