Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Ingewezekana wakaweka na pazia mjengoni kama daraja la business na economy kwenye ndenge ingekuwa pouwa sana hata salamu hakuna. Mambo muhimu yenye tija kwa taifa hafikilii umuhimu wa wapinzani. Futari unakula ndani ya masaa 24 umeshaitoa chooni. Lakini kuna mambo ya mustakabali wa taifa kwa vizazi vya sasa na vijavyo huwa haoni umuhimu wao.

Hii ni njia sahihi ya kuonesha hasira bila kuumiza watu.
 
Angesimama na kumwambia hayo maneno ya busara mwenyekiti wake ningeona kweli anaumizwa!
 
yaani waende halafu waanze kuwabagua huko kwenye futari kama wanavyobaguliwa bungeni ktk uchangiaji wa masuala mbalimbali,wapo sahihi kabisa,naamini wangekwenda zama za makinda au marehemu sitta,ila sio huyu mwenye hulka za jazba,unafiki,mihemko,kukosa busara ya uongozi,kutopenda kusikiza wengine hasa kama si wa upande wake
Umesema point mkuu
 
Spika Ndugai alipokuwa yuko nje akitibiwa na nafasi kuchukuliwa na naibu wake yule Mhe. dada yetu wengi (wapinzani) walimlilia apone haraka na kurejea kwenye kiti chake...sasa wapinzani hao hao wanamuona hafai...Spika Ndugai anafuata sheria,kanuni na miongozo ya Bunge....Mbunge akimshika nguo yule 'askari' wa bunge ni lazima ashughulikiwe tu...Bungeni siyo mahalin pa mchezo mchezo
Mbona ana lalamika sasa? kuleni futari yenu mwenyewe, hakuna haja kushirikiana kwenye jambo lolote(Misiba na sherehe). Wapuuzi nyinyi
 
Wapinzani wanatakiwa wakatae hata salamu za wanaccm, wananyanyasika mno na huu mfumo wa kipumbavu.
 
Ingewezekana wakaweka na pazia mjengoni kama daraja la business na economy kwenye ndenge ingekuwa pouwa sana hata salamu hakuna. Mambo muhimu yenye tija kwa taifa hafikilii umuhimu wa wapinzani. Futari unakula ndani ya masaa 24 umeshaitoa chooni. Lakini kuna mambo ya mustakabali wa taifa kwa vizazi vya sasa na vijavyo huwa haoni umuhimu wao.

Hii ni njia sahihi ya kuonesha hasira bila kuumiza watu.
Kabisa mkuu, hata huku mtaani inatakiwa CCM wafanye yao na wapinzani kivyao.
 
Back
Top Bottom