Yaani asipodakwa kwa gharama za uchaguzi atadakwa tu kwa kuanza kampeni mapema. Ushahidi ni CCM wenyewe.Hilo la kukiuka sheria ya gharama za uchaguzi hata sisi vilaza wa sheria tulishaliona na kuliongelea hapa JF ila bahati mbaya sisi wengine si watu maarufu kama alivyo Mtikila.Na si lowassa tu wako wengi tu waliokiuka hiyo sheria Membe akiwa mmoja wao.
Mtikila alikuwa Mkombozi zaman sana. siku hizi amekuwa Mjasiliamali wa Siasa. toka kipindi kile cha kikwete ambapo aliitwa akapewa Milion 200 ili anyamaze asimseme kikwete vibaya. huwa ndo style yake ya maisha... anaishi kwa style hii. safari Hii Membe amemwezesha. Membe alipoona Makongoro hana uwezo mzuri wa kuongea na pia ni CCM Mwenzao hivyo anabanwa na sheria ndani ya Chama ndipo aliamua kumtafuta Mtikila ili afanye hiyo kazi. jana walikuwa na kikao na alimpatia zaidi ya Mil 200 ili afanye kazi ya kuchafua Lowassa . Membe anaona tatizo katika uchaguzi huu ni Lowassa tu. Mimi nipo tayari kuchagua upinzani lakini si Rais awe Membe.huyu hafai kuwa hata Mjumbe wa Nyumba Kumi.
so sisi wenye akili tulikuwa tunajua mapema tu kuw ahizi sarakasi zinakuja na wengi walishasema toka leo asubuhi kuwa Mtikila anakuja na lake jambo baada ya kupata mshiko. namsikitikia sana mtikila kwa maneno yake na kuamua kuwa chombo kisichofaa. alikuwa wapi siku zote? muulize mtikila anafanya kazi gani au ana miradi gani? anaishi kisiasa siasa tu na chama chake cha mfukoni. angekuwa angalau amerud miaka ile anapigania serikali ya Tanganyika lakini si sasa anatumika na mtu kama Membe. Mimi Membe hata anipe Bill1000 siwezi mpigia Kampeni awe Rais wa Nchi hii.
Eating season kwa Mtikila na wenzie
Hii imesukwa kiustadi sana na CCM na TISS...kwani muda wa kampeni ni lini? una uhusiano gani na masuala ya kawaida ya siasa?
Tume ilikuwa haijatoa Ratiba ya kampeni kwa hiyo...hilo halizuii shughuli za siasa kuendelea nchini.
Tatizo watu hamsomi sheria na kama sikosei nilipoleta uzi hapa nikasema sheria inakiukwa wewe ulikuwa ni mmoja wa wale walionipinga.Hii imesukwa kiustadi sana na CCM na TISS...kwani muda wa kampeni ni lini? una uhusiano gani na masuala ya kawaida ya siasa?
Tume ilikuwa haijatoa Ratiba ya kampeni kwa hiyo...hilo halizuii shughuli za siasa kuendelea nchini.
Mtikila alikuwa Mkombozi zaman sana. siku hizi amekuwa Mjasiliamali wa Siasa. toka kipindi kile cha kikwete ambapo aliitwa akapewa Milion 200 ili anyamaze asimseme kikwete vibaya. huwa ndo style yake ya maisha... anaishi kwa style hii. safari Hii Membe amemwezesha. Membe alipoona Makongoro hana uwezo mzuri wa kuongea na pia ni CCM Mwenzao hivyo anabanwa na sheria ndani ya Chama ndipo aliamua kumtafuta Mtikila ili afanye hiyo kazi. jana walikuwa na kikao na alimpatia zaidi ya Mil 200 ili afanye kazi ya kuchafua Lowassa . Membe anaona tatizo katika uchaguzi huu ni Lowassa tu. Mimi nipo tayari kuchagua upinzani lakini si Rais awe Membe.huyu hafai kuwa hata Mjumbe wa Nyumba Kumi.
so sisi wenye akili tulikuwa tunajua mapema tu kuw ahizi sarakasi zinakuja na wengi walishasema toka leo asubuhi kuwa Mtikila anakuja na lake jambo baada ya kupata mshiko. namsikitikia sana mtikila kwa maneno yake na kuamua kuwa chombo kisichofaa. alikuwa wapi siku zote? muulize mtikila anafanya kazi gani au ana miradi gani? anaishi kisiasa siasa tu na chama chake cha mfukoni. angekuwa angalau amerud miaka ile anapigania serikali ya Tanganyika lakini si sasa anatumika na mtu kama Membe. Mimi Membe hata anipe Bill1000 siwezi mpigia Kampeni awe Rais wa Nchi hii.
Haya sasa kambi ya EL jibuni.....
Someni sheria ya gharama za uchaguzi ya mwaka 2010 mjue sheria hiyo inaanza kufanya kazi kuanzia hatua gani.Kampeni zina muda maalum na muda Huo hutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi