Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,419
6,580
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
 
ripoti zote lowasa hajatajwa duuh ccm muombeni radhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.

UTAJUAJE NA WAO UPANDE WAO HAWANA MA AGENT CCM HUU MCHEZO KAMA RUSSIA NA USA JUST SIT BACK AND ENJOY THE SHOW
 
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Hivi lowassa na sumaye walisharudisha kadi za sisiemu??
Na kiukweli sasa hivi upinzani umeshaanza kuyumba sana!
 
Mtu anadai yupo chadema wakati kadi ya ccm kaiweka chumbani kwake ili muda ukifika iwe rahisi ni kutangaza tu kwa sababu kadi ililipiwa hadi mwaka 2050.
Mwapachu alihamia chadema hakurudisha kadi yake alipoamua kurudi ccm kazi ilikua ndogo sana
 
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
usitutishe
 
Hivi hili swala la Almasi na kuhusishwa kwa Mruma ni la muda gani? Alitumwa na serikali ya awamu ya nne? Au Magufuli ndiye kamtuma?

Kwa hiyo mkulu anataka kutuambia Mruma alitumwa na JK kufanya ushushushu? Na akaleta taarifa ili aje ampe Magu aifanyie kazi wakati magu anavyo eleza ni kuwa awamu zilizopita zimefuja mali bila hatua kuchukuliwa.
Tunapigana fix mchana kweupe nasi tunakubali tuu kwa vile kasema baba!
 
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.

Tayari wametimiza lengo lao la kumkomesha Lissu, Mungu yupo
 
Mtu anadai yupo chadema wakati kadi ya ccm kaiweka chumbani kwake ili muda ukifika iwe rahisi ni kutangaza tu kwa sababu kadi ililipiwa hadi mwaka 2050.
Mwapachu alihamia chadema hakurudisha kadi yake alipoamua kurudi ccm kazi ilikua ndogo sana
Mkuu, Vijana wa chadema huwa hawataki kuamini ukweli huu,hata Slaa hakurudisha kadi na vijana haohao hawakuamini kama Jamaa atawasaliti na leo anakula raha Canada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom