Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

Mtu anadai yupo chadema wakati kadi ya ccm kaiweka chumbani kwake ili muda ukifika iwe rahisi ni kutangaza tu kwa sababu kadi ililipiwa hadi mwaka 2050.
Mwapachu alihamia chadema hakurudisha kadi yake alipoamua kurudi ccm kazi ilikua ndogo sana
Mwapachu alirudisha ya CCM na ya TANU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" NI BORA MKAVUNJA SHERIA KULINDA RASILIMALI ZA NCHI"
Hii ni kauri hatari zaidi kuliko hiyo ulivyo itaja.
Watu watadhuliwa kwa kisingizio cha kulinda Mali za nchi.
Muda utasema tuko hapa
 
Kwa hiyo mkulu anataka kutuambia Mruma alitumwa na JK kufanya ushushushu? Na akaleta taarifa ili aje ampe Magu aifanyie kazi wakati magu anavyo eleza ni kuwa awamu zilizopita zimefuja mali bila hatua kuchukuliwa.
Tunapigana fix mchana kweupe nasi tunakubali tuu kwa vile kasema baba!
Ufisadi Tanzania ni kama kansa ya damu. Kila mtu anakaharufu la ufisadi...... yaani hapa anaona tu aibu kumtumbua Mruma kwa vile kamtumia kwenye tume na Makinikia na Ile timu ya kunegotiate na Barick!!
 
Kwa hiyo mkulu anataka kutuambia Mruma alitumwa na JK kufanya ushushushu? Na akaleta taarifa ili aje ampe Magu aifanyie kazi wakati magu anavyo eleza ni kuwa awamu zilizopita zimefuja mali bila hatua kuchukuliwa.
Tunapigana fix mchana kweupe nasi tunakubali tuu kwa vile kasema baba!
Mkuu Chakaza, ni katika enzi hizi za JPM ndipo watu wa kazi wanajulikana, enzi za Mwalimu na Mwinyi ilikuwa humjui nani ni nani katika ofisi au taasisi fulani.

Wa aina ya Mruma ni wengi sana, na ndio wanaoifanya nchi hii iwe kama ilivyo leo hii.
 
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
mkuu, pale hamna kitu.

kama angebariki tuhuma dhidi ya Mruma sasa, maana yake ni kwamba hata credibility ya zile taarifa za matrilioni ya makinikia ya dhahabu ingekuwa sifuri. which means hata credibility ya mteuzi wa Mruma ingeshuka sana hata kwa waliokuwa wanaamini ule usanii wale maprofesa.

aliyesema Watanzania ni walking corpses hakukosea!
 
Tanzania ni nchi iliyobobea kwa ujasusi, hawa jamaa ni kama Wa Vietnam hapa kila MTU jasusi. Hii nchi INA raha sana....hao wazungu hawatafua Dau kwetu. Mlibeza kibiti muda ukaongea. Sasa mtake msitake vyama vyetu vina mapandikizi tupu.
 
Kulikuwa na haja gani kuunda tume wakati kuna informer anayeleta kila kitu?
 
"Game theory ya siasa ni ngumu sana.. hasa hapa Bongo ambapo watu wana njaa sana..!!
 
Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Huwezi kumpokea EX PM na mwanaCCM wa tangu udog wake na ukadhani eti atakuwa mpinzani...Haipo hiyo duniani....Huyo ni mtu wao ..Its very obvious
 
Lowasa kanisaidia sana kuachana na mambo ya siasa
 
Back
Top Bottom