Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

Hivi huyo spika wa bunge anakuwa na kazi gani kiasi kwamba anamwachia kiti naibu spika kila siku na matokeo yake bunge linaendeshwa kama kambi ya mafunzo ya umoja wa vijana wa ccm?
MIE naona kaamua pembeni kidogo ili tuone RANGI HALISI. Si tunaiona sasa Kuna namna ya kupinga mambo ya bosi mwenzio kwa busara. Hapa mzee wa bakoro kacheza kama pele
 
By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Kauli ya Rais John Magufuli kwamba yuko tayari kuutoa mwili wake sadaka katika kupambana na rushwa na ufisadi uku kuwasaidia wanyonge, imeibua mjadala huku wanasiasa wakitofautiana.

Huyu ni Wanyonge gani nchini ambao anawasaidia? Wanafunzi ndiyo hao wamefukuzwa kinyama toka UDOM na yeye kauchuna kimyaaa ndani ya Ikulu au kwa akili yake hawa Wanafunzi si baadhi ya wanyonge nchini?
 
Hapa ndiyo utaona unafiki wa Wabunge wa CCM, asubuhi baadhi ya Wabunge wa CCM waliamua kutoka bungeni ili kuwaunga mkono Wabunge wenzao wa upinzani, jioni hii baada ya kutishwa na ngazi za juu za chama chao wamekula ngumu bungeni utadhani si wao ambao asubuhi ya leo waliona umuhimu mkubwa wa mjadala kuhusu kufukuzwa Wanafunzi 7,802 UDOM.
Mkuu daima mnafiki rangi zake huwa zinajulikana, hivyo hizo ndio rangi halisi za ccm na wabunge wao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MIE naona kaamua pembeni kidogo ili tuone RANGI HALISI. Si tunaiona sasa Kuna namna ya kupinga mambo ya bosi mwenzio kwa busara. Hapa mzee wa bakoro kacheza kama pele
Mkuu hapo kuna ukweli maana tunashuhudia mambo ya ajabu ya utawala wa huyo mama, ni vyema huyo mzee wa kifimbo cheza akajiweka pembeni kama alivyoanza kuonyesha!
 
Huu ni uthibitisho wa kutosha ile kauli ya Magufuli kwamba kautoa mwili wake kama sadaka kwa wanyonge ni unafiki wa hali ya juu. Hawa Wanafunzi ni baadhi ya wanyonge nchini na Magufuli yuko ndani ya Ikulu kimyaaa huku hawa Wanafunzi wakiendelea kuteseka kutokana na maamuzi ya hii Serikali dhalimu na Jipu naibu spika.
Ndugu yangu, public policy hitekelezwi kwa kumwangalia mtu mmoja mmoja. hayo yalikuwa mambo ya Kikwete. ni marekebisho yanafanyika kwenye public policy, wengine wataumi ila mwishowe wanyonge wote watanufaika.
 
polen vjana ambao naamin 99% n watoto wa wakulima
 
Hii ni public policy ipi ya kuwafukuza chuoni Wanafunzi usiku wa manane kwa kuwapa masaa 24 tu na kuwaitia polisi wenye silaha kali na mbwa? Kulikuwa na haraka ipi ya kutowapa muda wa kutosha hawa wanafunzi wajiandae kuondoka salama bila kuwaweka katika hali ya hatari kulala nje na wengine hata kufikia kujiuza ili wapate pesa za haraka haraka? Kulikuwa na haraka gani ya Serikali kutowapa nafasi Walimu ambao walitaka kuzungumzia tatizo hilo ambalo limetendeka kinyama?

Ndugu yangu, public policy hitekelezwi kwa kumwangalia mtu mmoja mmoja. hayo yalikuwa mambo ya Kikwete. ni marekebisho yanafanyika kwenye public policy, wengine wataumi ila mwishowe wanyonge wote watanufaika.
 
Ni wanyonge wapi hao ambao rais wetu huyu mwema alioahidi kuutoa mwili wake sadaka kwaajili yao???
 
Serikali hii hii ilitoa masaa 24 kwa wanafunzi wote wa St Joseph Arusha na Songea, hivi wale walifikaje makwao? Au wale walikuwa wanachuo na hawa ni wanafunzi. Wanaambiwa Lukuvi atakuja na tamko la serikali jioni ya kikao hiki hawataki wasaidiwaje?
miafrika ndivyo tulivyo hatujali serious issue tunapenda vimaneno uchwara mara tupo kwenye mchakato
 
Serikali hii hii ilitoa masaa 24 kwa wanafunzi wote wa St Joseph Arusha na Songea, hivi wale walifikaje makwao? Au wale walikuwa wanachuo na hawa ni wanafunzi. Wanaambiwa Lukuvi atakuja na tamko la serikali jioni ya kikao hiki hawataki wasaidiwaje?
miafrika ndivyo tulivyo hatujali serious issue tunapenda vimaneno uchwara mara tupo kwenye mchakato
 
Serikali hii hii ilitoa masaa 24 kwa wanafunzi wote wa St Joseph Arusha na Songea, hivi wale walifikaje makwao? Au wale walikuwa wanachuo na hawa ni wanafunzi. Wanaambiwa Lukuvi atakuja na tamko la serikali jioni ya kikao hiki hawataki wasaidiwaje?
miafrika ndivyo tulivyo hatujali serious issue tunapenda vimaneno uchwara mara tupo kwenye mchakato
 
Huu ni uthibitisho wa kutosha ile kauli ya Magufuli kwamba kautoa mwili wake kama sadaka kwa wanyonge ni unafiki wa hali ya juu. Hawa Wanafunzi ni baadhi ya wanyonge nchini na Magufuli yuko ndani ya Ikulu kimyaaa huku hawa Wanafunzi wakiendelea kuteseka kutokana na maamuzi ya hii Serikali dhalimu na Jipu naibu spika.
Mkuu ulianzaje kumwamini mwanaccm , hiki ni chama kilichoundwa mahsusi na shetani ili kuja kuteketeza nchi , Tuombe Mungu sana .
 
Mkuu tatizo kubwa la nchi yetu kukosa maendeleo ya uhakika na kuwa na hali hii ya kusikitisha miaka nenda miaka rudi ni CCM.

Back
Top Bottom