Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

Ni aibu kuwa mfuasi na mwanachama wa Chadema kwa wakati huu.

Hii yote ni chama kukosa msimamo.
Na ni aibu kwa mkulu kuunga mkono chama pinzani NASA huku akiacha chama tawala au sio?
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Walipobadilishia gia angani ndipo rangi zao halisi zilipojionyesha hadharani.

Wanachopaswa kukitilia maanani ni ule ukweli kuwa wanasiasa wa Kenya sio wepesi kama ambavyo baadhi ya wanasiasa wa kitanzania wanavyokuwa.

Ni vigumu sana kwa upinzani wa Kenya kuuheshimu ule wa Tanzania, kuanzia sasa na kuendelea.

Ilikuwa ni rahisi kuwashawishi watanzania kuielewa hatua ya CHADEMA kumpokea Lowassa, lakini itakuwa ni vigumu sana kwa upinzani wa Kenya kuamini upinzani wetu kwa katika nyakati za shida na uhitaji, haukuonekana urafiki wa kweli.
 
Kenya ni wazuri sana kujifunza kwa majirani zao. Raila aliposema atafuata nyayo za jpm, kuinyoosha nchi, watumishi wa uma kenya walikumbuka jinsi watumishi wa tz wanavyohaha, na wengi wamepoteza ajira zao, iliwabidi wamkumbatie rais Uhuru kwa gharama yoyote arudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema

Chadema imemjibu Odinga Na NASA yao; kwani Odinga alisupport CCM in 2015 TZ election. So waache kulialia kama malaya aliyefwanywa bila kulipwa!!!!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
ibid, au?
 
Hahahahaaaaaa,lumumba mnafurahisha sana!Ina maana hawajui kuwa 2015 Raila alimuunga mkono JPM????
 
CHADEMA ilikuwa zamani hata mzee SABODO anafaham hili.

NI CHAMA PEKEE CHA UPINZANI KILICHOKISAIDIA CHAMA TAWALA KUMPOTEZA MTAALAM WA IT.
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
 
Mbona 2015 Odinga alimuunga mkono rafiki yake hawakuongea!? Leo wamevuliwa Nguo wachutame tu hakuna haja ya NASA kukimbiza aliyewavua nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mizezeta na miabudu watu siku zote ni misahulifu sana hili walishasahau.dunia wangeumbwa waafrika tupu hata baiskeli ya miti isingegunduliwa kwa akili za kipumbavu kiasi hiki.
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
MAJIBU HAYO HAPO CHINI!!!

Kumekuwa na baadhi ya watu wamekuwa wakitushangaa CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani Tanzania kumuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta badala ya mpinzani mwenzetu Mh Raila Amolo Odinga. Ukweli ni huu;
■Uchaguzi mkuu wa Kenya uliopita tulimuunga mkono Odinga kwa kuwa hatukumjua vizuri Kenyatta hivyo we stand na Odinga na hata tulipeleka makamanda na vifaa vyetu kusaidiana nae. Dhamira ilikuwa kukuza demokrasia ktk Afrika ya Mashariki.
■Mwaka huu tumemuunga mkono Kenyatta kwa kuwa kila tulichokuwa tunakipigania na kukiamini (DEMOKRASIA NA MAENDELEO) mh Kenyatta ametimiza wajibu huo vyema kuliko kiongozi yeyote ktk ukanda huu wa Afrika Mashariki. Kenya miongoni mwetu imekuwa nchi ya mfano. Utawala bora, uhuru wa wapinzani kukosoa serikali, haki ya wapinzani kufanya mikutano na maandamano kama ilivyoainishwa ktk katiba yao, uwazi ktk utekelezaji wa kazi za serikali na mengi mengine. Lakini pia kuelekea uchaguzi aliunda tume huru ya uchaguzi, mahitaji muhimu ya wapinzani yalisikilizwa (mfano kura kwa wafungwa na walio nje ya nchi) na pia kupitia hotuba zake nyingi alionyesha UPENDO WA WAZI KWA WAPINZANI WAKE jambo ambalo ni adimu na ajabu ktk nchi zetu. Huku kwetu mpinzani kwake jela, mpinzani wake polisi, mpinzani sebuleni kwake mahakamani.
■Ikumbukwe hata hapa Tanzania kuna wapinzani wenzetu na tunawapinga matendo yao yanayoua demokrasia mfano ni Lipumba, Mrema, Cheyo, Zitto na wengine wa aina yao
Lakini kuna wanaccm tunaowaunga mkono ktk mengi mfano Hussein Mohammed Bashe marehemu Deo Fulikunjombe, makamu wa rais Samia na wengine wa kaliba hiyo. Hata mh Kenyatta akibadilika kuwa kama madikteta wengine tuwajuao tutapaza sauti kumpinga. Huwezi kuwa na amani wakati kwa jirani hakuko sawa. HATUPELEKWI NA UPEPO TUNAPELEKWA NA MOVE!!!
*HONGERENI KENYA KUAMUA*
*BinamuHimsefl
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Wewe mmbea, mzandiki na mfitini hao wapinzani uliongea nao wapi?
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
NASA ni wapuuzi. Mbona wao wanaishabikia CCM na siyo upinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raila naye atatinga Tarime kukipigia kampeni chama tawala 2020 kama Lowassa alivyokifanyia chama tawala cha Kenya eneo la wamasai 2017.
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Mwambieni Raila aachene na timu Kagame, M7, Nkurunzinza, na swahiba wake Maguful: Birds of the same feather-----------
 
Back
Top Bottom