Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameonyesha kuumizwa na kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kutojumuika pamoja na wabunge wenzao katika masuala ya kijamii ikiwepo kususia futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.




Ndugai%20Job%20.jpg

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai

Kufuatia jambo hilo Ndugai amewaomba viongozi na wabunge kwa pamoja kuachana na mambo ya kujitenda kwani yanaweza kuleta athari kubwa ambazo hakuna anayehitaji, na kudai kama kuna mambo ambayo yanakwaza basi viongozi hao wanapaswa kukaa pamoja na kumaliza mambo hayo.

"Tumekuwa tukiandaa baadhi ya hizi shughuli siku ile ya bajeti tulipata nafasi ya kupata futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu na wageni wote waliokuwepo, mabalozi tulihudhuria pale na ilikuwa imeandaliwa kwa wema kwa kweli. Leo (jana) pia na mimi nimepata nafasi ya kuandaa kama nilivyowataarifu lakini nikajifunza kitu kimoja ambacho sikupenda kukisema lakini ngoja nikiseme hapa kidogo, kuna baadhi yetu wengine wamekatazana rasmi kutohudhuria shughuli kama hizi, sasa mimi sitaki kuingilia uhuru wao, wana haki kufanya hivyo kama wanaona ni sawa lakini mimi mwenzao ningependa kuwashauri tu hasa viongozi wanaofanya mambo hayo kutazama tena njia zao, yako mambo mengine ni ya kijamii tu, ukifika mahali kiongozi unaanza kuwazuia watu hata mambo ya kijamii ujue unaenda mbali kidogo" alisema Ndugai

Spika wa Bunge aliendelea kutoa malalamiko yake dhidi ya vitendo vya baadhi ya wabunge wa upinzani kususia shughuli hizo za kijamii ambazo zinawaweka pamoja na kusema

"Hili bunge linavyoendeshwa labda wabunge wa kambi mbalimbali mnaweza msielewe bunge hili linaendeshwa katika mawasiliano mbalimbali ya sisi kwa sisi endapo kuna jambo linakwaza mpaka linasababisha hata watu wasipate futari kwa pamoja basi ni vizuri viongozi wa pande zote tukakaa tuzungumze na kuondoa vikwazo hivyo kama vipo maana mimi sijui kama vipo lakini kama havipo ni vizuri tuwe tunajumuika kwa pamoja, maana sera hizo zikienea na hakika kabisa na pande zingine nazo zitaanza na hakika matokeo yake italeta mipasuko ambayo hakuna anayehitaji hapa" alisisitiza Job Ndugai

Ndugai alisema kuwa yeye anatambua kuwa wanamjibu na kufanya wanayoyafanya lakini Mungu anajua kuwa wanachokifanya si busara kwa kufanya hivyo na kusema kuwa katika mwezi huu mtukufu wanapaswa kusameheana, kuombeana, kutoa mikono upande wa pili na kufanya ibada kwani si mwezi wa chuki na kubaguana.

Source: EATV
Kwa ustaarabu upi kumfuata Ndugai kwenye social events!! Ndugai anaendesha bunge Kijima hasa. Ndugai vile vile tunamjua kwa kutumia rungu!! So barbaric weka mbali na wastaarabu!!
 
Mwisho wa siku wote tutakufa....yoote tutayaacha hapa duniani....lakini kabla ya kufa ama kwa hakika kuna machungu tutayaonja kama yale tunayowasababishia wengine....Upinzani nawashauri mngeliacha kabisa hilo bunge lao.
 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameonyesha kuumizwa na kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kutojumuika pamoja na wabunge wenzao katika masuala ya kijamii ikiwepo kususia futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.




Ndugai%20Job%20.jpg

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai

Kufuatia jambo hilo Ndugai amewaomba viongozi na wabunge kwa pamoja kuachana na mambo ya kujitenda kwani yanaweza kuleta athari kubwa ambazo hakuna anayehitaji, na kudai kama kuna mambo ambayo yanakwaza basi viongozi hao wanapaswa kukaa pamoja na kumaliza mambo hayo.

"Tumekuwa tukiandaa baadhi ya hizi shughuli siku ile ya bajeti tulipata nafasi ya kupata futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu na wageni wote waliokuwepo, mabalozi tulihudhuria pale na ilikuwa imeandaliwa kwa wema kwa kweli. Leo (jana) pia na mimi nimepata nafasi ya kuandaa kama nilivyowataarifu lakini nikajifunza kitu kimoja ambacho sikupenda kukisema lakini ngoja nikiseme hapa kidogo, kuna baadhi yetu wengine wamekatazana rasmi kutohudhuria shughuli kama hizi, sasa mimi sitaki kuingilia uhuru wao, wana haki kufanya hivyo kama wanaona ni sawa lakini mimi mwenzao ningependa kuwashauri tu hasa viongozi wanaofanya mambo hayo kutazama tena njia zao, yako mambo mengine ni ya kijamii tu, ukifika mahali kiongozi unaanza kuwazuia watu hata mambo ya kijamii ujue unaenda mbali kidogo" alisema Ndugai

Spika wa Bunge aliendelea kutoa malalamiko yake dhidi ya vitendo vya baadhi ya wabunge wa upinzani kususia shughuli hizo za kijamii ambazo zinawaweka pamoja na kusema

"Hili bunge linavyoendeshwa labda wabunge wa kambi mbalimbali mnaweza msielewe bunge hili linaendeshwa katika mawasiliano mbalimbali ya sisi kwa sisi endapo kuna jambo linakwaza mpaka linasababisha hata watu wasipate futari kwa pamoja basi ni vizuri viongozi wa pande zote tukakaa tuzungumze na kuondoa vikwazo hivyo kama vipo maana mimi sijui kama vipo lakini kama havipo ni vizuri tuwe tunajumuika kwa pamoja, maana sera hizo zikienea na hakika kabisa na pande zingine nazo zitaanza na hakika matokeo yake italeta mipasuko ambayo hakuna anayehitaji hapa" alisisitiza Job Ndugai

Ndugai alisema kuwa yeye anatambua kuwa wanamjibu na kufanya wanayoyafanya lakini Mungu anajua kuwa wanachokifanya si busara kwa kufanya hivyo na kusema kuwa katika mwezi huu mtukufu wanapaswa kusameheana, kuombeana, kutoa mikono upande wa pili na kufanya ibada kwani si mwezi wa chuki na kubaguana.

Source: EATV
Utengano umeuanzisha mwenyewe siyo wastaarabu!! Hadi useme ni nani anakutuma uwahandle wapinzani kinyama kivile: Kweli unatoa amri waheshimiwa wenzako wapigwe ili tu kuwadhalilisha ili kulinda kundi lako!! NONONO kaeni peke yenu hadi ifikie kutozikana kama zanzibar miaka ile tuone!!
 
Source ya yote haya ni wewe Spika Job Ndugai mwenyewe..

Wewe ndio unaeleta huu mgawanyiko bungeni na mpaka wabunge wa upande mwingine wameamua kuwa wapinzani kwelikweli..

Acha kulia lia..
Be fair kwa wote.

Am sure (kwa mfano) kama Mkiti Mussa Zungu angekuwa ameandaa futari na kuwakaribisha wabunge, wote wangeudhuria..!!

So Ndugai angalia nyendo na matendo yako kwa wapinzani na hasa Chadema then jiulize why??
Ukibagua utabaguliwa
Ukiendekeza chuki utachukiwa
Povu la nini? Tulia tu sumu ipenye
 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameonyesha kuumizwa na kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kutojumuika pamoja na wabunge wenzao katika masuala ya kijamii ikiwepo kususia futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.




Ndugai%20Job%20.jpg

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai

Kufuatia jambo hilo Ndugai amewaomba viongozi na wabunge kwa pamoja kuachana na mambo ya kujitenda kwani yanaweza kuleta athari kubwa ambazo hakuna anayehitaji, na kudai kama kuna mambo ambayo yanakwaza basi viongozi hao wanapaswa kukaa pamoja na kumaliza mambo hayo.

"Tumekuwa tukiandaa baadhi ya hizi shughuli siku ile ya bajeti tulipata nafasi ya kupata futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu na wageni wote waliokuwepo, mabalozi tulihudhuria pale na ilikuwa imeandaliwa kwa wema kwa kweli. Leo (jana) pia na mimi nimepata nafasi ya kuandaa kama nilivyowataarifu lakini nikajifunza kitu kimoja ambacho sikupenda kukisema lakini ngoja nikiseme hapa kidogo, kuna baadhi yetu wengine wamekatazana rasmi kutohudhuria shughuli kama hizi, sasa mimi sitaki kuingilia uhuru wao, wana haki kufanya hivyo kama wanaona ni sawa lakini mimi mwenzao ningependa kuwashauri tu hasa viongozi wanaofanya mambo hayo kutazama tena njia zao, yako mambo mengine ni ya kijamii tu, ukifika mahali kiongozi unaanza kuwazuia watu hata mambo ya kijamii ujue unaenda mbali kidogo" alisema Ndugai

Spika wa Bunge aliendelea kutoa malalamiko yake dhidi ya vitendo vya baadhi ya wabunge wa upinzani kususia shughuli hizo za kijamii ambazo zinawaweka pamoja na kusema

"Hili bunge linavyoendeshwa labda wabunge wa kambi mbalimbali mnaweza msielewe bunge hili linaendeshwa katika mawasiliano mbalimbali ya sisi kwa sisi endapo kuna jambo linakwaza mpaka linasababisha hata watu wasipate futari kwa pamoja basi ni vizuri viongozi wa pande zote tukakaa tuzungumze na kuondoa vikwazo hivyo kama vipo maana mimi sijui kama vipo lakini kama havipo ni vizuri tuwe tunajumuika kwa pamoja, maana sera hizo zikienea na hakika kabisa na pande zingine nazo zitaanza na hakika matokeo yake italeta mipasuko ambayo hakuna anayehitaji hapa" alisisitiza Job Ndugai

Ndugai alisema kuwa yeye anatambua kuwa wanamjibu na kufanya wanayoyafanya lakini Mungu anajua kuwa wanachokifanya si busara kwa kufanya hivyo na kusema kuwa katika mwezi huu mtukufu wanapaswa kusameheana, kuombeana, kutoa mikono upande wa pili na kufanya ibada kwani si mwezi wa chuki na kubaguana.

Source: EATV
That is what we call double standard, baba ulilianzisha.
 
Kwani ni lazima kushiriki futari?labda walikuwa wameshiba lakini mbona kuna mambo ya msingi ya kijamii hawa upinzani wanabaniwa ila WA upande ule wanapeta! Mheshimiwa angalia chanzo cha tatizo inawezekana wewe ndo tatizo
 
Spika wa kupokea maelekezo kutoka Ikulu..
Ovyo kabisa huyu Ndugai.
Honorable ndoze.....hadi raha..!!!

Awe ana angalia la south africa
Hilo la kwake kama la ma zombi vile.
Full kulala mtu akishtuka toka usingizini
Ndioooo...!? Wakati haelewi alichopitisha.

Wavivu kusoma ndo maana contract za ajabu zinapitishwa.
Ndo anataka la hivo
 
NACHUKUA NAFASI HII KUWAPONGEZA SANA WABUNGE WA UKAWA KWA KUSUSIA FUTARI ZA KINAFIKI ZINAZOANDALIWA NA WANACCM WOTE AKIWEMO JOB NDUGAI .

WITO - WAENDE MBELE ZAIDI KWA KUSUSIA KILA JUMUIKO LINALOHUSIANA NA CCM , IKIBIDI KUTOKUSHIRIKI HATA MISIBA YAO , ANGALIENI UNYAMA ANAOTENDEWA MH MBOWE , ANGALIA ALIYOTENDEWA LEMA , MEYA WA UBUNGO , LIJUAKALI , METHEW NK , MSIANGALIE KARIBU ANGALIENI MBELE .

Hata Bungeni wapige mgomo wa kutouliza swali au kuchangia kikao kijacho ambacho nadhani huwa ni cha wiki mbili. Wawaache wakina Lusinde, Msukuma, Mlingwa nk ambao ndio wasemaji wao wakuu wachangie na wao waingie na kukaa kimya kabisa.
Hakuna mwongozo wala taarifa. Hapo ndio watajua kumbe bunge bila upinzani hapa hakuna kitu.
Chuki zao na wivu wabaki nao wenyewe. Watafute namna ya kumaliza chuki Bungeni wenyewe, chuki mitaani na chuki Kibiti.
 
Wapinzani siyo wanafiki.kaleni hiyo futari ya masisiemu mnaweza mkawawekea sumu kwanza .
 
Mtanisahihisha Futari huliwa na aliyefunga je huyo spika naye leo alifunga au ndio mchezo wa kuigiza kwenye shughuli isiyokuhusu
 
Sasa ndio anauona mwezi mtukufu. Alipokuwa anamnyanyasa John Mnyika hakuliona hilo.


Halafu akawa anamwambia "Mnyika unamchokoza Lusinde"

Baadaye Lusinde alipomaliza kutoa hoja zake akiitetea serikali kama yeye ni waziri vile, Ndugai akamalizia kusema "Lusinde ndio kibako ya wapinzani" Sasa kama sio kuchochea vurugu bungeni ni kitu?
 
Honorable ndoze.....hadi raha..!!!

Awe ana angalia la south africa
Hilo la kwake kama la ma zombi vile.
Full kulala mtu akishtuka toka usingizini
Ndioooo...!? Wakati haelewi alichopitisha.

Wavivu kusoma ndo maana contract za ajabu zinapitishwa.
Ndo anataka la hivo
Mkuu umenikumbumbusha bunge la SA hadi..
Yule anaitwa Honourable Ndlozi ni matata sana..
Sio hii uchafu wa Ndugai.
 
Hakuna sababu ya kujipendekeza kwa watu ambao wameshaagizwa washughulikiwe ndani na nje.
 
Back
Top Bottom