Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
Sawa kabisa Kilaini Muongozo huo unawatikisa mafisadi,usambazwe haraka ili wananchi wajue.
 
Tumsifu Yesu Kristu! Amen.

Upendo ni kutoa kwa wote na kugawana kilicho kidogo. Sasa iweje mafisadi wachote mabilioni wakafiche nje ya nchi? Watoto na wajawazito wanakufa? na watu zaidi ya 50% wanaishi kwa mlo mmoja? Hiyo ni dhambi kubwa mafisadi wanafanya. Mafisadi tuwataje hapa na watengwe na jamii, wasichaguliwe.

Mafisadi waende huko nje ya nchi wakale hela zao,

Mwenyezi mungu amewatuma maaskofu kutukomboa!

Asante Askofu
 
eeee mola

sala zetu uwajalie wachache hawa waliojitoa muhanga

kilaini iko wapi hiyo
 
Wakuu tuletee huo walaka humu jamvini tuel mambo mpaka kigunge asiye na dini akome.
 
Wanatakiwa pia watoe waraka wa kupinga Uanzishwaji wa mahakama ya kadhi na Nchi kujiunga na OIC maana kuna vimichezo vichafu sana nchini humu siku hizi.
 
Ushauri wangu kwa KINGUNGE ni huuu

Soma ule waraka wooooote ndio utaelewa huyu Askofu ana maanisha nini.

Mwenye ule waraka tafadhali auweke humu ndani ya JF ili kila mtu asome na ndio Mtamwona KINGUNGE alivyochemka.

Viongozi wetu hawasomi, matokeo yake wanakurupuka tuuuu.
 
Mzee Kingunge aachwe apumzike, keshafulia tayari. Hana mawazo tena ana fikira mfu. Aachane na mambo kama haya atakufa presha bure......
 
Siasa za Tanzania leo hii sio za enzi za Kingunge za miaka ya 1947. Anatakiwa abadilike na aweze kuchambua haya mambo kitaalam. Nadhani amekurupuka. Hebu atuachie wananchi nasi tulitafakari na kutoa dukuduku zetu. Baada ya yeye kuukandia waraka huo ana nini kama mbadala???????????????????????????????????????
 
Mzee kingunge amezeeka 'mwili-na akili'!ushauri wangu kwa huyu mzee ni kuachana na siasa za karne hii!
 
Mzee kingunge hapa kanikata stimu!

Anatakaje utaifa udumishwe wakati anachekelea serikali kuhangaika na mabo ya dini?.Yeye ni mshauri wa rais je kamshauri lolote kuhusu mahakama ya kadhi na mambo ya oic kuwa yanaweza kuligawa taifa ?

Maana haya ndiyo yanayo igawa nchi na iko wazi kuwa ni mambo ya waislamu kwa hiyo watu wasio waislamu hawawezi kukubali kukaa kimya wakati katiba inavunjwa mchana kweupee.

kama amemshauri rais mbona rais amekaa kimya wakati ni suala zito na la kuigawa nchi. Rais amekataa ushauri wake? Kama rais amekataa ushauri wake si maana yake hafai?Anasuburi nini kujiuzuru wakati anadharirishwa pamoja na uzee wake?

Waraka wa wakatoliki hauna chochote kinachoonyesha /kutoa ishara ya kuligawa nchi isipokuwa angesimama na kulaani serikali yake kuanza kuingilia uhuru wa dini wakati huyu mzee alishiriki hata kuandaa katiba ya nchi ningemuona wa maana.

Kingunge hajui kuwa chama chake ndicho kinachoendelea kulibomoa na kuligawa taifa?Yeye kashiriki kuiandaa katiba vilevile kashiriki kuiandaa ilani ya chama kikongwe hata kama hajaiandaa basi kashiriki kuinadi sasa tutamheshimu vipi mzee huyu ambaye anashiriki kuligawa taifa waziwazi?Tumpe adhabu gani?

Waislamu wamempa nini mpaka akae kimya wakati taifa linagawanyika? Mzee aliyoyafanya ya kuwa mmoja wa waasisio yanatosha haya mengine ni ile kutaka tu asikike.Huu waraka mbona unalenga kuliunagnisha taifa linaloendelea kuvunjwa na chama chake kikongwe ccm?Ukiangalia mwanasiasa yeyote anaetaka umaarufu basi atazumgumzia suala ambalo anajua kabisa si la kweli ila kwa kusema/kuropoka atapata umaarufu ndicho kilichotokea kwa huyu mzee.Yeye umaarufu wa nini kwa sasa?Anataka cheo?

Pumzika tu mzee wetu wanakusumbua hawa damu changa(si unaona wao wamekaa kimya?) wanataka ujivunjie heshima kidogo uliyonayo,kama umetumwa kawaambie sijawakuta au waambie nimewakuta hawapo au waambie nimewakuta lakini hawataki....

Naamini nimesomeka wadau.......
 
Ni vema kumuanika zaidi huyu Mpagani Kingunge ili watu waweze kumfahamu zaidi. Heko Dk Kilaini kwa kumpa ukweli wake!
 
mzee kingunge yamemkuta always anajitahidi kujipambanua kama mzee wa busara ila ni mnafiki tu kwani hata wenzie wameshamshitukia na hata controlling yake ndani ya ccm imekwisha kabisa.
 
Wakuu tuletee huo walaka humu jamvini tuel mambo mpaka kigunge asiye na dini akome.

Ushauri wangu kwa KINGUNGE ni huuu

Soma ule waraka wooooote ndio utaelewa huyu Askofu ana maanisha nini.

Mwenye ule waraka tafadhali auweke humu ndani ya JF ili kila mtu asome na ndio Mtamwona KINGUNGE alivyochemka.

Viongozi wetu hawasomi, matokeo yake wanakurupuka tuuuu.

Wakuu sehemu nilizo bold.......na sisi members hapa tutaonekana kukosa umakini kwa kweli....! Waraka ulishakuwepo JF siku nyingi sana...tena jana tu mkuu Max kajitahidi kulink kny thread aliyoanzisha bnhai on Kingunge vs Waraka na wakatoliki.....ebu tembeleeni huko mtapata document zote kuhusiana na hii issue!
Cheers!

Angalia hapa kupata attachments zote
 
Mzee Kingunge!

Nadhani Kingunge hajausoma, na kwakuwa hajausoma anapanda mbegu za udini eti kwakuwa aliyetoa ilani ni kiongozi wa dini,

Mzee Kingunge elewa hii nchi ni ya watu wote na wana haki ya kutoa dukuduku zao kwa minajili ya kutokwenda kinyume na katiba ya nchi, kwani ina ubaya gani hii ilani? imeeleza kiunagabaga ni jinsi gani nchi yetu inatakiwa iongozwe ambayo ndiyo mahubiri yanayofanyika kila siku katika makanisa au misikiti! tatizo lako wewe siyo muumini wa dini yoyote na haya yaliyoandikwa yameletwa hadharani ili hata wapagani wajue ni nini kinatakiwa! Acha kuingoza nchi kiimla kana kwamba walikuambia hii nchi ni ya Kingunge tu! unataka kusema ufisadi siyo tatizo katika nchi hii? unataka nani ausemee ufisadi kama nyinyi mlioeshimiwa na Mungu kuukemea hadharani mmeukumbatia? unataka nani ausemee? Nakwambia kama nyinyi mnadhani hatuwezi basi HATA MAWE YATANYANYUKA NA KUSEMA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NATHARETI!!

Huu mwongozo hauko tofauti na ilani ya CCM ukitazama kwa undani na msisitizo wake na ule ukengeufu wa kutokutekeleza walichokiandika katika ilani yao ya CCM, walichokifanya hawa viongozi wa Kikatoliki ni kuwakumbusha kuwa hamjatekeleza kile mlichokiandika na kwa mantiki hiyo tunapeleka rufaa kwa wananchi wawachague viongozi wa namna hii watakaoweza kutekeleza ilani yenu vizuri!!! Sasa Kingunge anakurupuka na kuanza kukosoa hasichokisoma na kutulazimisha nasi eti udini na ulebanoni unaingia Tanzania!!! lo ! We mzee ushindwe kabisa, hatuwezi kuogopa kukemea uovu eti kutakuwa udini!!! Halafu mwendelee kula nchi hii na ufisadi wenu eti udini nani kakwambia!!! Tumejua this is OUR COUNTRY OUR ALMIGHTY GOD PROVIDED US! No matter risk we face lakini UFISADI No!! ujue hilo, inatosha sasa! Inatosha mmekula kwa kutosha tunataka VIONGOZI WAADILIFU, WENYE KIU YA KUENDELEZA NCHI YETU!! Hii siyo soko la MAFISADI!!

JESUS CHRIST IS OUR SHEPHERD AND GUIDE WE SHALL SEE THE FRUITNESS OF THIS COUNTRY SOON AND VERY SOON!!

YES WE CAN!!

Jone, Ndikupasya Buno Malafyale anganie kangi ambokie.

AMEN.
 
Tatizo la Mzee Kingunge ni kuwa ni "hypocrite". Anajifanya Socialist lakini anaishi Capitalist. He preaches water while he drinks wine! Kwenye maswala ya kuligawa Taifa kama ufisadi mzee Kingunge alikuwa wa kwanza kusema hakuna ufisadi. Historia ikamuumbua. Hata kama waraka wa RC una walakini Mzee Kingunge ana moral authority ya kuukosoa. Hakuna atakaye msikiliza. Changamoto yangu bado narudia: Nini kiini cha waraka wa RC? Serikali na viongozi kama kina Mzee Kingunge wakibaini ili watapata somo wasirudie makosa huko mbeleni.
 
Kinguge yeye mawazo yake ni ya kisiasa zaidi.maana anaona huo waraka utavuruga kura za CCM hasa vijijini amabko viongozi wana kanisa wana nguvu.

Mbona hajasema anahofu mahakama ya kadhi? watawala wa kijadi wa kisukuma, kihaya wa kinyamwezi wakitaka mahakama zao je? hajalifikiria hilo? haya zikija na dini nyingine na zenyewe zikitaka mahaka zake.

Nadhani JK anongee na huyu mzee apumzike. sasa badala ya kuanza kuwa mrekebisha mambo ataanza kuwa mvurugaji.
mi naonaga huyu mzee ni mvurugaji kila siku tu..
 
Kanisa katoliki kupitia kwa Askofu Methodium Kilaini wa jimbo kuu la dar wamemjibu Kingunge kuwa hawatarudisha huo waraka hadi hapo atapojibu hoja kwa kufafanua hoja ipi ndani ya waraka ule ni tatizo, na wamesisitiza kuwa tangu mwaka 1912 wamekuwa wakitoa waraka wa aina hiyo kila unapokaribia uchaguzi na haijawahi tokea ukalalamikia, sasa wanauliza swali Kuna nini mwaka huu tu!
 
Mzee Kingunge!

Nadhani Kingunge hajausoma, na kwakuwa hajausoma anapanda mbegu za udini eti kwakuwa aliyetoa ilani ni kiongozi wa dini,

Mzee Kingunge elewa hii nchi ni ya watu wote na wana haki ya kutoa dukuduku zao kwa minajili ya kutokwenda kinyume na katiba ya nchi, kwani ina ubaya gani hii ilani? imeeleza kiunagabaga ni jinsi gani nchi yetu inatakiwa iongozwe ambayo ndiyo mahubiri yanayofanyika kila siku katika makanisa au misikiti! tatizo lako wewe siyo muumini wa dini yoyote na haya yaliyoandikwa yameletwa hadharani ili hata wapagani wajue ni nini kinatakiwa! Acha kuingoza nchi kiimla kana kwamba walikuambia hii nchi ni ya Kingunge tu! unataka kusema ufisadi siyo tatizo katika nchi hii? unataka nani ausemee ufisadi kama nyinyi mlioeshimiwa na Mungu kuukemea hadharani mmeukumbatia? unataka nani ausemee? Nakwambia kama nyinyi mnadhani hatuwezi basi HATA MAWE YATANYANYUKA NA KUSEMA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NATHARETI!!

Huu mwongozo hauko tofauti na ilani ya CCM ukitazama kwa undani na msisitizo wake na ule ukengeufu wa kutokutekeleza walichokiandika katika ilani yao ya CCM, walichokifanya hawa viongozi wa Kikatoliki ni kuwakumbusha kuwa hamjatekeleza kile mlichokiandika na kwa mantiki hiyo tunapeleka rufaa kwa wananchi wawachague viongozi wa namna hii watakaoweza kutekeleza ilani yenu vizuri!!! Sasa Kingunge anakurupuka na kuanza kukosoa hasichokisoma na kutulazimisha nasi eti udini na ulebanoni unaingia Tanzania!!! lo ! We mzee ushindwe kabisa, hatuwezi kuogopa kukemea uovu eti kutakuwa udini!!! Halafu mwendelee kula nchi hii na ufisadi wenu eti udini nani kakwambia!!! Tumejua this is OUR COUNTRY OUR ALMIGHTY GOD PROVIDED US! No matter risk we face lakini UFISADI No!! ujue hilo, inatosha sasa! Inatosha mmekula kwa kutosha tunataka VIONGOZI WAADILIFU, WENYE KIU YA KUENDELEZA NCHI YETU!! Hii siyo soko la MAFISADI!!

JESUS CHRIST IS OUR SHEPHERD AND GUIDE WE SHALL SEE THE FRUITNESS OF THIS COUNTRY SOON AND VERY SOON!!

YES WE CAN!!

Jone, Ndikupasya Buno Malafyale anganie kangi ambokie.

AMEN.
Wengi wangependa kuona waraka unasomwa. Hata mie niko mbioni kuandaa waraka wangu. Wangu utakuwa tofauti kidogo. Hautamung'unya maneno utataja aina zoote za ufisadi na wahusika wa ufisadi. Utagusa ufisadi serikali, kwenye vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na makundi mbalimbali ya jamii kama vile dini nk. Huu ndio utakuwa waraka wangu kwa Watanzania.
Pia katika kumjibu Kingunge kubwa si kumshambulia na kumuombea mabaya na kuonyesha jazba zetu. Yeye ametoa hoja kwa kuonyesha pssible effects za Waraka. Nasi tujibu hoja na kumuonyesha zile si effects. Mf kazungumzia tishio la amani, kuongeza mgawanyiko nk. Sie wana JF tunasemaje?
 
ukitaka balaa na kuleta chokochoko na hata kusemwa mabaya yako basi wee kosana na kanisa katoliki.

Alianza membe na hoja ya oic. Kanisa walisema apee red card.

Sasa tusubiri tamko la pengo dhidi ya kingunge. ( nafikiri limeshaandaliwa sasa linapitishwa kwa balozi wa vatican na kisha pope lipate baraka kabla ya kutolewa.

Hakika wakatoliki wanajiona kama wanaongoza tanzania kwa remote control
1% of brain usage - hatari
 
mzee kingunge!

nadhani kingunge hajausoma, na kwakuwa hajausoma anapanda mbegu za udini eti kwakuwa aliyetoa ilani ni kiongozi wa dini,

mzee kingunge elewa hii nchi ni ya watu wote na wana haki ya kutoa dukuduku zao kwa minajili ya kutokwenda kinyume na katiba ya nchi, kwani ina ubaya gani hii ilani? Imeeleza kiunagabaga ni jinsi gani nchi yetu inatakiwa iongozwe ambayo ndiyo mahubiri yanayofanyika kila siku katika makanisa au misikiti! Tatizo lako wewe siyo muumini wa dini yoyote na haya yaliyoandikwa yameletwa hadharani ili hata wapagani wajue ni nini kinatakiwa! Acha kuingoza nchi kiimla kana kwamba walikuambia hii nchi ni ya kingunge tu! Unataka kusema ufisadi siyo tatizo katika nchi hii? Unataka nani ausemee ufisadi kama nyinyi mlioeshimiwa na mungu kuukemea hadharani mmeukumbatia? Unataka nani ausemee? Nakwambia kama nyinyi mnadhani hatuwezi basi hata mawe yatanyanyuka na kusema kwa jina la yesu kristo wa nathareti!!

huu mwongozo hauko tofauti na ilani ya ccm ukitazama kwa undani na msisitizo wake na ule ukengeufu wa kutokutekeleza walichokiandika katika ilani yao ya ccm, walichokifanya hawa viongozi wa kikatoliki ni kuwakumbusha kuwa hamjatekeleza kile mlichokiandika na kwa mantiki hiyo tunapeleka rufaa kwa wananchi wawachague viongozi wa namna hii watakaoweza kutekeleza ilani yenu vizuri!!! Sasa kingunge anakurupuka na kuanza kukosoa hasichokisoma na kutulazimisha nasi eti udini na ulebanoni unaingia tanzania!!! Lo ! We mzee ushindwe kabisa, hatuwezi kuogopa kukemea uovu eti kutakuwa udini!!! Halafu mwendelee kula nchi hii na ufisadi wenu eti udini nani kakwambia!!! Tumejua this is our country our almighty god provided us! No matter risk we face lakini ufisadi no!! Ujue hilo, inatosha sasa! Inatosha mmekula kwa kutosha tunataka viongozi waadilifu, wenye kiu ya kuendeleza nchi yetu!! Hii siyo soko la mafisadi!!

jesus christ is our shepherd and guide we shall see the fruitness of this country soon and very soon!!

yes we can!!

jone, ndikupasya buno malafyale anganie kangi ambokie.

amen.

usahihi: Joune,ndikupasya buno malafyale anganile kangi ambokile
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom