Sio hivyo, ni kwamba Muruma ndo katoa taarifa zote kwakuwa alikuwa jikoni muda mrefu ndo maana ametumika kama askariKwa hiyo mkulu anataka kutuambia Mruma alitumwa na JK kufanya ushushushu? Na akaleta taarifa ili aje ampe Magu aifanyie kazi wakati magu anavyo eleza ni kuwa awamu zilizopita zimefuja mali bila hatua kuchukuliwa.
Tunapigana fix mchana kweupe nasi tunakubali tuu kwa vile kasema baba!
Sent using Jamii Forums mobile app