Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,929
Mshenzi sana huyo babu.Ndo kilichobaki hicho mjinga kabisa.
Tena ikiwezekana wanatakiwa wamsubiri akiingia tu na wao wanatoka ili impe presha
Mshenzi sana huyo babu.Ndo kilichobaki hicho mjinga kabisa.
Tena ikiwezekana wanatakiwa wamsubiri akiingia tu na wao wanatoka ili impe presha
Hii nchi iko tofauti sana.. Wanaofaa kuwa viongozi ndio wanaongozwa!Zungu au Chenge ndiyo watu wenye busara.
Si umeona mzee! Mimi sisemagi uongo. Ndugai ana usafi gani? Moral authority anaitoa wapi? Ni kwa vile analindwa na mamlaka, lakini huyo Mungu hana upendeleo!Dah...haya bwana.....
Kabisa mkuu kuacha huyu babu mshenzi.Hii nchi iko tofauti sana.. Wanaofaa kuwa viongozi ndio wanaongozwa!
Wale wanaofaa kuwa spika na naibu spika ndio wenyeviti.. Ukiachilia mbali makashfa ya yake, Chenge amekuwa akiongoza vizuri mno, Zungu ndio alifaa kuwa Spika!
Umemalizaapeleke uchawi wake huko.
Huyu Ndugai ni bingwa wa bias leo anajifanya mwema sana mnafiki mkubwa huyu.
"Ni marufuku wabunge wa CCM kwenda kumsabahi Lema huko Magereza" By Mwenyekiti wa CCM
Wanazingatia kanuni,sheria na maadili ya bungeSijawahi kuona mbunge wa ccm ametolewa nnje
Wala sijawahi kuona mbunge wa ccm akitukana n'a kuchukuliwa hatua bila shaka adhabu zote pâle bungeni ni kwa ajili y'a wapinzani tu
Kwa mtindo huu kuna haja gani kuhudhururia kwenye futari za majaliwa n'a spika ndugai au tulia Akson ?
Éden kimario
Si ninasikia kuna mwenyekiti wa chama fulani aliwaambia wabunge wa chama chake kumtembelea mbunge wa chama kingine aliyeko gerezani ni usaliti?Hao nao wangebambwa na wenyeviti wao ingekuwaje kwa mfano?Source ya yote haya ni wewe Spika Job Ndugai mwenyewe..
Wewe ndio unaeleta huu mgawanyiko bungeni na mpaka wabunge wa upande mwingine wameamua kuwa wapinzani kwelikweli..
Acha kulia lia..
Be fair kwa wote.
Am sure (kwa mfano) kama Mkiti Mussa Zungu angekuwa ameandaa futari na kuwakaribisha wabunge, wote wangeudhuria..!!
So Ndugai angalia nyendo na matendo yako kwa wapinzani na hasa Chadema then jiulize why??