Blu-ray mtu unaejibizana nae ni dakika mbili mbele huyo anabisha tu na vipingele vyake mwenyewe anavyotaka yeye yupo kwenye sayari nyingine langi ni nyeusi tu kwake amna nyingine hapo amuelimishani kama ulivyo note already he doesnt get it, he doesnt reason along the arguments of science of peole kwake yeye watu asubuhi waliamka tu Sarajevo na kuanza kupigana bastola, burundi na rwanda ni vita vya zamani sana, waganda awabadilishi rahisi kwa sababu wana democracia nzuri sana ukabila au changii lolote, kenya wamepigana mapanga sio kwa sababu za ukabila kwa sababu ya uchaguzi tu.
sasa mtu kama huyo utamuelimisha vipi iwapo akija hapa atakuambia hiyo inahusiana nini na kanisa katoliki kuelimisha watu kuhusu elimu ya uraia. aelewi kwamba tatizo siyo kanisa bali ni jinsi watu watavyoambatanisha kanisa as thier political guidance he does't foresee the long term implications of this ideology, ajui kwamba kuna dini zingine nazo kama Islam na wao wakianza sera hizi unadhani hawatapata wafuasi mwisho inakuaje sio ya kwamba dini ndiyo itakayo nikomboa katika matatizo. haya leo hii mmbunge kachomewa shamba kisa kalinunua Meru wanakijiji wameona serikali inawaletea utani, kesho itakua nyumba ya padri imechomwa moto kisa hipo karibu na msikiti, aelewi kwanini North Ireland mpaka leo protestants na catholic bado wanapigana bastola, aelewi kwamba washabiki wa Muhamadinajad rais wa Iran ni watu wenye elimu ya chini kwa sababu wao ndio wengi ni rahisi kuwa-corrupt using religions' ideology as they're simple minded peole and cant reason far out, wakati huo huo aelewi kuwa wa Iran wengi wenye elimu wameshachoka kuwa Isolated na kuishi kwa sheria za dini but cant do much, aelewi kwamba sio afganistani watu wote wanataka kushi kama anavyoona kwenye TV bali talibani wana sheria kali za kulazimisha vitu, aelewi asilimia kubwa ya suicide bombers ni watu wasio na elimu, kwa hivyo awezi elewa mtanzania asie na elimu ata interpret vipi dini ikianza mambo haya. ana asili za mimi labda kutokana na chuki au kuwa misinformed about society the latter makes more sense to me.
achana nae ni mkichaaa na vipengele vyake ambavyo avi-understand anything about society ujagundua ndio maana ulipomtia Karl Max akakwambia kagombane na key board aelewi the impacts of social structure and the theory of Marx(ism) wala aelewi kwamba ulimaanisha ya kwamba katika sera zake ujamaa bado uukubali ni mwenda wazimu anabisha tu achana nae ana scientific angle katika ubishi wake nilishamuona itakua kazi ngumu kumfahamisha kwanini sisi imefikia hatua za ku-intermarry along the lines, of religion, tribe, colour etc. aelewi kwa nini anaweza kwenda kuishi mkoa wowote na kuishi kupata marafiki etc. yaani aelewi kwa kifupi kwamba belief is a set of ideology which acts as a guideline to individuals life either religion, cultural, moral structure sasa ataona vipi tatizo kwamba ukianza kuunganisha hivi na siasa ni hatari endapo siasa ni ya jamii na dini ni ya baadhi katika jamii, watu wakianza kuunganisha itakuaje ni mpuuuzzi. ndio ni ka kwambia aelewi kwanini sarajevo watuwalio ishi na amani miaka yote siku tu wakaanza kupigana moto na majirani.