Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

Ccm iliunga mkono lini upinzani kenya na ikatoa tamko Official na mwenyekiti wa CCM? CCM mwenyekiti hajawahi toa tamko wakati chadema kamati kuu na mwenyekiti wa chadema walitoa official tamko Kumuunga mkono Kenyatta na chama chake
Hawa jamaa wapumbavu tu hawajitambui yaan wanaongea kijingajinga eti ccm imeunga mkono opp. Ule ni urafiki tu wa magu na laira na wala hauna uhusiano nanccm. We wapuuze achana nao wanarukiarukia tu kama ngedere hawana sera. Wakati mzee wa pampas alienda kwenye majukwaa kenya kumnadi uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wapumbavu tu hawajitambui yaan wanaongea kijingajinga eti ccm imeunga mkono opp. Ule ni urafiki tu wa magu na laira na wala hauna uhusiano nanccm. We wapuuze achana nao wanarukiarukia tu kama ngedere hawana sera. Wakati mzee wa pampas alienda kwenye majukwaa kenya kumnadi uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Laira ndio nani vile?
 
Chadema atuungi tu kwa kuwa wewe ni mpinzani, Chadema tunaunga mkono pale tunapofanana na yeyote kwenye misingi tunayoiamini na kuisimamia iwe chama tawala au cha upinzani
Mkuu nilisikia/soma mahali kuna shirikisho la vyama vya upinzani iliishia wapi hii!?..
 
Chama chake odinga hakijawahi toa msimamo wa kumuunga mkono magufuli tofautisha na chadema ambacho kamati kuu na chama kutangaza wazi kumuunga mkono Kenyatta na chama chake. Madhara ya hili walilofanya chadema wasubiri 2020 nina siri kibao simwagi hapa yatosha kusema chadema walivyoligema watalinywa wanachadema waaanze kuandaa vidonge vya presha sababu yatakayotokea hawataamini
Hahah kama una siri kumzidi dr. Slaa aliyekimbia chadema na bado watu maisha yanaendelea tu.Ngoja wasubiri siri utakazomwaga 2020.
 
Na kama hamjui 2020 no kampeni na atashinda kwa zaidi ya 80% hebu kama unamsapoti magu like hii post nione tupo wangapi ili wapinzani wajue wanatwanga maji kwenye kinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Anybody not willing to accept the results of an election is a danger to democracy quote from Hillary Clinton
 
Lowassa amejipendekeza ili 2020 asaidiwe na Uhuru Kenyatta.

Kachanga vibaya karata, Nyumbu mtalijua hili baadae kwa uwezo wenu wa IQ siyo rahisi kuelewa kwa leo.
 
Hao wapinzani labda wale waliokuwa wanatally lumumba
 
Back
Top Bottom