Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

Someni sheria ya gharama za uchaguzi ya mwaka 2010 mjue sheria hiyo inaanza kufanya kazi kuanzia hatua gani.

Tuliwatahadhirisha hapa tukapuuzwa.Huyo Lowassa hata washauri hana.Waliochukua form kimya kimya bila mbwembwe hawakuwa wajinga walisoma sheria na wakaelewa nini wanapaswa kufanya na nini hakitakiwa kufanywa kwa mujibu wa sheria.
kabla hajahamia huku kwetu chadema, ulikuwa na akili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ajabu kwamba magabacholi yalioipora vibaya sana Nchi hii kama Sigh Setti na hata Nazir Karamagi wote wamo katika genge la Edward Lowasa! Si ajabu hata fisadi Reginald Mengi leo kuungana na fisadi Lowasa yakizingatiwa machafu yake yeye mwenyewe, na kuhusika kwa Mengi na mauaji ya Chacha Wangwe, pamoja na mpango wa Chadema wa kumwua Mchungaji Mtikila, waraka feki wa kujaribu kuupotosha ukweli ukatangazwa kwa ITV yake.
 
Mtikila japo ana ponts, ila sio mzima!. Ibara hiyo inazungumzia kuanza kampeni kabla ya muda kwa mujibu wa ratiba za NEC, sheria hiyo haizungumzii kampeni za kuteuliwa ndani ya vyama!.

Sheria ya fedha za uchaguzi, ina apply mara tuu baada ya kipenga kupulizwa!, hakuna sheria yoyote inayozungumzia matumizi ya fedha kwenye kampeni za uteuzi za vyama!.

Uthibitisho kuwa Mtikila sio huu ni huu
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!

Kuna vitu alivisema sikuviweka ili kumtunzia heshima, ukiisha mjua kuwa fulani sio mzima, unawajibika kumsetiri as much as you can!.
Mtu mzima mwenye akili zake timamu, hawezi kuuzungumzia ugonjwa wa mtu kwa kejeli, iwe ni kweli unaujua ugojwa huo, au sii kweli, afya ya mtu, uzima au ugonjwa uko mikononi mwa Aliyejuu!.

Pasco
Baada ya Edward Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni Superman, namdurufu kidogo Lowassa kwa kujikumbusha niliwahi kusema nini kuhusu mtu huyu.
P
 
Back
Top Bottom