Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

wote wanao msema lowassa vibaya, midomoni, ila mioyoni wanamkubali,

wana ccm wamezoeshwa kuishi kwa unafki,
 
Aliyesimama sasa hivi CCM sasa amesimama sababu ya umaarufu wa chama ila Mh. Lowassa anaweza simama mwenyewe na sehemu yeyote ile kama kiongozi hivyo ndugu acha kumponda mh. Ambaye ni chaguo la wengi tanzania
 
Lowasa Lowasa ndio raisi wetu ata kama ni fisadi sisi tunamtaka fisadi awe raisi wetu.Familia yangu yote kura kwa Lowassa
 
vp ule Mkutano wa Magufuli pale Mbagala Mwanza na Zenji...nakuonea Huruma mleta mada
 
Sasa wewe asadsyria3 ndio umeamua kuutangazia umma wa wa Tanzania kuwa ma ccm wote ni majinga kiasi hicho? Kwamba mnaushahidi EL ni fisada kama ulivyoorodhesha na kwahiyo mna mpango wa kuweka pingamizi ili asigombee ukuu wa kaya.
Hiiii! Kwamba mna ushahidi ni fisadi, kwanini hamkumwajinisha mapema na kumshitaki mahakamani? Kweli viongozi wa chama tawala mnaona adhabu anayostahili fisadi wa kiwango ulichoorodhesha ni kumwekea pingamizi ru la urais? Basi kama hilo ndio mmeona la maana Mwekeeni hilo pingamizi kusudi ukweli ujulikane na hao ma rais waliomtangulia tutaona wataishia wapi.
 
8. Alishindwa kujiuzulu sakata la richmond baada ya jaribiolake kuvunja mkataba kushindwa ni ushahidi tosha ni mnufaika wamfumo ila urohowa madaraka ndio matokeo yake hy
 
1. Tunao ushahidi mzito unaothibitisha
kwamba Edward Lowasa na
wenzake walianza kampeni ya urais
ndani ya chama chao kabla ya
wakati, na kwamba chama chao kiliwapa
adhabu ya kutofanya siasa
kwa miezi 12. Lakini safari hii Lowasa
ameanza kampeni ya urais
Arusha kwa mkutano mkubwa sana wa
hadhara wa kampeni haramu
na kumwaga rushwa ya kutisha!
2. Kama ni wadhamini alipaswa
kuwapata katika ofisi za chama chake,
katika mikoa nane (8) tu Tanganyika na
mikoa miwili tu Unguja na Pemba,
wadhamini 45 tu katika kila mkoa. Lakini
Edward Lowasa amefanya mikutano nchi
nzima, ya kuwaahidi maelfu ya wananchi
katika kila mkutano wa hadhara, mambo
atakayofanya kama wakimpa kura zao
awe Rais! Hii ndiyo kampeni halisi,
ambayo ni ukiukaji wa Katiba na Sheria
za Nchi! Uchaguzi Mkuu unaendeshwa na
Sheria, hivyo ni lazima Sheria ichukue
mkondo wake dhidi yake kwa kuivunja.
3. Edward Lowasa amevunja Katiba ya
Nchi na Sheria ya kiwango cha
fedha kinachoruhusiwa kutumika katika
shughuli halali za Uchaguzi,
kiasi kwamba CCM na Taasisi zote za
uchunguzi wa kifedha nchini,
upelelezi wa Jinai na Usalama wa Taifa ni
mlazima wanayo kazi muhimu sana ya
kupata ukweli kuhusu haya mabilioni ya
fedha yanayomwagwa nchini na fisadi
Edward Lowasa, ameyapata wapi na kwa
namna gani, kumehusika ‘’Money
laundering’ au la, kama mapato ya
mapesa hayo yote ni halali, na kama
mapato hayo yote yalilipiwa kodi
inayopasa kwa ajili ya Taifa.
Ni marufuku kabisa tena ni makufuru
Edward Lowasa kuruhusiwa
kugombea urais, kwa sababu amevunja
Katiba ya Nchi na Sheria na
Kanuni za Uchaguzi. Sifa mojawapo ya
kustahili kugombea uongozi wa nchi
yoyote ni maadili mema na uzingatiaji wa
Sheria, Kanuni na
taratibu za Utawala wa Sheria
4. Edward Lowasa, kwa kujimilikisha
maeneo nchi nzima kwa kutumia kifisadi
Uwaziri wake wa Ardhi, ameliweka Taifa
katika hatari kubwa ya mmwagiko wa
damu baina ya wakulima na wafugaji,
baada ya kueneza nchi nzima makundi ya
ng’ombe wake, na kusababisha mapigano
makali ya mara kwa mara kila mahali
nchini kati ya wafugaji wake na
wakulima. Kwa sababu ya uovu huu hata
katika kampeni yake haramu Lowasa
ameshindwa kusema lolote juu ya kilimo,
ingawa ndio uti wa mgongo wa uchumi
wa nchi yetu na ndiyo shughuli
inayotunza uhai wa asilimia 95 ya
wananchi!
Kwa kuwaingilia wakulima katika ardhi
yao, kuwaua ovyo, kuwaonea
kiasi cha kufisha matumaini yao katika
kilimo, kumeifanya kauli mbiu ya “Kilimo
kwanza” kuwa porojo tu ya kisanii!
5. Edward Lowasa ni mwiko kabisa
kupewa kugombea urais, kwa
sababu siyo tu aliutumia kifisadi Uwaziri
wa Ardhi akajitajirisha na
kujipatia maeneo makubwa ya ardhi
nchini kote, bali alitumia kifisadi
zaidi uwaziri wa nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu, katika uagizaji wa
mashangingi ya Wabunge, mawaziri,
wakuu wa Mikoa na Wilaya.
6. Edward Lowasa alikemewa mnamo
mwaka 1995 na Mwalimu Nyerere
anayeenziwa na CCM lama “Baba” yao,
alipotaka kugombea urais, kwa sababu
alikuwa fisadi papa, wala hakuweza
kujitetea kwavile utapeli wote
aliojitajirishia ulikuwa mezani. Leo baada
ya mabiashara haramu mengi na kulipora
sana Taifa kukiwa ni pamoja na utapeli
wa “kununua mvua Thailand” na kuliibia
Taifa mabilioni ya fedha kwa kutumia
kampuni hewa ya RICHMOND, huyu ni
fisadi-nyangumi. Ni mlemavu wa rushwa
tu wa kununuliwa na mapesa machafu
anayomwaga Lowasa, anayeweza
kumruhusu fisadi Edward Lowasa
agombee urais.
Sifa za mtu wa kukugombea Urais
zimeelezwa bayana na Mwenyezi
Mungu katika Kumbukumbu la Torati
17:15-20, ambazo Edward
Lowasa hana hata mojawapo! Lowasa
awali alikemewa na Mwalimu
Nyerere ambaye CCM wanamuenzi kama
“Baba” yao, kuwa hafai kabisa kuwania
urais, kwa sababu alikuwa fisadi papa,
kama alivyomtangaza hata Reginald
Mengi pale alipolazimika kujiuzulu
Uwaziri Mkuu kwa ajili ya wizi kwa
kampuni hewa ya Richmond, lakini leo
akiwa fisadi la kutisha zaidi kuliko papa
eti anataka urais!
Si ajabu kwamba magabacholi yalioipora
vibaya sana Nchi hii kama Sigh Setti na
hata Nazir Karamagi wote wamo katika
genge la Edward
Lowasa! Si ajabu hata fisadi Reginald
Mengi leo kuungana na fisadi
Lowasa yakizingatiwa machafu yake yeye
mwenyewe, na kuhusika kwa Mengi na
mauaji ya Chacha Wangwe, pamoja na
mpango wa Chadema
wa kumwua Mchungaji Mtikila, waraka
feki wa kujaribu kuupotosha
ukweli ukatangazwa kwa ITV yake.
Katika uwaziri wake katika ofisi ya
Waziri Mkuu, na katika Uwaziri wakewa
Ardhi na Uwaziri Mkuu, Lowasa alifanya
ufisadi ambao katika nchi kama China
zenye uchungu na maslahi ya mataifa yao
angekuwa wa kupigwa risasi hadharani,
lakini katika nchi yetu anatafuta urais!
7. Edward Lowasa AFYA yake imempiga
marufuku kugombea Urais!
Kwa ajili ya kila ajira duniasni kote, moja
ya mashart makuu ni lazima mwombaji
awe na afya iliyo bora, ndiyo sababu ni
lazima ajira ya kila mwombaji itegemee
taarifa ya kitaalamu ya madaktari,
inayothibitisha kwamba hana dosari
kiafya. Sharti hili ni la lazima kwa
sababu:
a. Majukumu yote atakayopewa
mwajiriwa atayatekeleza kikamilifu
kwa kutumia viungo vya mwili wake,
kwahiyo viungo vyake vyote
ni lazima viwe katika hali iliyo imara kwa
ajili ya kazi.
b. Hata kama kwa uthibitisho wa
kitaalamu wa madaktari mwajiriwa
anazo akili nzuri kichwani mwake, akiwa
na hitilafu katika viungo
vingine vya mwili wake huathiri afya ya
akili zake na uwezo wa
utendaji wa akili zake.
c. Kazi ya Rais ni ngumu sana, kwa
sababu ni pamoja na kusimamia
shughuli zote za maendeleo ya nchi
nzima, na matatizo yote
yanayowatokea wananchi wote kila
walipo, na kusimamia
utekelezaji wa majukumu yote ya
watendaji wote katika Taifa,
hivyo kwamba maamuzi sahihi
yanatokana na afya bora yenye
kuhakikisha uwezo unaopasa wa kiakili
wakati wote
d. Hitilafu katika afya hudhoofisha uwezo
wa kifikira na kusababisha
maamuzi mabovu, ambayo huleta athari
mbaya sana kwa Taifa. Na
udhaifu huo huathiri mpaka maadili na
hata uzalendo wa huyo
kiongozi mdhaifu. Kwa mfano
akipatikana Rais anayeishi kwa
matumaini, kwa hofu ya kupoteza uhai
kabla hajaweka sawa
mambo yake na ya familia na jamii yake
atatumikia maslahi yake
zaidi kuliko Taifa, tatizo hilo la afya
likawa limelikosesha Taifa
kipaumbele, na kuliangamiza
kimaendeleo!
e. Wanaowania kugombea urais ni lazima
wachunguzwe kwa makini
sana afya zao, kwa sababu kukifanyika
makosa akatawazwa
mwenye hitilafu za kiafya, atakwenda
kuwa mzigo mzito sana kwa
Taifa, hususan ugharamiaji wa utunzaji
wa uhai wake ndani na nje
ya nchi, kukosekana na umakini
anaopasa kuwa nao kwa ajili ya
dhamana kubwa aliyopewa n.k.
Kutokana na AFYA yake kuwa dhaifu
sana hata kwa kumwona kwa
macho tu, kabla ya uchunguzi wa
kitaalamu ni kwamba Edward Lowasa
hawezi kabisa kugombea Urais. Kwani
amekosa sifa muhimu sana ya afya bora,
ambayo ni ya lazima kwa mtu yeyote
anayestahili kupewa dhamana kubwa
sana ya kuliongoza Taifa. Pengine hata
kugombea urais kwenyewe anatafuta
kutokana na hitilafu ya kiafya,
iliyosababisha udhaifu katika kufanya
maamuzi, hivyo amejikuta kwa bahati
mbaya anagombea asichokiweza kabisa.
Ni lazima wagombea wote wa Urais, wa
Ubunge na hata wa Udiwani
wachunguzwe kwa makini afya zao kabla
ya kupewa kugombea, na hata
kuchunguzwa tena katikati ya muhula wa
utumishi wao, kama kweli tunalithamini
na kuliheshimu Taifa.
Sifa za urais ni wito au uhanga kwa ajili
ya Nchi ambao ni zaidi ya
maadili ya kizalendo, maono, vipawa na
AFYA BORA. Ni dhana potofu
sana kwamba sifa ya urais ni
kushabikiwa na umati wa watu! Kwa
sababu wengi hufuata mapesa na
husombwa hata na magari ili umati
wa kishabiki tu upatikane. Lakini
kumpenda mtu huwa lazima kuwe na
sababu, wakati ushabiki ni pepo mchafu
au ‘psychological deficiency’.

Watanzania tujiepushe na lugha za kujenga chuki.hata baada ya uchaguzi bado Tanzania itakuwepo. Tutumie lugha za kuleta umoja na mshikano tutofautiane kwa sera na hoja za kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa Wananchi kwa ujumla.
 
8. Alishindwa kujiuzulu sakata la richmond baada ya jaribiolake kuvunja mkataba kushindwa ni ushahidi tosha ni mnufaika wamfumo ila urohowa madaraka ndio matokeo yake hy

wewe endelea kupiga kelele chama kinateketea huko mitaan


Wakuu hatimaye bundi ameamuwa kulala sambamba na chama cha mapinduzi.

Habari nilizopta muda huu na zimethibitishwa. nikwamba mwenyekiti wa ccm mkoa wa arusha Mh Onesmo Nangole na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Nitawapa updates na picha muda si mrefu
 
Kama hoja zenu ni hzi basi naanza kuamini MNA hali mbaya maana wananchi wanataka kujua mmefanya nini na mtafanya nini nyie mnahangaikia kashfa hahahahah
 
KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA Edward Lowassa ni balaa kwa Taifa! Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama cha CCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowassa na wengine, kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa kubwa sana la kuvunja Katiba na Sheria za Nchi kwa kuanza kampeni ya Uchaguzi kabla ya wakati unaopasa kwa mujibu wa Sheria.

1 Tunao ushahidi mzito unaothibitisha kwamba Edward Lowassa na wenzake walianza kampeni ya urais ndani ya chama chao kabla ya wakati, na kwamba chama chao kiliwapa adhabu ya kutofanya siasa kwa miezi 12. Lakini safari hii Lowassa ameanza kampeni ya urais Arusha kwa mkutano mkubwa sana wa hadhara wa kampeni haramu na kumwaga rushwa ya kutisha!

2 Kama ni wadhamini alipaswa kuwapata katika ofisi za chama chake, katika mikoa nane (8) tu Tanganyika na mikoa miwili tu Unguja na Pemba, wadhamini 45 tu katika kila mkoa. Lakini Edward Lowassa amefanya mikutano nchi nzima, ya kuwaahidi maelfu ya wananchi katika kila mkutano wa hadhara, mambo atakayofanya kama wakimpa kura zao awe Rais! Hii ndiyo kampeni halisi, ambayo ni ukiukaji wa Katiba na Sheria za Nchi! Uchaguzi Mkuu unaendeshwa na Sheria, hivyo ni lazima Sheria ichukue mkondo wake dhidi yake kwa kuivunja.

3 Edward Lowasa amevunja Katiba ya Nchi na Sheria ya kiwango cha fedha kinachoruhusiwa kutumika katika shughuli halali za Uchaguzi, kiasi kwamba CCM na Taasisi zote za uchunguzi wa kifedha nchini, upelelezi wa Jinai na Usalama wa Taifa ni mlazima wanayo kazi muhimu sana ya kupata ukweli kuhusu haya mabilioni ya fedha yanayomwagwa nchini na fisadi Edward Lowasa, ameyapata wapi na kwa namna gani, kumehusika ‘’Money laundering’ au la, kama mapato ya mapesa hayo yote ni halali, na kama mapato hayo yote yalilipiwa kodi inayopasa kwa ajili ya Taifa. Ni marufuku kabisa tena ni makufuru Edward Lowasa kuruhusiwa kugombea urais, kwa sababu amevunja Katiba ya Nchi na Sheria na Kanuni za Uchaguzi. Sifa mojawapo ya kustahili kugombea uongozi wa nchi yoyote ni maadili mema na uzingatiaji wa Sheria, Kanuni na taratibu za Utawala wa Sheria

4
Edward Lowasa, kwa kujimilikisha maeneo nchi nzima kwa kutumia kifisadi Uwaziri wake wa Ardhi, ameliweka Taifa katika hatari kubwa ya mmwagiko wa damu baina ya wakulima na wafugaji, baada ya kueneza nchi nzima makundi ya ng’ombe wake, na kusababisha mapigano makali ya mara kwa mara kila mahali nchini kati ya wafugaji wake na wakulima. Kwa sababu ya uovu huu hata katika kampeni yake haramu Lowasa ameshindwa kusema lolote juu ya kilimo, ingawa ndio uti wa mgongo wa uchumi wa nchi yetu na ndiyo shughuli inayotunza uhai wa asilimia 95 ya wananchi! Kwa kuwaingilia wakulima katika ardhi yao, kuwaua ovyo, kuwaonea kiasi cha kufisha matumaini yao katika kilimo, kumeifanya kauli mbiu ya “Kilimo kwanza” kuwa porojo tu ya kisanii!

5
Edward Lowasa ni mwiko kabisa kupewa kugombea urais, kwa sababu siyo tu aliutumia kifisadi Uwaziri wa Ardhi akajitajirisha na kujipatia maeneo makubwa ya ardhi nchini kote, bali alitumia kifisadi zaidi uwaziri wa nchi katika ofisi ya Waziri Mkuu, katika uagizaji wa mashangingi ya Wabunge, mawaziri, wakuu wa Mikoa na Wilaya.

6
Edward Lowasa alikemewa mnamo mwaka 1995 na Mwalimu Nyerere anayeenziwa na CCM lama “Baba” yao, alipotaka kugombea urais, kwa sababu alikuwa fisadi papa, wala hakuweza kujitetea kwavile utapeli wote aliojitajirishia ulikuwa mezani. Leo baada ya mabiashara haramu mengi na kulipora sana Taifa kukiwa ni pamoja na utapeli wa “kununua mvua Thailand” na kuliibia Taifa mabilioni ya fedha kwa kutumia kampuni hewa ya RICHMOND, huyu ni fisadi-nyangumi.

Ni mlemavu wa rushwa tu wa kununuliwa na mapesa machafu anayomwaga Lowasa, anayeweza kumruhusu fisadi Edward Lowassa agombee urais. Sifa za mtu wa kukugombea Urais zimeelezwa bayana na Mwenyezi Mungu katika Kumbukumbu la Torati 17:15-20, ambazo Edward Lowasa hana hata mojawapo! Lowasa awali alikemewa na Mwalimu Nyerere ambaye CCM wanamuenzi kama “Baba” yao, kuwa hafai kabisa kuwania urais, kwa sababu alikuwa fisadi papa, kama alivyomtangaza hata Reginald Mengi pale alipolazimika kujiuzulu Uwaziri Mkuu kwa ajili ya wizi kwa kampuni hewa ya Richmond, lakini leo akiwa fisadi la kutisha zaidi kuliko papa eti anataka urais!

Si ajabu kwamba magabacholi yalioipora vibaya sana Nchi hii kama Sigh Setti na hata Nazir Karamagi wote wamo katika genge la Edward Lowasa! Si ajabu hata fisadi Reginald Mengi leo kuungana na fisadi Lowasa yakizingatiwa machafu yake yeye mwenyewe, na kuhusika kwa Mengi na mauaji ya Chacha Wangwe, pamoja na mpango wa Chadema wa kumwua Mchungaji Mtikila, waraka feki wa kujaribu kuupotosha ukweli ukatangazwa kwa ITV yake.

Katika uwaziri wake katika ofisi ya Waziri Mkuu, na katika Uwaziri wake wa Ardhi na Uwaziri Mkuu, Lowasa alifanya ufisadi ambao katika nchi kama China zenye uchungu na maslahi ya mataifa yao angekuwa wa kupigwa risasi hadharani, lakini katika nchi yetu anatafuta urais!

7.
Edward Lowasa AFYA yake imempiga marufuku kugombea Urais! Kwa ajili ya kila ajira duniasni kote, moja ya mashart makuu ni lazima mwombaji awe na afya iliyo bora, ndiyo sababu ni lazima ajira ya kila mwombaji itegemee taarifa ya kitaalamu ya madaktari, inayothibitisha kwamba hana dosari kiafya. Sharti hili ni la lazima kwa sababu:

a. Majukumu yote atakayopewa mwajiriwa atayatekeleza kikamilifu kwa kutumia viungo vya mwili wake, kwahiyo viungo vyake vyote ni lazima viwe katika hali iliyo imara kwa ajili ya kazi.

b. Hata kama kwa uthibitisho wa kitaalamu wa madaktari mwajiriwa anazo akili nzuri kichwani mwake, akiwa na hitilafu katika viungo vingine vya mwili wake huathiri afya ya akili zake na uwezo wa utendaji wa akili zake.

c.
Kazi ya Rais ni ngumu sana, kwa sababu ni pamoja na kusimamia shughuli zote za maendeleo ya nchi nzima, na matatizo yote yanayowatokea wananchi wote kila walipo, na kusimamia utekelezaji wa majukumu yote ya watendaji wote katika Taifa, hivyo kwamba maamuzi sahihi yanatokana na afya bora yenye kuhakikisha uwezo unaopasa wa kiakili wakati wote

d. Hitilafu katika afya hudhoofisha uwezo wa kifikira na kusababisha maamuzi mabovu, ambayo huleta athari mbaya sana kwa Taifa. Na udhaifu huo huathiri mpaka maadili na hata uzalendo wa huyo kiongozi mdhaifu. Kwa mfano akipatikana Rais anayeishi kwa matumaini, kwa hofu ya kupoteza uhai kabla hajaweka sawa mambo yake na ya familia na jamii yake atatumikia maslahi yake zaidi kuliko Taifa, tatizo hilo la afya likawa limelikosesha Taifa kipaumbele, na kuliangamiza kimaendeleo!

e. Wanaowania kugombea urais ni lazima wachunguzwe kwa makini sana afya zao, kwa sababu kukifanyika makosa akatawazwa mwenye hitilafu za kiafya, atakwenda kuwa mzigo mzito sana kwa Taifa, hususan ugharamiaji wa utunzaji wa uhai wake ndani na nje ya nchi, kukosekana na umakini anaopasa kuwa nao kwa ajili ya dhamana kubwa aliyopewa n.k. Kutokana na AFYA yake kuwa dhaifu sana hata kwa kumwona kwa macho tu, kabla ya uchunguzi wa kitaalamu ni kwamba Edward Lowasa hawezi kabisa kugombea Urais. Kwani amekosa sifa muhimu sana ya afya bora, ambayo ni ya lazima kwa mtu yeyote anayestahili kupewa dhamana kubwa sana ya kuliongoza Taifa. Pengine hata kugombea urais kwenyewe anatafuta kutokana na hitilafu ya kiafya, iliyosababisha udhaifu katika kufanya maamuzi, hivyo amejikuta kwa bahati mbaya anagombea asichokiweza kabisa.

Ni lazima wagombea wote wa Urais, wa Ubunge na hata wa Udiwani wachunguzwe kwa makini afya zao kabla ya kupewa kugombea, na hata kuchunguzwa tena katikati ya muhula wa utumishi wao, kama kweli tunalithamini na kuliheshimu Taifa. Sifa za urais ni wito au uhanga kwa ajili ya Nchi ambao ni zaidi ya maadili ya kizalendo, maono, vipawa na AFYA BORA.

Ni dhana potofu sana kwamba sifa ya urais ni kushabikiwa na umati wa watu! Kwa sababu wengi hufuata mapesa na husombwa hata na magari ili umati wa kishabiki tu upatikane. Lakini kumpenda mtu huwa lazima kuwe na sababu, wakati ushabiki ni pepo mchafu au ‘psychological deficiency’. LOWASA NI MOJAWAPO WA WAGONJWA WA MAGONJWA SUGU WA;IOKUWA WANATIBIWA NA BABU WA LOLIONDO NA TANGIA PALE HAJAPONA NA ZAIDI SANA ANAANZA KUTETEMEKA

Source: Mtikila Mwenyewe :0766 053081 View attachment 266356

MTIKILA NI FISADI SUGU,TAPELI,ALIEKOSAPAHALA PA KUFISADI/must !/to be ignored!
 
unanikumbusha kisa cha mbuni jangwani kifunika kichwamchangani akizan simba hamuoni kumbebody yote out. Imagine what happened?

simba alimpita mbuni kwa kudhani ni kichaka then mbuni akawa save. The same apply, Lowasa kainama kupisha madhambi mnayomtungia yanampita na kuwakuta ccm kuwa ndo wahusika wakuu. Ni bora mnyamaze ili kujisitiri kwani mnafikiri kumchafua Lowasa kumbe mnajiacha uchi wenyewe.
Kawaambi mwende mahakamani, badala yake mnaiogopa hata hizo mahakama kwani yote yatawageukia.
Acheni kutumika kijinga, kabla hujaandika fikiri kidogo kama unaweza kuitetea hoja yako ikihitaji ushahidi. Lowasa ni msafi kuliko waliobaki huko alikotoka. Mwacheni.
 
Back
Top Bottom