Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,894
- 287,973
Mbinu za kuokoana .Hivi hili swala la Almasi na kuhusishwa kwa Mruma ni la muda gani? Alitumwa na serikali ya awamu ya nne? Au Magufuli ndiye kamtuma?
Mbinu za kuokoana .Hivi hili swala la Almasi na kuhusishwa kwa Mruma ni la muda gani? Alitumwa na serikali ya awamu ya nne? Au Magufuli ndiye kamtuma?
Chadema kupitia lema, mbowe, msigwa, lissu, mnyika ndo walim'bebea bango !
NotedRais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.
Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Kwa Mruma sidhani kama kweli alitumwa kufanya uspy kule alikosaini mikataba unless kama alisomea ushushushu.Never, alitaka kumsafisha naye asijiuzulu. Kuwa na akili zaidi na zaidi! Huyu haaminiki katu!
Kuwa na akili bongoland ni mateso sana mkuu. Unahitaji za kuvukia barabara tu zinatoshaKama alitumwa sasa ilikuwaje akubali kuiangamiza nchi kwa mikataba yenye hasara kwa nchi? Kiusalama huwezi kuwatajia maaduwi zako MTU aliyekuwa anawapeleleza.Maana ni kuhatarisha maisha yake na jingine ni kusababisha aduwi zako wengine watafute njia bora yakupiga ishu.Hii plan itakuwa kwa tz tu.Maana ethics za upelelezi zinagoma.
Siyo ukomo wa kufikiri, tunatakiwa kuhakikisha vyanzo vyote vya moto vinakuwa mbali na vitu vinavyowaka.Huo ndio ukomo wako wa ufikiri
Hiyo ni hewa ambayo yaweza kulipuka wakati wowote. Lazima tujilinde, tulinde wenzetu na mazingira pia.Siyo ukomo wa kufikiri, tunatakiwa kuhakikisha vyanzo vyote vya moto vinakuwa mbali na vitu vinavyowaka.
Hata wapinzani wawaweza kumuua lissu maana amekuwa tishio kwa nafasi zaoRais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.