tuseme ukweli lowasa ana mapungufu ila katika hili mtikila katumwa .
Ndiyo chanzo cha kipato chake.Mtikila yeye bila kuwa na kesi huwa hajisikii. Kesi kwake ni burudani huyu jamaa. Ha ha ha
Bila shaka, lakini safari hii katumwa sehemu ya hatari. Watu wako desperate, sidhani kwamba atasalimika.tuseme ukweli lowasa ana mapungufu ila katika hili mtikila katumwa .