Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
Vatican ni nchi acha uhuni wewe mbona una kosa akili mtu mzima?
a) Mara ya mwisho walifanya uchaguzi lini?
b) Wana rosurces gani ambazo wanategemea ili kufanya mahusiano na mataifa mengine mfano Irani kuna watu, mafuta, na biashara nk!
c) Raia wa nchi ya vatican ni kina nani? wanakaa wapi? kama pengo ni raia wake ina maana ameukana U-Tanzania kwa hiyo aspige kura mwakani wala asiongelea siasa za bongo?
Vatican ni mjumuiko wa viongozi wa kanisa katoliki kueneza dini ya kikatoliki "hawana mission" while Irani, Uarabuni nk tunashirikiana kwasbabu ya biashara kwakuwa wana watu, resources nk
d) wewe Tanzania inauza nini na kununua ni Vatican? (yaani Balance of payment) (BOP) yetu na vatican ikoje tupeni data ndio tujue ni nchi au la?
Acheni Udini nyie kuweni na akili Khaa!?

hah! hah! hah! Yaani mtu akishajua kuandika basi anaamua aandike chochote bila hata ya kufanya utafiti kidogo.
 
Hizi consipiracy theory nyingi zenye mtazamo wa dini mi naona zinawaimarisha zaidi wakristo kuliko wanavyostahili. Huo waraka uko wazi in the open na wala si siri. Maandishi yake yanasomeka na yanaeleweka. Sasa hawa wanaoyapinda ili wautumie huu waraka kutetea hoja zao za OIC na Kadhi courts ndani ya serikali wanamiss point. Wajadiri walaka si hisia zao! Tatizo watu wanajadili zaidi hisia kuliko kitu chenyewe.

Huo waraka hauna mahali panaposema eti wakristo wasichague waislam au watu wasio wakristo. Anayeleta madai hayo anawafanya wa-score point nyingi zaidi.

Hili suala la Vatican na OIC siku zote huwa linashangaza. Watu wanaambiwa Vatican na OIC havifanani lakini bado wanang'ang'ania vinafanana. Basi ikiwa argument ndo hiyo waiambie OIC ilete balozi wake Tanzania waone kama serikali itamkataa na yenyewe iwe represented hapa Tanzania kama Vatican inavyokuwa represented. Itatosha?

Mahakama ya kadhi ni sehemu ya ibada katika uislam. Ndani ya serikali ibada zinatafuta nini? Au tunataka kutengeneza tu ajira ndani ya serikali ambazo zitakuwa exclussive kwa waislam peke yao? Hivi waislam wameshindwa kuanzisha taasisi yao na kuiendesha wenyewe na wanataka zigo hilo walisukumizie serikalini? Mahakama ya kadhi ikianzishwa na waislam itaqualify kupata misamaha ya kodi kwa sababu ni suala la ibada. Ila waislam hawana budi kuianzisha na kuiendesha. Hilo tu!

Kuingiza sheria za kiislam ndani ya sheria hizi tunazotumia, italazimika kuwa na hakimu waislam katika kila mahakama. Vinginevyo mahakimu wakristo watahukumu kesi kutumia sheria za kiislam. Na hili itakuwa balaa. Au itabidi ziwepo mahakama za kawaida na mahakama za kiislam.

Na hivyo waislam watapoteza uhalali wa kutunga sheria zitakazotumika kuwahukumu wakristo na wengine wote wasio waislam? Yes kwa sababu wao sheria zao zitakuwemo ndani ya mfumo wa sheria za kawaida. Kwa hiyo itakuwaje mbunge mwislam atakaposimama kutoa maoni kwenye mjadala wa sheria ya mirathi ambayo yeye haimhusu??

Please please, let's open our eyes!!
 
Mpaka leo najiuliza swali moja lakini sipati jibu. Hivi mwaka 2005 mgombea angekuwa Mkristo halafu watokee wachungaji na mapadre wamwite chaguo la Mungu, kweli nchi hii ingekalika !! Naanza kupata wasi wasi kuwa tunapojadili mambo yanayohusiana na dini, hekima hutupwa pembeni na hisia hutawala - what a shame !!
 
Vatican ni nchi acha uhuni wewe mbona una kosa akili mtu mzima?
a) Mara ya mwisho walifanya uchaguzi lini?
b) Wana rosurces gani ambazo wanategemea ili kufanya mahusiano na mataifa mengine mfano Irani kuna watu, mafuta, na biashara nk!
c) Raia wa nchi ya vatican ni kina nani? wanakaa wapi? kama pengo ni raia wake ina maana ameukana U-Tanzania kwa hiyo aspige kura mwakani wala asiongelea siasa za bongo?
Vatican ni mjumuiko wa viongozi wa kanisa katoliki kueneza dini ya kikatoliki "hawana mission" while Irani, Uarabuni nk tunashirikiana kwasbabu ya biashara kwakuwa wana watu, resources nk
d) wewe Tanzania inauza nini na kununua ni Vatican? (yaani Balance of payment) (BOP) yetu na vatican ikoje tupeni data ndio tujue ni nchi au la?
Acheni Udini nyie kuweni na akili Khaa!?
Labda uangalie hapa mkuu: [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Vatican_City]Vatican City - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame] ..Hope baada ya kuangalia ndo utajigundua kama(wewe) una akili ama la
 
Sometimes, a blessing can come out in disguise. Hii issue kama busara itawekwa pembeni kwa misingi ya udini inaweza kabisa ikausafishia njia waraka wenyewe kuliko tunavyotegemea. Yangu macho
 
Je unajuwa kwanini balozi wa Vatican yupo TZ, anamwakilisha nani? na yupo kwa maslahi ya nani?

Dr Hamza



'
Brother na wewe acha hasira. Hapa hata kama mtu kakujibu vibaya achana naye maana huwezi muona nyuma ya monitor yako.
Ni hivi Vatican ni nchi na inatambulika hata UN.
Sasa ni utafiti upi unataka kujua? Kwamba kwa nini Vatican ni nchi au?
 
Vatican ni nchi acha uhuni wewe mbona una kosa akili mtu mzima?
a) Mara ya mwisho walifanya uchaguzi lini?
b) Wana rosurces gani ambazo wanategemea ili kufanya mahusiano na mataifa mengine mfano Irani kuna watu, mafuta, na biashara nk!
c) Raia wa nchi ya vatican ni kina nani? wanakaa wapi? kama pengo ni raia wake ina maana ameukana U-Tanzania kwa hiyo aspige kura mwakani wala asiongelea siasa za bongo?
Vatican ni mjumuiko wa viongozi wa kanisa katoliki kueneza dini ya kikatoliki "hawana mission" while Irani, Uarabuni nk tunashirikiana kwasbabu ya biashara kwakuwa wana watu, resources nk
d) wewe Tanzania inauza nini na kununua ni Vatican? (yaani Balance of payment) (BOP) yetu na vatican ikoje tupeni data ndio tujue ni nchi au la?
Acheni Udini nyie kuweni na akili Khaa!?

a)Kwani nchi zote zinauchaguzi? Je nchi zenye wafalme kama watawala wake? Mkuu yani inakua kama haujui mifumo ya nchi nyingine zaidi ya Tanzania tu. Kiongozi wa Vatican ni papa ambae anachaguliwa na maaskofu. Kama vile kiongozi mkuu wa Iran ni Ayatollah Khameini ambae amechaguliwa na viongozi wa dini ya Kiisalamu.

b)Wanazo resources. Kwani kwako resource ni mafuta tu?

c)Mkuu wananchi wa Vatican wanakaa wapi? Wananchi wa Tanzania wanakaa wapi? Pengo is part of the religious side of Vatican not the state side of it.
Kwani nchi zote ambazo Tanzania ina mahusiano nayo wanafanya biashara nazo?

Wewe mkuu ndiyo unakuwa unakosa akili maana unaongelea kitu ambacho haujui chochote. Ndiyo maana ukauliza kama Vatican wanafanya uchaguzi kupata kiongozi bila kujua siyo nchi zote zinafanya uchaguzi mfano Saudi Arabia.

Vatican siyo secular state ni nchi yenye dini. Ina mipaka inayo tambuliwa kimataifa na ukifanya utafiti utagundua it is a sovereing state. Kuna nchi nyingi tu ambazo serikali zake ni za kidini. Tena ina mji mkuu na unaitwa Vatican City.

Hebu soma taarifa hapa chini itajibu baadhi ya maswali yako.

The Vatican City State came into existence with the Lateran Treaty, drawn up between the Holy See and the Kingdom of Italy on 11 February 1929 and ratified on 7 June 1929.

Its existence as sovereign authority with international public rights, distinct from the Holy See, is universally recognized.

In the Vatican City State, the Catholic Church, through its central government, constituted by the Pope and the Apostolic See, carries out its mission of truth, justice and peace. This confers on the State the singular characteristic of a sign of the independence and supernatural character of the Church, and of its mission of salvation for mankind.

The Vatican City State covers an area extending from a short distance from the right bank of the Tiber to the raised ground anciently known as the Vatican Hills, on which summer villas were built during the Republican period. Caligula constructed there his private circus, in which, as in the adjacent gardens, the early Christians were probably martyred. To the north of the circus, along a secondary route, was a necropolis in which St. Peter was buried. In the year 324 Constantine ordered to erect an imposing basilica over the site of this tomb, which was replaced by the present one built between the 16th and the 17th century.

The territory of the State, which covers an approximate area of 108.5 acres, is surrounded in the part by a wall extending as far as St. Peter's Square, where a line of travertine joins the two wings of the State at the end of the piazza, to which anyone is allowed free admittance.

The Vatican City State has three entrances, whose care is entrusted to the Swiss Guar: the "Bronze Doors" (see Vatican City map, no.1) at the end of the right-hand colonnade; the entrance under the Arc of Charlemagne, commonly called "Arch of the Bells" (map no.82); and a third one which opens off the Via di Porta Angelica (map. no.38).

Entrance to the Vatican Museum is on Viale delle Mura Vaticane (map no.34), not far from the Piazza del Risorgimento.

The population of the State comprises some 750 inhabitants, of whom about 400 have Vatican citizenship, while the rest are only authorized to reside temporarily in the State or even permanently, without being citizens.

Acquisition and loss of citizenship, authorization to reside in the State and formalities to enter, are set out in the Law of 7 June 1929 no. III on citizenship and residence, and in the Regulation of 27 December 1932 no. XXXVI for entrance to the Vatican City.

The entire territory of the Vatican City State is placed under the protection of the La Haye Convention of 14 May 1954, concerning the safeguard of cultural goods in case of armed conflict. The State is thus recognized - and this is so also international discipline - as a moral, artistic and cultural patrimony worthy of being respected and protected as a treasure belonging to humanity.

The Vatican City State has been registered in the World Heritage since 1984.

Source: The Vatican - The State

Ukitaka kujua zaidi fanya utafiti kabla haujabisha kitu ambacho clearly hujui.
 
Abdulhalim,
b) Dalili zote zinaonyesha kwamba ikiguswa issue ya waraka wa maaskofu, ukifanya udadisi tu kidogo hata kutaka kujua mfano jamani huo utaleta matatizo nawenzetu waislamu wataanzisha itakuwa balaa -mtu mzima anakwambia una wivu, hujasoma, chuki, blablah.. unatambua hawa jamaa(wakristo wamekasirika kweli!! "Napata picha kweli kuna hidden agenda" hawataki kabisa waraka ujadiliwa why???
Wewe umewahi kuuona na kuusoma? hoja ni kwamba tuletee hapa tukamatane na hao maaskofu. Badala yake uko hapa na bla bla bla za wakina Msambya.
Tunautaka hapa tuujadili sio hizi bla bla.

"Akili na nia ya maaskofu wa kikatoliki" wanaweza kutuletea balaa soon kama walivyofanya Rwanda please lets be honest and tell them the plain truce.
Shida yenu waislamu ni kutojiamini tu. Kila siku mnaishi kwa hofu. Kwa nini? Wakristo hatuna historia ya kuuana ila nyie ndio wenye historia hii. Labda kama mtaanzisha nyie mauaji then tegemea the same fate.
 
Kinachomtia wasiwasi Mh. Mbunge(hata na mm) ni kuwa waraka huo unawataka wakiristo wasiwachague viongozi wasiokuwa wakiristo, hili ww huoni kuwa ni tatizo kama ni kweli?
Si kweli mpaka utakapouleta hapa tukauona. La sivyo ni spinnig kama nyingine

Na suala la mahakama ya kadhi na OIC, Mh. Msambya ana haki ya kuliulizia kwa kuwa chama chake kimetoa ahadi ya kulitekeleza katika ilani yake ya
uchaguzi,na pengine yy Mh. Msambya yupo hapo bungeni kwa kura za waislamu zilizotokana na ahadi hiyo,
Kweli ni haki yake, mdomo pia mali yake anaweza kusema lolote atakalo. Lakini mind you hakuchaguliwa na waislamu peke yao. Usiseme hivi wakakusikia wakristo wa Kasulu. Utakuwa umemchongea, na hatarudi bungeni 2010.

kitendo cha serikali ya CCM kupiga danadana masuala hayo ni kuonyesha kuwa CCM ni waongo, wasiotekeleza ahadi na wanatumia hadaa na ujanja kupata kura za wananchi.Mh. Msambya has a point on the topic.
Bwahahahaha. kwani siku gani waliwahi kusema ukweli? Wewe huko kwenu visiwani wamewadanganya weeeeeeeeeeeeeeeeee, hata hamkujifunza?
Wajinga ndio waliwao. Mlikimbia kafu chama chenu mkadhani mtapata matakwa yenu? EL,RA, JKM,ZM waliwahadaa mkajiingiza wenyewe kwenye 18 yao.😀
 
Thanks Brother, very useful message, now I know!
a) Vatican ina wakazi 750! shocked do we need to pay ambassor for this? what do we get in return? (economic gain?) kama una data zitanisaidia sana kubadili mtazamo wangu please!
b)Usilinganishe hata siku moja Iran, Saudia na Vatican (hiyo ni kulinganisha mbingu na Dunia wapi na wapi?
Prove of why waislamu has the point to argue!
i. Vatican ina mission ya "kueneza ukristo tuu" no economic gain as a "state" yaani Tanzania hatupati chochote ni mzigo unaobebwa na nchi kwa faida ya kueneza ukristo! unlike Saudia, Iran and the like ni uhusiano wa kiuchumi kwa faida ya jamii yote bila kujali dini (mafuta ni wote, technology ni wote tunafaidi)
ii. As long as vatican purpose is to "christinize the world population" ni state ambayo ni "kibaguzi" kwa ajili ya wakristo tuu.
iii. Kwakuwa nchi yetu imekubali kuwa na uhusiano na vatican (kama nchi siyo kama kanisa katoliki kama taasisi then logic and justice saves the kukubali kuwa na uhusiano na OIC kwa faida ya wenzao waislamu without any jealuos
iv. Otherwise Tanzania ifute uhusiano na Vatican kama nchi (ila iruhusu kanisa katoliki wajiunge kivyao vyao), otherwise this is precedent tosha kwa waislamu kujiunga na OIC kwa faida yao kama waislamu na kwa nchi kwa ujumla. sioni tatizo ila kuna "Wivu, chuki, na unafiki kwenye dealings among societies which is by no way healthier"
iv. Ni vizuri serikali ikashughulikia haya mambo bila kuonyesha kwamba "always christians make choices for country even for things which are benefiacial to muslims while when it comes to christians muslims never kuingilia"

Mkuu nani kakuambia tuna balozi au ubalozi Vatican? Unadhidi kudhihirisha kuwa haujui chochote na unabisha tu. Kaangalie list ya Tanzanian missions abroad kama utaona ubalozi wowote wa Tanzania uliopo Vatican. Tena ngoja nikusaidie. Chini hapo ni list ya balozi na consulates zote za Tanzania kwa mujibu wa mtandao wa serikali. Tafuta kama utaona ubalozi wa Tanzania Vatican.

Tanzania Missions Abroad (Embassies&High Commissions)

ADDIS ABABA
Embassy of the United Republic of Tanzania
P.O. Box 1077
Addis Ababa
Tel. (251-1) 518155, Direct Line: (251-1) 511063 Fax: (251-1) 517358,

E-mail: tz@telecom.net.et
Accreditation to: Ethiopia, Organisation of African Unity (OAU),
United Nations Economic Commission for Africa (ECA), Eritrea, Djibouti
and Yemen

BEIJING
Embassy of the United Republic of Tanzania
No.53 Dong Liu
San Li Tun
Beijing
China
Tel.: (86-10) 65322344, (86-10) 65321719, (86-10)65325572, Fax (86-10)
5321695, (86-10) 65322394
E-mail: tzbeijing@iuol.cn.net or tzbeijing@info.ioul.cn.net
Accreditation to : People’s Republic of China, Thailand, Democratic People's Republic of Korea, Cambodia,Vietnam, Laos and Mongolia

BONN
Theaterplatz 26, 5300 Bonn 2,
GERMANY
Tel: (49-228) 358514 (49-228) 353219 Fax: (49-228) 358226
E-mail: tzbonn.habari@t-online.de
Accreditation to : Germany, Switzerland, Czech Republic, Slovakia, Hungary, Bulgaria, Romania, Austria and Vatican

BRUSSELS
363 Avenue Louise, 11050 Brussels
Belgium
Tel: (32-2) 6406500-27, (32-2) 64764749,
Fax : (32-2) 6468026
E-mail : tanzania@skynet.be
Accreditation to: Belgium, Luxemborg, The Netherlands, European Union
and ACP/EU

CAIRO
11 Abou Karamat
Cairo
EGYPT
Tel (20-2) 3374155/337486/3457559
Fax (20-2) 3457559
E-mail; tanrepcairo@infinity.com.eg
Accreditation to: Egypt, Israel, Lebanon, Palestina, Libya, Iraq and Syria

GENEVA
47 Avenue Blanc, CH 1201 Geneva,
Switzerland
Tel: (41-22) 7318920/7323752/ 7319461/ 7328255 Fax: (41-22) 7328255
E-mail: mission.tanzania@itu.ch
Accreditation to: UN Offices in Geneva and Vienna

HARARE
High Commission for the United Republic of Tanzania
Ujamaa House, 23 Baines Avenue
Harare, P.O.Box 4841
Zimbabwe
Tel: (263-4) 721870/722627
Fax: (263)724172
Email. tanrep@icon.co.zw
Accreditation to: Zimbabwe and Mauritius

KAMPALA
6 Kagera Road
P.O.Box 5750
Kampala
Uganda
Tel: (006-41) 256272/257357/342306
Fax (006-41) 343973/075-787838
E-mail : tzrepkla@imul.com
Accreditation to: Uganda and Burundi

KIGALI
Boulevard de L`
uganda
Telecom House
Block C 2nd Floor
Cacyiru B.P. 3973
Kigali
RWANDA
E-mail ; tanzarep@rwandatel1.rwanda1
Accreditation to Rwanda only

KINSHASA
142 Boulevard 30 Jin B.P.1612
Kinshasa
DRC
Tel 34364
Accreditation to: Democratic Republic of Congo, Gabon,
Central African Republic, Cameroon, and Congo-Brazaville

LAGOS
8 Agoro Odiyan Street, Victoria Island
P.O. Box 6417
Lagos
Nigeria
Tel: (00234-1) 613604
Fax : (00234-1) 610016/618908
Accreditation to Nigeria, Benin, Togo, Cote d`Ivoire, Ghana, Guinea, Senegal, and ADB

LONDON
43 Heartford Street,London W1Y 8DB
Tel: (44-207) 4998951/ 4993627
Fax: (44-207) 4993627
E-mail ; tanzarep@tanzarep.demon.co.uk
Balozi : balozi@tanzarep.demon.co.uk
Trade Centre UK: Trade+Tourism@tanzania-online.gov.uk
Accreditation to:United Kingdom, Ireland and Commonwealth

LUSAKA
Ujamaa House, No. 4200,
United Nations Avenue,
P.O. Box 31219, 10101 Lusaka,
ZAMBIA
Tel.(260-1) 243222-4, 250826
Fax ( 260-01) 254861
E-mail- tzreplsk@zamnet.zm
Accreditation to: Zambia, Angola, Malawi, Sao Tome and Principe

MAPUTO
Ujamaa House,
P.O. Box 4515
Maputo
MOZAMBIQUE
Tel: (258-1) 490110-3, 491165
Fax: (258-1) 494782
E-mail : ujamaa@zebra.eum.mz
Accreditation to:Mozambique, Swaziland, Comoros and Madagascar

MOSCOW
Pyatniskaya, Ulitsa 33
Moscow,
Russia
Tel(7-095) 9538221, 9530940, 9566130, 9534975, 2349045
Fax : (7-095) 9566130
E-mail; tzmos@wm.west.call.com, Accreditation to: Russia, Belarus, Georgia and Ukraine

NAIROBI
Taifa Road
Re-insurance Plaza, 9th Floor
P.O. Box 47790
Nairobi
KENYA
Tel: (005-2) 331056-7, 331104 , 218269
Fax (005-2) 218269
E-mail: tanzania@user.africaonline.co.ke
Accreditation to:Kenya, Sudan, Seychelles, Somalia,
UNEP and HABITAT

NEW DELHI
10/1 Sav Priya Vihar
New Delhi 110016
INDIA
Tel: (91-11) 6853046-7, 6968409, 6968406-7
Fax: (91-11) 6968410
(Accreditation to: India, Sri Lanka, Nepal, Bangladesh and Myanmar

NEW YORK
205 East 42nd St.
NY 10017,
New York,
U.S.A
Tel. (1-212) 9729160,9729123
Fax: (1-212) 6825232
E-mail- TZREPNY@AOL.COM
Accreditation to: UN and its specialized agencies UNDP, NICEF, UNFPA, Jamaica, Trinida and Tobago, Barbados and Guyana

OTTAWA
50 Range Road Ottawa
Ontario K1N 8J4
CANADA
Tel: (1-613) 2321509, 7331349
Fax: (1-613) 2325184
E-mail;Tzottawa@synapse.net
Accreditation to: Canada and Cuba

PARIS
13 Av. Raymond, Poinacare
75116 Paris,
France
Tel: (33-1)53706368, 53706369,53706370
Fax (33-1) 47550546.
E-mail: tanzanie@infonie.fr
Accreditation to: France, Spain, Portugal, Algeria, Morocco, Tunisia, and UNESCO

PRETORIA
845 Goont Avenue
P.O. Box 56572, Arcadia
Pretoria 0007
South Africa
Tel: (012) 3424371-93, 3426378-9, 3424562
Fax: (012) 4304383
E-mail; tanzania@cis.co.za
Accreditation to: South Africa, Namibia, Lesotho, Botswana and SADC

RIYADH
P.O. Box 94320, Riyadh 11693
Saudi Arabia
Tel. (966-1) 4542833, 4549660
Fax: (966-1) 4565361
E-mail: tzriyad@deltasa.com or Nhende@deltasa.com
Accreditation to: Saudi Arabia, Oman, U.A.E, Pakistan, Iran, Qatar, Bahrain and Kuwait

ROME
Embassy of the Unite Republic of Tanzania
Via Cesare, Beccaria 88
00196 Rome,
Italy
Tel: (39-6) 36005234, 32651471,
Fax (39-6) 3216611
E-mail : tanzarep@pcg.it
Accreditation to: Italy, Greece, Albania, Yugoslavia, Croatia,
Slovenia, Bosnia- Herzegovena, Serbia, Turkey, FAO, IFAD and WFP.

STOCKHOLM
Oxtorgsgatan 2-4,Box 7255,103-89
Stockholm
Sweden
Fax (46-8) 109815, 203526
E-Mail: mailbox@tanemb.se
Accreditation to: Sweden, Denmark, Finland, Norway, Iceland,
Estonia, Latvia and Lithuania

TOKYO
21-9, Kamiyoga 4,Chome Setagaua-Ku
Tokyo 158
Japan
Tel.(81-3) 34254531-3, 34284227
Fax: (81-3) 34257844,
E-mail; Tancon@user.africaoline.co.ke
Accreditation to Japan, South Korea, Philippines, Australia

WASHINGTON
2139 R, Str, NW.
Washington D.C.
200008 U.S.A
Tel: (1-202) 8841080, 8841082
Fax: (1-202) 7977408
E-mail: Balozi@ tanzaniaembassy-us.org
Accreditation to: USA, World Bank, International Monetary Fund (IMF), Argentina, Brazil, Mexico and Venezuela.

DUBAI
Tel: (971-4) 2957770, 2957600
Fax: (971-4) 2957266

Tanzania's Honorary Consulates Abroad

A | B | C | D | E | F | G | H | I | J | K | L | M | N | O | P | Q | R | S | T | U | V | W | X | Y | Z

The Honorary Consulate of Tanzania in Osaka
C/0 Konoike Building,
3-6-1 Kita-Kyuhoji-cho, Chuo-ku,Osaka-shi
541 Japan
Tel: 81-6-241-6780
Fax; 81-6-244-3692

The Honorary Consulate of Tanzania in Seoul
C/O Hyundai Corporation
Hyundai Building 2F
140-2, Kye - dong Chrongro-ku, Seol 110-793
Republic of Korea
Tel: 82-2-7446-1172
Fax: 82-2-746-1093


The Honorary Consulate of Tanzania in Perth'
West Australia
C/o Murcia and Associates
Barristers and Solocitors
Level 25, QVI Building
250 St Feorge's Terrace, Perth, Western Australia 6000
Tel: 61-8-9322-6223
Fax: 61-8-9322-6522

The Honorary Consulate of Tanzania in Sydney
C/o Denes Ebner Lawyers
32A Oxford Street, Sydney 21010 Australia
Tel.61-2-9332-4944
Fax: 61-2-9332-3902

The Honorary Consulate of Tanzania in Manila
c/o Inter- Travel & Tour,Inc
657 San Andres Street, Malate, Manila 1004
Philippiness
Tel 63-2-253-2207
Fax 63-2-521-6498

The Honorary Consulate of Tanzania in Turkey
Min Kemal Oke CADDESI No. 10/4
80 200 Nisantasi
Istambul TURKEY
Fax 90 (212) 2345679

The Honorary Consulate of Tanzania in HongKong
Ground Floor to Third Floor
MOHANS’ Building
HONGKON
Tel. (852) 2369 1188
Fax (852) 27230483

The Honorary Consulate of Tanzania in Bangladesh
53/2 dit Extension ROAD
Naya Polton, Dhaka – 1000,
P.O. Box –GPO 3444 Dhaka
1000 BANGLADESH
Tel – 8802-836203, 419299, 413997
8802 – 83 2911
E Mail Interact@bangla.net

The Honorary Consulate of Tanzania in Denmark
Klintebjerg vej 105
5450 Otterup, Denmark
Tel No. +45 6482 2702
Mobile +45 4029 1957
Fax +45 6482 2157
E Mail ANNI@POST 7.tele.dk

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in Luanda - Angola
CX.P 1333 LUANDA - ANGOLA
Fax 244 – 2 – 331831
E-Mail – 104663. 1074@ COMPUSERVE.COM

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in Germany
Normannenweg 17-21
20537 Hamburg/Germany

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in Netherlands
H.A. Van Karnebeeklaan 46
1181 XH amstelveen
Tel. 020 6416060
Fax 31 1803 19158


The Honorary Consulate of The United Republic of Tanzania in France
5, Av. Raymond FE’RAND – 06200
NICE – FRANCE

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in Singapore

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in Oman
P.O. Box 3489, RUWI
Postal Code 112
SULTANATE OF OMAN
Tel. 00 968 607055
Fax 00 968 600970

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in South Korea
428 Okusu Dong
SUNGDONG –Ku

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in Thailand
S.L.D. Condominium
3rdFL., 501 Saladaeng 1,
RAMA IV RD
BANGKOK 10500 THAILAND
Tel. 235 8282 – 3/235 – 8131 – 238 – 5100
Fax (662) 236 – 1977

The Honorary Consulate ot the United Republic of Tanzania in Milan
Via Santa Sofia 12,20012 Milan, Italy
Tel: 0039- 258307126.
Fax :0039-6-58307299

The Honorary Consulate of the United Republic of Tanzania in Turkey
Mini Kemal Oke Caddeasi
No 10/4,
80200 Nisantasi, Istanbull, Turkey
Tel 0090-212-2466142 or 2477261
Fax. 0090-212-2345679.

Source: index Down

List hiyo hapo ya embassies na consulates zote za Tanzania pamoja na contacts zao. Tafuta sehemu utakayo ona Vatican. Ukiipata njoo tujadiliane otherwise unaonyesha wewe unaongea kwa kuhisi siyo kujua.
 
Thanks Brother, very useful message, now I know!
a) Vatican ina wakazi 750! shocked do we need to pay ambassor for this? what do we get in return? (economic gain?) kama una data zitanisaidia sana kubadili mtazamo wangu please!
b)Usilinganishe hata siku moja Iran, Saudia na Vatican (hiyo ni kulinganisha mbingu na Dunia wapi na wapi?
Prove of why waislamu has the point to argue!
i. Vatican ina mission ya "kueneza ukristo tuu" no economic gain as a "state" yaani Tanzania hatupati chochote ni mzigo unaobebwa na nchi kwa faida ya kueneza ukristo! unlike Saudia, Iran and the like ni uhusiano wa kiuchumi kwa faida ya jamii yote bila kujali dini (mafuta ni wote, technology ni wote tunafaidi)
ii. As long as vatican purpose is to "christinize the world population" ni state ambayo ni "kibaguzi" kwa ajili ya wakristo tuu.
iii. Kwakuwa nchi yetu imekubali kuwa na uhusiano na vatican (kama nchi siyo kama kanisa katoliki kama taasisi then logic and justice saves the kukubali kuwa na uhusiano na OIC kwa faida ya wenzao waislamu without any jealuos
iv. Otherwise Tanzania ifute uhusiano na Vatican kama nchi (ila iruhusu kanisa katoliki wajiunge kivyao vyao), otherwise this is precedent tosha kwa waislamu kujiunga na OIC kwa faida yao kama waislamu na kwa nchi kwa ujumla. sioni tatizo ila kuna "Wivu, chuki, na unafiki kwenye dealings among societies which is by no way healthier"
iv. Ni vizuri serikali ikashughulikia haya mambo bila kuonyesha kwamba "always christians make choices for country even for things which are benefiacial to muslims while when it comes to christians muslims never kuingilia"
hivi balozi wa vatican tanzania analipwa na serikali yetu? hiyo ni ilimu ya wapi, mbona unajiangusha namna hiyo, mbona baba yako alikuwa na busara nyingi tu kulikoni wewe?
 
kwani mafundisho ya imani yako yanasema kuwa ni dhambi kodi yako kulipia maendeleo ya watanzania wenzako walio na imani tofauti nawe?

Na hiyo kodi unalipa lakini? Na malipo hayo hufanya kwa dhati ukitekeleza wajibu wako kama raia ama kimbindembine tu?

By the way, bado una uraia wa tanzania?

Omarilyas

a frustrated mind!
Lol
 
a) Toa ushahidi wa nchi ambayo waislamu wanauana? bila kuvamiwa na wakristo na kupeleka crusade zao (religion war) peleka biblia na bunduki
b) Kutojiamini ni kufanya mambo kwa siri (waraka wa kibaguzi) working behind the scenes, walifanya maaskofu huko rwanda walikufa watutsi wengi mbele ya maaskofu (can you deny this fact).
c)Wakristo ndio hawajiamini ina maana wakristo hawana elimu ya uraia mpaka wafundishwe na maaskofu aibu kubwa! (mpaka leo wakristo unamtegemea askofu akufundishe read yourself shame on! hiyo siri ndio kutojiamini kwenyewe
d) waraka uko tunao ila sina soft copy

Bla bla bla again
 
Sipendi sana kujiingiza katika malumbano ya kidini lakini hata hivyo inanibidi niulize - hivi hawa Wakristo nguvu zao wanazitoa wapi ?

Kwanza, kulingana na madai mbali mbali yanayotolewa sehemu nyingi hadi humu JF ni kuwa idadi ya Waislamu hapa nchini ni kubwa kuliko ya Wakristo. Hii ina maana kuwa uwezo mkubwa wa kuamua nani apewe madaraka ya uongozi katika chaguzi mbali mbali zinazofanyika nchini uko mikononi mwa Waislamu pamoja na uongozi wa juu kabisa, Uraisi.

Pili, hivi sasa chama kinachounda serikali, CCM, asilimia kubwa ya viongozi wake ni Waislamu. Hii pia maana yake ni kuwa uwezo mkubwa wa kuyajadili na kuyapitisha maamuzi mazito ya sera na utendaji ndani ya chama upo mikononi mwa Waislamu. Hivyo hivyo kwa jumuiya nyingi za CCM, zina watendaji na viongozi ambao kwa asilimia kubwa ni Waislamu.

Tatu, kiongozi wa juu kabisa wa serikali, Raisi, mwenye uwezo mkubwa kikatiba wa kuteua watendaji mbali mbali serikalini na kuchukua maamuzi ya mwisho kabisa katika utawala wa nchi ni Muislamu. Pamoja na hayo, alipewa mandate hiyo kubwa na asilimia kubwa na wapiga kura ambao kama tulivyosema awali idadi yao kubwa inadaiwa ni Waislamu.

Sasa anapotokea mtu kama Katibu wa Kamati ya Kutetea Mali za Waislamu Tanzania, Sheikh Khalifa Khamisi na kudai kuwa Serikali inawaogopa sana maaskofu, tumweleweje. Anaendelea kudai ingawa baadhi ya makanisa yanafanya mambo kinyume na taratibu za nchi serikali inashindwa kuyakemea, lakini madai ya Waislamu ambao ni wanyonge yanapuuzwa.

Halafu anaibuka Mbunge wa Kigoma Kusini, Manju Msambya, na kutoa tuhuma kuwa Kanisa Katoliki nchini, kwa kutoa waraka ambao unawafundisha waumini wake kuhusu namna ya kuchagua viongozi bora, inavunja kanuni ya kutochanganya dini na siasa.
Naomba tujadili hili swala bila jazba wala matusi.
Nguvu ya Kanisa inatoka wapi ?
​
 
Sipendi sana kujiingiza katika malumbano ya kidini lakini hata hivyo inanibidi niulize - hivi hawa Wakristo nguvu zao wanazitoa wapi ?

Unasema hupendi kujiingiza kwenye mijadala ya kidini huku unafanya kinyume..! Hongera baba..

Pili unasema Wakristo nguvu wanazitoa wapi..ungezitaja hizo nguvu ili twende pamoja..

Kwanza, kulingana na madai mbali mbali yanayotolewa sehemu nyingi hadi humu JF ni kuwa idadi ya Waislamu hapa nchini ni kubwa kuliko ya Wakristo. Hii ina maana kuwa uwezo mkubwa wa kuamua nani apewe madaraka ya uongozi katika chaguzi mbali mbali zinazofanyika nchini uko mikononi mwa Waislamu pamoja na uongozi wa juu kabisa, Uraisi.

Umesema mwenyewe, tena vyema kabisa hayo ni madai..Madai yatabaki kuwa madai na facts is everything..Madai hayajengi lolote na ktk level fulani huitwa majungu, umbeya, na maneno ya vijiweni. Distribution ya waumini ktk nchi yetu kwa kifupi haipo..hivyo ni senseless kuzungumzia chochote based on zero data.

Pia hapa kwenye hii sehemu ya maandishi yako kuna tatizo..unachojaribu ku-suggest hapa eti kama dini fulani ina wafuasi wengi basi ipewe blank cheque ya kuamua nini kifanyike kuwaburuza wengine na wote waitikie ameeen..this is very fallacious mazee..Zikitumika logic za kinyumenyume kama hizi ndio nchi haitakalika..
 
Vatican ni nchi acha uhuni wewe mbona una kosa akili mtu mzima?
a) Mara ya mwisho walifanya uchaguzi lini?
b) Wana rosurces gani ambazo wanategemea ili kufanya mahusiano na mataifa mengine mfano Irani kuna watu, mafuta, na biashara nk!
c) Raia wa nchi ya vatican ni kina nani? wanakaa wapi? kama pengo ni raia wake ina maana ameukana U-Tanzania kwa hiyo aspige kura mwakani wala asiongelea siasa za bongo?
Vatican ni mjumuiko wa viongozi wa kanisa katoliki kueneza dini ya kikatoliki "hawana mission" while Irani, Uarabuni nk tunashirikiana kwasbabu ya biashara kwakuwa wana watu, resources nk
d) wewe Tanzania inauza nini na kununua ni Vatican? (yaani Balance of payment) (BOP) yetu na vatican ikoje tupeni data ndio tujue ni nchi au la?
Acheni Udini nyie kuweni na akili Khaa!?

Kwa nini usisome kwanza na kuelewa hoja niliyokuwa naijibu kuliko kunishambulia au ndivyo ulivyofundishwa kufanya? Kama kusoma ndiko huku, basi ipo kazi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom