Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,762
- 27,497
Lowasa is Mr. Dirty. Atapewa ikulu ya wapi?
and Mr escrow is clean one!
Lowasa is Mr. Dirty. Atapewa ikulu ya wapi?
Mtikila ni njaaa
tuseme ukweli lowasa ana mapungufu ila katika hili mtikila katumwa .
hata kama katumwa amewasilisha kwa ustadi, kiukweli alichosema sisi wananchi ndo tunachokijua.
Mtikila alikuwa Mkombozi zaman sana. siku hizi amekuwa Mjasiliamali wa Siasa. toka kipindi kile cha kikwete ambapo aliitwa akapewa Milion 200 ili anyamaze asimseme kikwete vibaya. huwa ndo style yake ya maisha... anaishi kwa style hii. safari Hii Membe amemwezesha. Membe alipoona Makongoro hana uwezo mzuri wa kuongea na pia ni CCM Mwenzao hivyo anabanwa na sheria ndani ya Chama ndipo aliamua kumtafuta Mtikila ili afanye hiyo kazi. jana walikuwa na kikao na alimpatia zaidi ya Mil 200 ili afanye kazi ya kuchafua Lowassa . Membe anaona tatizo katika uchaguzi huu ni Lowassa tu. Mimi nipo tayari kuchagua upinzani lakini si Rais awe Membe.huyu hafai kuwa hata Mjumbe wa Nyumba Kumi.
so sisi wenye akili tulikuwa tunajua mapema tu kuw ahizi sarakasi zinakuja na wengi walishasema toka leo asubuhi kuwa Mtikila anakuja na lake jambo baada ya kupata mshiko. namsikitikia sana mtikila kwa maneno yake na kuamua kuwa chombo kisichofaa. alikuwa wapi siku zote? muulize mtikila anafanya kazi gani au ana miradi gani? anaishi kisiasa siasa tu na chama chake cha mfukoni. angekuwa angalau amerud miaka ile anapigania serikali ya Tanganyika lakini si sasa anatumika na mtu kama Membe. Mimi Membe hata anipe Bill1000 siwezi mpigia Kampeni awe Rais wa Nchi hii.
Thibitisha USHIRIKI Wa TISS Katika Hili. Hebu Muda Mwingine Tuwe Tunajifunza Kufikiri Na Kujenga Hoja Japo Kidogo. TISS Ndiyo Wanachama Wa CCM Watakaofanya UTEUZI Dodoma? Na Kwanini Taasisi Zote NYETI Hapa Tanzania Umeamua Tu Kuihusisha TISS. au Unataka Sasa TISS Waweke Kila Kitu Hadharani Kinachomuhusu Huyu FISADI Wenu Ili Muone Kazi Yao? TISS Wana Zaidi Ya MTIKILA Na Wana UTARATIBU Wao Wa Kuyawasilisha Kwa Wakuu Wao Na Kwa Bosi Wao Mkuu Na Tayari Faili Liko Mezani Likiwa Limesheheni Kila TUHUMA Na SHUTUMA Zake. Muwe Mna Heshima Kwa Taasisi Zinazowalinda Na Kuwafanyeni Mtambe Kifua Mbele Kwa Kuwa Na Amani Hapa Nchini.
Vp unamzidi uelewa kuhusu TISS mzee Apson Mwangonde?
Kama Marehemu Mkurugenzi Mwenye Heshima IDARANI Tena ILIYOTUKUKA Mzee Mzena Alikuwa Anapokea USHAURI Na Nchi Ilisimama Huyo Apson Mwang'onda Ni Nani? Mtu Anaingia Idarani Anaonekana, Anavuruga Idara Anaonekana, Kaondoka Kwa Matatizo Idarani Bado Ameonekana Na Ameshangaza Huko Alipo Sasa Anafanya Nini au Anatafuta Nini Na Nina Mashaka Sana Kama Hata Yale Maadili Ya DG Wa Idara Kama Anayakumbuka Na Anayafuata La Sivyo Atuambie Watanzania Kayasahau Na Amelisahau Pia La Mtangulizi Wake Pale Same Ambaye Leo Kabaki Historia. Huyo Mtajwa Wako Ndiyo Ameiharibu Hiyo Idara Yenu Hadi Sasa INADHARAULIKA Na Imekosa UELEDI Huku Pakiwa Na Makundi Kitu Ambacho Kwa Idara NYETI Hiki Kitu Hakitakiwi Kabisa.
Safi saana mtikila
Mtikila alikuwa Mkombozi zaman sana. siku hizi amekuwa Mjasiliamali wa Siasa. toka kipindi kile cha kikwete ambapo aliitwa akapewa Milion 200 ili anyamaze asimseme kikwete vibaya. huwa ndo style yake ya maisha... anaishi kwa style hii. safari Hii Membe amemwezesha. Membe alipoona Makongoro hana uwezo mzuri wa kuongea na pia ni CCM Mwenzao hivyo anabanwa na sheria ndani ya Chama ndipo aliamua kumtafuta Mtikila ili afanye hiyo kazi. jana walikuwa na kikao na alimpatia zaidi ya Mil 200 ili afanye kazi ya kuchafua Lowassa . Membe anaona tatizo katika uchaguzi huu ni Lowassa tu. Mimi nipo tayari kuchagua upinzani lakini si Rais awe Membe.huyu hafai kuwa hata Mjumbe wa Nyumba Kumi.
so sisi wenye akili tulikuwa tunajua mapema tu kuw ahizi sarakasi zinakuja na wengi walishasema toka leo asubuhi kuwa Mtikila anakuja na lake jambo baada ya kupata mshiko. namsikitikia sana mtikila kwa maneno yake na kuamua kuwa chombo kisichofaa. alikuwa wapi siku zote? muulize mtikila anafanya kazi gani au ana miradi gani? anaishi kisiasa siasa tu na chama chake cha mfukoni. angekuwa angalau amerud miaka ile anapigania serikali ya Tanganyika lakini si sasa anatumika na mtu kama Membe. Mimi Membe hata anipe Bill1000 siwezi mpigia Kampeni awe Rais wa Nchi hii.
Hata mimi nashangaa kabisa, au ndio kisu kimegusa mfupa?ndo mada ya mtikila?