Wapinzani wa Rais Samia wana matatizo ya akili

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,549
Reaction score
49,425
Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia?

Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli.
LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi alipoambiwa kuwa Magufuli alimweka kiporo akisubiri uchaguzi uishe amnyofoe roho yake. Akatoroka kwa msaada wa ubalozi wa Ujerumani.
Karudishwa Tanzania kafutiwa kesi zote za mchongo. Samia alimwita Ikulu wajadili jinsi ya kulivusha Taifa na mambo mengine.

Samia alifanya juu chini kuhakikisha wapinzani nao wanapata haki zao zote muhimu.
Cha ajabu wapinzani wakataka kulipa ushenzi waliofanyiwa na Rais Magufuli kwa serikali ya Samia.
Yaani machungu aliyowaletea Magufuli wao wamlipe Samia.

Wapinzani hawa hawana shukrani, hawa akina Mwabukusi kipindi cha Magufuli walikuwa kimya kama bata leo hii wanajifanya wajuaji.

Acheni kesi ya LISSU iendeshwe kwa umakini.
Wale wa uamsho walikaa jela miaka zaidi ya kumi wala hamkupiga kelele wanafiki wakubwa nyie .
Kesi ya uhaini, mauaji au ugaidi ikitolewa hukumu haraka mtu akanyongwa au akaachiwa na kutoroka nchi halafu baadaye jopo jingine wakibaini hukumu ilikuwa na makosa mtasolve vipi?

Huko mahabusu kuna watu wengi tu , wengine wana miaka zaidi ya mitano kesi zao hazijatolewa hukumu mbona mpo kimya?

Ingieni barabarani hata leo shinikizeni LISSU aachiwe muone nguvu ya serikali.
Mwaka jana mliwadanganya vijana kuwa serikali ina polisi wachache lakini leo kila siku mnalia lia hovyo polisi, polisi, polisi.
 
1775976870863.jpg
1775976866254.jpg
1775976863486.jpg
 
Paragraph ya kwanza inaonyesha uelewa wako bafo sana.

Huo ushahid ungekuwpo wangeshautumia, but then haupo 😂 is why nguvu kubwa inatumika
Simple as that

And for the record asipingwe yeye nani ? Mwenyezi Mungu japo kaumba wanadam wapo wanampinga? Even malaika baadhi?

Kuwa mpole
 
Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia?

Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli.
LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi alipoambiwa kuwa Magufuli alimweka kiporo akisubiri uchaguzi uishe amnyofoe roho yake. Akatoroka kwa msaada wa ubalozi wa Ujerumani.
Karudishwa Tanzania kafutiwa kesi zote za mchongo. Samia alimwita Ikulu wajadili jinsi ya kulivusha Taifa na mambo mengine.

Samia alifanya juu chini kuhakikisha wapinzani nao wanapata haki zao zote muhimu.
Cha ajabu wapinzani wakataka kulipa ushenzi waliofanyiwa na Rais Magufuli kwa serikali ya Samia.
Yaani machungu aliyowaletea Magufuli wao wamlipe Samia.

Wapinzani hawa hawana shukrani, hawa akina Mwabukusi kipindi cha Magufuli walikuwa kimya kama bata leo hii wanajifanya wajuaji.

Acheni kesi ya LISSU iendeshwe kwa umakini.
Wale wa uamsho walikaa jela miaka zaidi ya kumi wala hamkupiga kelele wanafiki wakubwa nyie .
Kesi ya uhaini, mauaji au ugaidi ikitolewa hukumu haraka mtu akanyongwa au akaachiwa na kutoroka nchi halafu baadaye jopo jingine wakibaini hukumu ilikuwa na makosa mtasolve vipi?

Huko mahabusu kuna watu wengi tu , wengine wana miaka zaidi ya mitano kesi zao hazijatolewa hukumu mbona mpo kimya?

Ingieni barabarani hata leo shinikizeni LISSU aachiwe muone nguvu ya serikali.
Mwaka jana mliwadanganya vijana kuwa serikali ina polisi wachache lakini leo kila siku mnalia lia hovyo polisi, polisi, polisi.
Ujiandae pia Mama yako akitoka Madarakani tutamfungulia kesi ya mauaji ya halaiki, note that very clear

No Rais ambae atakuwa na maisha mabaya baada ya Urais . Ni lazima apande kizimbani hilo mjiandae na kesi itaendeshwa kwa umakini
 
Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia?

Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli.
LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi alipoambiwa kuwa Magufuli alimweka kiporo akisubiri uchaguzi uishe amnyofoe roho yake. Akatoroka kwa msaada wa ubalozi wa Ujerumani.
Karudishwa Tanzania kafutiwa kesi zote za mchongo. Samia alimwita Ikulu wajadili jinsi ya kulivusha Taifa na mambo mengine.

Samia alifanya juu chini kuhakikisha wapinzani nao wanapata haki zao zote muhimu.
Cha ajabu wapinzani wakataka kulipa ushenzi waliofanyiwa na Rais Magufuli kwa serikali ya Samia.
Yaani machungu aliyowaletea Magufuli wao wamlipe Samia.

Wapinzani hawa hawana shukrani, hawa akina Mwabukusi kipindi cha Magufuli walikuwa kimya kama bata leo hii wanajifanya wajuaji.

Acheni kesi ya LISSU iendeshwe kwa umakini.
Wale wa uamsho walikaa jela miaka zaidi ya kumi wala hamkupiga kelele wanafiki wakubwa nyie .
Kesi ya uhaini, mauaji au ugaidi ikitolewa hukumu haraka mtu akanyongwa au akaachiwa na kutoroka nchi halafu baadaye jopo jingine wakibaini hukumu ilikuwa na makosa mtasolve vipi?

Huko mahabusu kuna watu wengi tu , wengine wana miaka zaidi ya mitano kesi zao hazijatolewa hukumu mbona mpo kimya?

Ingieni barabarani hata leo shinikizeni LISSU aachiwe muone nguvu ya serikali.
Mwaka jana mliwadanganya vijana kuwa serikali ina polisi wachache lakini leo kila siku mnalia lia hovyo polisi, polisi, polisi.
You are gifted fool...
 
Machawa wake wana mtindio wa ubongo mtu kaua ndugu zenu kisa Madaraka bado mnakuwa machawa wake mna akili kweli nie.
 
uko sahihi 100%,
tena pale chadema masalia,
wenye matataizo ya akili wengi kweli, kwa mfano mropokaji heche n.k, myika naona anapona taratibu, huendanda changamoto yake imepata suluhisho
 
Pimbi wewe, alokwambia Lissu anaogopa hukumu yako ya kipumbavu ni nani?

Unadhani kwamba mkimnyonga ndio litakuwa tukio la kiuonevu kushinda hili la kumsweka ndani mwaka sasa bila kuthibitika kuwa anahatia?

Jinga kabisa
 
Back
Top Bottom