Wapi nitaweza kudownload Korean drama(series)

Wapi nitaweza kudownload Korean drama(series)

nimetest karibia download manager zote maarufu idm,fdm,dam na dap kila moja ina faida yake na hasara yake.

kati ya zote hizo mi nazipenda mbili dam na idm. interms of speed dam anamuacha idm for sure ila idm ana uwezo mkubwa wa kucatch video za streaming.

iwe ni mp4 au flv idm inadaka iwe ni youtube au site nyengine idm inapeta ndo mana unaona watu wanaipenda

Nimejaribu hiyo IDM lakini mpaka sasa sioni chochote hai_respond kabisa.......naomba elimu nimei-install katika laptop yangu lakini nikifungua video yoyote haitokei. Natumia firefox...
 
Wakuu naomben mwenye kujua link ya kudownload translated korean series anisaidie kuiweka hapa.

The easiest way install bit torrent software. Itakuwa vizuri kama Internet yako inaspeed nzuri then go and search at:
http://themobilebay.org
thepiratebay.org
http://kickass.to/

Ur welcome bro. All the best
 
Wewe jamaa ni mkari, mimi nilidhani hizo series nimeziona peke yangu hapa Bongo,
Hiyo king geunchogo inaanzia kutoka Jumong pale Queen Sosuhno alipoondoka na wanae Biryu na Onjo wakaenda kuanzisha Kingdom yao ya Baekje,

Tafuta nyingine inaitwa Princess Ja Myung Go, ni Historical drama inahuzunisha sana.
link yake Princess Ja Myung Go - GoodDrama.net


Mkuu ungtupia link ya King Guenchoggo ingekuwa vema sana..
 
Mbna mm nashindwa kudownload hzo dramas
Nmetumia gooddrama inasema video broken
 
Back
Top Bottom