Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

Kwani Odinga alipomshangilia Magu 2015 hakujua kwamba mhosha huoshwa.
Chama chake odinga hakijawahi toa msimamo wa kumuunga mkono magufuli tofautisha na chadema ambacho kamati kuu na chama kutangaza wazi kumuunga mkono Kenyatta na chama chake. Madhara ya hili walilofanya chadema wasubiri 2020 nina siri kibao simwagi hapa yatosha kusema chadema walivyoligema watalinywa wanachadema waaanze kuandaa vidonge vya presha sababu yatakayotokea hawataamini
 
Kwa hiyo kama Raila angeshinda, angeendelea kuitwa mpinzani? Kama asingeendelea kuitwa mpinzani, CHADEMA wangetakiwa kumsapoti nani, mtawala Raila au pinzani Uhuru? Upinzani na utawala sio permanent situation
 
Lowasa na Mbowe wanataka kujijemga kibiashara nchini Kenya baada ya kuona Tanzania wezi hawatabaki salama.Hawa kuna kitu wanatafuta na msidhani kuna siasa hapo.
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Wamesahau Odinga alkua anamkubali nani 2015 naye tulimuona wa ajabu pia, hivi unadhan CHADEM wajinga kussaport uhuru wkt miaka yte walisapot odinga....Jamaa aliwasaliti 2015 nakutaka chama tawala kiendelee kuongoza bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga kweli hawakukosea waliposema nyani siku zote haoni KUNDULE!

Raila Odinga Aeleza Kenya Ilivyopokea Ushindi Wa Magufuli Na Kama Aliwahi Kumgusia Kuutaka Urais

Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
 
Chama chake odinga hakijawahi toa msimamo wa kumuunga mkono magufuli tofautisha na chadema ambacho kamati kuu na chama kutangaza wazi kumuunga mkono Kenyatta na chama chake. Madhara ya hili walilofanya chadema wasubiri 2020 nina siri kibao simwagi hapa yatosha kusema chadema walivyoligema watalinywa wanachadema waaanze kuandaa vidonge vya presha sababu yatakayotokea hawataamini
Mnamtisha nani?! Kama kuiba ibeni tu!! Watu wenyewe mnaiogopa tume iliyo huru na fair kwa wote [emoji107] [emoji107]

Cairo's
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Logic ya upinzani kuungana mikono wao kwa wao sijawahi kuielewa, kwamba chama kitakacho ingia madarakani mnavunja uhusiano nacho?.
 
Ccm iliunga mkono lini upinzani kenya na ikatoa tamko Official na mwenyekiti wa CCM? CCM mwenyekiti hajawahi toa tamko wakati chadema kamati kuu na mwenyekiti wa chadema walitoa official tamko Kumuunga mkono Kenyatta na chama chake
Tulia usitingishe mguu..
Dawa iliyo kwenye sindano ipenye vizuri.
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Kwanza kabisa Africa Mashariki hakuna vyama vya siasa, kuna magenge ya ulaji tu.

Ndiyo maana unaona mara leo Lowassa CCM, kesho CHADEMA. Mara Uhuru KANU, mara Jubilee. Mara Raila Orange nini sijui, mara NASA.

Mara Mrema NCCR, mara TLP, mara Shibuda CCM, mara CHADEMA, mara CCM tena. Mara Zitto CHADEMA, mara sijui Wazalendo. Mpaka mtu unashindwa kufuatilia.

Kwa hiyo, kwanza kabisa ondoa dhana ya kwamba tuna vyama vya siasa.

Hatuna vyama vya siasa.Hususan Tanzania.Kwa sababu hatujafika kwenye level ya matabaka ya kweli ya kiuchumi na kielimu ya kufanya tuwe na tofauti za kiitikadi za kweli zinazojenga vyama vya siasa.

Ukiwasoma Karl Marx na Friedrich Engels kwenye "The Communist Manifesto" na "The Condition of The Working Class in England" utaona naongelea nini.
 
Na hilo ndio kosa la msingi la Chadema.....mnachokipigania leo kesho mnakikana..!
Kwahiyo kwako rafiki yako akienenda katika misingi ya hovyo utaendelea kumuunga mkono tu kwa sababu ni rafiki yako?! Chadema wanapigania demokrasia, na kuamini misingi ya utawala bora, Raila Odinga anasema ataongoza kama Magufuli na tafsiri yake atakuwa kiongozi mwenye kuamini utawala wa One Man Show, kubinya demokrasia na utawala wa sheria kama ambavyo anafanya Magufuli, hivyo Raila Odinga amekengeuka katika njia ya haki na kuingia katika njia isiyo ya haki ambayo sisi Chadema hatuwezi kuwa naye kamwe
 
Logic ya upinzani kuungana mikono wao kwa wao sijawahi kuielewa, kwamba chama kitakacho ingia madarakani mnavunja uhusiano nacho?.
Wanajisahaulisha kwamba urafiki ni baina ya vyama si utawala. ndio maana waliounga mkono washindwa wamepagawa
 
Back
Top Bottom