Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

lowasa alikua na tuhuma kamuunga mkono uhuru aliyekuwa na tuhuma icc. hakuna ajabu hapo.
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Na wao wajiandae kuisupport ccm 2020 kwani shida iko wapi wajameni? Kwani iko shida?
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Waache kulialia
 
chadema watahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Uhuru. safi sana
 
Ccm iliunga mkono lini upinzani kenya na ikatoa tamko Official na mwenyekiti wa CCM? CCM mwenyekiti hajawahi toa tamko wakati chadema kamati kuu na mwenyekiti wa chadema walitoa official tamko Kumuunga mkono Kenyatta na chama chake
Raila.jpm_.orange.jpg
 
Tatizo unashindwa kuelewa.
Raila alimpongeza Magufuli kama personal na siyo ccm kama chama.
Hata hivyo Raila hakumsaidia Magufuli kushinda kama CDM chakavu kilivyofanya.

Wengi wenu sasa CDM mnafukuza upepo wa Lowassa, atakalolitaka anamtuma Mbowe alitangaze kama msimamo wa chama, nyinyi wengine mnabaki kupiga makofi tu.

Inahitaji kujitoa ufaham kabla hujaamua kuitetea CDM hii ya Lowassa.
 
Danganya wasiofaham.
Mwenye chama Lowassa ndiye ameamua kumsupport Kenyatta, nyinyi wafuata sauti ya Lowassa hsmna namna.
Kwahiyo kwako rafiki yako akienenda katika misingi ya hovyo utaendelea kumuunga mkono tu kwa sababu ni rafiki yako?! Chadema wanapigania demokrasia, na kuamini misingi ya utawala bora, Raila Odinga anasema ataongoza kama Magufuli na tafsiri yake atakuwa kiongozi mwenye kuamini utawala wa One Man Show, kubinya demokrasia na utawala wa sheria kama ambavyo anafanya Magufuli, hivyo Raila Odinga amekengeuka katika njia ya haki na kuingia katika njia isiyo ya haki ambayo sisi Chadema hatuwezi kuwa naye kamwe
 
WAFUASI WA NASA WANAPIGWA NA POLISI NA KUKAMATWA.

WANAJARIBU KUIELEZEA DUNIA JINSI VYAMA TAWALA VYA AFRIKA VINAVYOKAA MADARAKANI KWA WIZI WA KURA.

AJABU HAPA TZ CHADEMA WANAWAPONGEZA POLISI KUWAPIGA WAANDAMANAJI WA NASA.
 
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
Ni upuuzi huu unao uandika. Unaelewa maana ya democracy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chadema bana, jubilee na ccm ni marafiki na soon zitaanza kutoka nyaraka....

btw hii ni kujifariji tu, 2020 ni kesho tu
 
Back
Top Bottom