Wapi wanachukua script za movie and series hapa TZ

Wapi wanachukua script za movie and series hapa TZ

zeeble

Member
Joined
Jan 4, 2022
Posts
42
Reaction score
33
Habari za wakati huu ndugu zanguni, katika tasnia ya filamu hapa nchini Mimi ni miongoni mwa wanaopenda sana sisi kama Tanzania tufike mbali Zaidi ya hapa tulipo, kongole kwa kampuni ya Azam kwa kuliona Hilo na kua kifua mbele kwenye hili. Nina mawazo tofauti tofauti ya kuandika series, movie lakin nakwama pahali; wapi naweza nikapeleka script kwa hapa TZ na nikawa miongoni mwao .

Natanguliza shukran 🙏
 
Si mtazamaji wa movies za kibongo, lakin nikiwa home nikipata muda wa kuzuga na series za kibongo zinaoneshwa azam, hasa channel ya sinema zetu.

-movies / series nyingi contents zinafanana. Nyingi zinazungumzia watu wanaogombania kampuni na migogoro ya mapenzi tu. Ni rahisi sana kupredict direction ya movies mwisho wake.

-kuna changamoto ya selection ya characters. Utakuta kuna lijamaa lina mama yake afu huyo mama ni kama wanalingana umri, kitu ambacho hakileti uharisia ata kama wanaigiza.

-sehemu kubwa ya movie ni ndani tu kalibia zote,.
Mabadiriko- kwa upande wa camera wamejitahidi sana, waigizaji wengi wanajitahidi wanauvaa uhusika mtu akipewa kipande chake cha kuigiza.
-kikubwa wawe na contents nyingi za kuigiza si kila siku kufirisika kwa makampuni.
 
Nmekua mtazamaji wa movie za ndani ya bongo na nje pia lakin hz za nje nmeangalia Zaid na nmeona Bado fursa zipo hapa home TZ kwa script writer sema changamoto ni mtaji. kama serikari yetu ingelikua inatia mkono kdogo kama ilivyo KOREA,CHINA naiman tungetengeneza vitu vingi sana vya maana.. fikiria tuna utajiri wa historia lakn hakuna movie iliyo base huko, tuna hifadhi ma zote hakuna movie Zaid ya royal tour aliye Fanya mama, tunamakabila Zaid ya 120 Sion hata makala yeyote yakuuza.. kiukweli Niko na idea nyingi sema tu sielew nianzie wap ila sio kutengeneza kama hz za Sasa zinazofanana.
 
Back
Top Bottom