Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

Wapinzani kuweni macho na kauli ya leo ya Rais

Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Upinzani siyo uadui, vyama vya siasa ni njia halali ya kutafuta uongozi wa serikali.
Pamoja na ukosefu wa ustaarabu katika mpambano wa vyama kisiasa, usifananishe na vita dhidi ya wizi na ufisadi, hasa wa kupeleka utajiri nje ya nchi.
 
Kuna yule mmoja tuliambiwa alitumwa kutibiwa India ila hatujaambiwa alirudi lini na anaendeleaje lkn tunamuona mitaani akipitapita!
 
Upinzani siyo uadui, vyama vya siasa ni njia halali ya kutafuta uongozi wa serikali.
Pamoja na ukosefu wa ustaarabu katika mpambano wa vyama kisiasa, usifananishe na vita dhidi ya wizi na ufisadi, hasa wa kupeleka utajiri nje ya nchi.
Huo ndio ukomo wako wa ufikiri
 
Hivi hili swala la Almasi na kuhusishwa kwa Mruma ni la muda gani? Alitumwa na serikali ya awamu ya nne? Au Magufuli ndiye kamtuma?
Kwa hiyo na Chenge alitumwa upande ule ili baadae tupate "chenji ya rada"?

Waliositisha mikataba pia walitumwa ili baadae Taifa liwalipe fidia "wezi"?

Chama Cha kuwagawia umasikini wadanganyika kinaendelea kuwa-bepari wadanganyika.
 
Kwani kwa mtu wa kawaida mwenye akili timamu kuwa na kadi ndo nini, kuna watu wana kadi za chadema wanapigia kura ccm ilimradi ana mahaba na mgombea umeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anadai yupo chadema wakati kadi ya ccm kaiweka chumbani kwake ili muda ukifika iwe rahisi ni kutangaza tu kwa sababu kadi ililipiwa hadi mwaka 2050.
Mwapachu alihamia chadema hakurudisha kadi yake alipoamua kurudi ccm kazi ilikua ndogo sana
Ninayo kadi ya ccm lakini sijawahi kuwapa kura yangu.
 
Kwa hiyo mkulu anataka kutuambia Mruma alitumwa na JK kufanya ushushushu? Na akaleta taarifa ili aje ampe Magu aifanyie kazi wakati magu anavyo eleza ni kuwa awamu zilizopita zimefuja mali bila hatua kuchukuliwa.
Tunapigana fix mchana kweupe nasi tunakubali tuu kwa vile kasema baba!
wazee wa ku backdate washafanya yao
 
Kama alitumwa sasa ilikuwaje akubali kuiangamiza nchi kwa mikataba yenye hasara kwa nchi? Kiusalama huwezi kuwatajia maaduwi zako MTU aliyekuwa anawapeleleza.Maana ni kuhatarisha maisha yake na jingine ni kusababisha aduwi zako wengine watafute njia bora yakupiga ishu.Hii plan itakuwa kwa tz tu.Maana ethics za upelelezi zinagoma.
 
Back
Top Bottom