Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

Wapinzani Kenya waiponda CHADEMA na Lowassa

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,832
Baadhi ya wanasiasa wa upinzani kupitia muungano wa upinzani Nchini Kenya wametokea kukiponda chama cha chadema

Kwa kitendo cha kushangilia ushindi wa chama tawala nchini Kenya wakati wakiwa wapinzani

Lakini pia kitendo cha lowassa kukifanyia kampeni chama tawala akiwa kama mpinzani Mkuu Tanzania,

Baadhi ya wapinzani walienda mbali kusema hawajawahi kuona cha upinzani Africa kama chadema
 
Rafiki wa adui wako ni adui wako

Uhuru atosha
 
Na ccm kuunga mkono cha pinzani kenya sio ajabu ilo
Ccm iliunga mkono lini upinzani kenya na ikatoa tamko Official na mwenyekiti wa CCM? CCM mwenyekiti hajawahi toa tamko wakati chadema kamati kuu na mwenyekiti wa chadema walitoa official tamko Kumuunga mkono Kenyatta na chama chake
 
Wanywe chupa tu hao hamna namna.

Mwenyekiti wa chama tawala wa huku alivyokua pamoja na mwenyekiti wa upinzani wa huko mbona hawakuiponda ccm.
 
Back
Top Bottom