Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.
Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM.
Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia?
Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli.
LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi...
Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari .
Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii.
Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli?
Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu?
Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila...
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti?
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
atahari za kisaikolojia
hizi
mahusiano
matatizo y uzazi
matatizoyaakili
mbili
miujiza
moja
msongo wa mawazo
paranoia
sarafu
sarafu moja
suluhisho halisi
udanganyifu
utegemezi
wachungaji
waganga
wanawake
Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida kwenye kesi inayomkabili bwana Hamis Luwongo aliyehukumiwa jana na mahakama ya kuu ya kanda ya Dar es salaam kwa kosa la kumuua mkewe kisha kuuchoma moto mwili wa mkewe.
Katika kuhakikisha inatenda haki, mahakama iliomba mtuhumiwa afanyiwe vipimo vya akili...
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
Habari zenu wana jamifourm!
Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.
Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani.
Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo."
Trump...
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la...
Saikolojia?
Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni.
Mihadarati?
Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake.
Uchawi?
1: Kwamba mwanaume...
Mtaalamu wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa machozi utakuwa na tatizo kubwa la akili, jitahidini mlie tafadhali.
Pia soma: Ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili nchini; Je, jamii ina elimu ya kutosha juu ya namna ya kukabiliana na janga hili?
Kama ni Kulia tu...
Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawashukuru kwa dhati watu wote waliotusaidia kuwapata ndugu wa Bw.Karim, Mtanzania mwenzetu mwenye matatizo ya akili hivi sasa, ambaye aliondoka nchini Tanzania mwaka 1998 kwa ajili kuja Afrika Kusini (Bondeni), kutafuta fursa za Kimaisha...
Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone.
Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa.
Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukiyapa kipaumbele magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza, ambapo kwa kiasi kikubwa yameelezewa kwa mapana yake kuhusiana na chanzo, dalili, na tiba zake.
Huku semina na mafunzo mbalimbali ya uelimishaji yakifanywa kwa umma kupitia Serikali na wadau wake...
Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya ambapo watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili huku matumizi ya teknolojia kama mitandao ikiwa moja ya sababu iliyotajwa na wadau. Msongo wa mawazo pia ni changamoto nyingine inayokumba watanzania.
Wiki hii dunia inaadhimisha wiki ya afya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.