Ismailsimba
Member
- May 10, 2012
- 88
- 12
orbit ni nzuri kwa kudownload mafile meng kwa mpigo.. Bt sidhan kama inakamata streaming videos..
Idm bado iko juu mkuu
Chunguza kabla hujaongea, Orbit ina full-functionality kwa direct na streaming links.
orbit ni nzuri kwa kudownload mafile meng kwa mpigo.. Bt sidhan kama inakamata streaming videos..
Idm bado iko juu mkuu
Chunguza kabla hujaongea, Orbit ina full-functionality kwa direct na streaming links.
Transporter
Hizo zote cha mtoto kama unataka ku-enjoy Historical drama nzuri kuliko hizo jaribu kuangalia hizi
1. Dong Yi
2. Yi San
3. Horse Doctor
Link: http://www.gooddrama.net/korean-drama/horse-doctor
4. Arang The Magistrate
5. Faith
6. Princes Man
Hebu anza na Dong Yi alafu ndio ujue what it means unaposema among best Historical K-drama
.
duh mimi nimeangalia korean series moka tu,iris n nikaipenda haya ngoja thisi time niachane na wamarekani nianze na hiyo ding yi uliyosema niataleta feedback baada ya kama ka wiki hivi!!!!
mh hapo itauwa haijakuwa integrated vizuri na browser unayoitumia,mimi maraa chachace huwa inanisumbua kudownload katika chrome nikiona hivyo huwa nabadilisha browsermnapozungumzia idm huwa nachanganyikiwa zaidi.Kwanza ninayo na naitumia kudownload kwenye youtube na baadhi ya video.Tatizo langu baadhi ya site nikitaka kudownload hii idm haijitokezi ili niweze kudownload,lakini humu wadau wanatoa taarifa za kudownload hiyo site.Sasa naomba muongozo namna ya kudownload kwa kutumia idm ktk site ambazo ile icon ya idm haijitokezi
nimesikia season 2 haijaendelea kama vile season 1 ilipoishia maactor wengi hawapo wameletwa wengine so somehow nimekuwa disapointedmkuu cheki na IRIS season 2 ni balaa.....
hizo nimeziona lakini hii kali kulikoTransporter
Hizo zote cha mtoto kama unataka ku-enjoy Historical drama nzuri kuliko hizo jaribu kuangalia hizi
1. Dong Yi
2. Yi San
3. Horse Doctor
Link: http://www.gooddrama.net/korean-drama/horse-doctor
4. Arang The Magistrate
5. Faith
6. Princes ManHebu anza na Dong Yi alafu ndio ujue what it means unaposema among best Historical K-drama
.
A man called god...kali sana
mkuu Mkwawa tafadhari nnashida yakutambua hiyo vpn ni kitu hasa,,,maana nimecjoka kupakua vipande vya episode, tafadhari naomba msaada wako,,nishajaribu drama 5 lakini kwangu haitaki kufanya kazi inanipa errorsmkuu kama una vpn unaweza dowload dramacrazy full episode.
kama huna vpn nenda googdrama ukadownload vipati vitatu kila episdode
-website hizo mbili ni za kuangalia online itabidi uwe na idm kuzicatch
link kamili hizi hapa
Drama Shows, Drama Movies, Watch Download Free Drama Movies in Korean, Japanese, Taiwanese, Hong Kong, Chinese - Gooddrama.net
DramaCrazy.net - Discuss Asian Drama | Read Fan Reviews | Download Wallpapers | Watch Drama
sorry sjacode link
Jewel in the Palace, Series yangu ya kwanza kuangalia kutoka Korea. Nilikuwa naipenda sana ile Sound track yake.mkuu mi ninazo zote kuanzia jumong, land of wind, emperor of the sea, slave hunter, great queen seondeak,jewel of the palace etc, nikupe ipi ??
aisee zote mnazoziongelea hapa nishaziona Ongeza izi
king guanggaeto
king geunchogo
kings 2 heart
49 days