Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 343
Kinepi_nepi,
Hunajielewa. Huwezi kuelekeza wenzako wafuate haki wakati wewe huelekezi haki nnyumbani mwako. Hilo hulijibu na unabaki kunifundisha mahubiri ya kanisa ambayo tunayajua. Ingekuwa makanisa yanaishia kwenye mahubiri tu kungetokea vurugu ndani ya makanisa. Inawezekana huna habari na uonevu unaofanyika kanisani kwa kushindwa kuzijua sheria za kuchukua.
Ni kweli mbinu za kunyamazisha kama zako ndizo zinazoongoza. Eti fuata mafundisho na amri kumi usifikirie kwenda Roma. No. Kama haki iko Roma huwezi kuikwepa kuifuata. Hili linabidi lihubiriwe. Vinginevyo basi waishie kwenye mahubiri ya innjili na wasiingie maeneo ambayo hawana uelewa nayo.
Wonyeshe mfano wa uongozi na haki kwao na kuwaelimisha hilo.
Je hujaona mtu ananyimwa huduma ya mazishi kwa sababu ya tule tuvikundi tunavyoitwa Jumuiya ndogondogo.
Nimeuliza hilo hujibu nalirudia tena.