comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,521
- 11,669
Una shda gan?Nisaidieni na mimi mtaalamu mmoja mwaminifu jamani
Una shda gan?Nisaidieni na mimi mtaalamu mmoja mwaminifu jamani
Kubwa mno na kubwa SanaUna shda gan?
Kama unaogopa kulisema hapa niambie dm nilipime kama kwenye list yangu kuna atakaelimuduKubwa mno na kubwa Sana
Mimi mahusianoNakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Daaah wanaume tunalogwa SanaMimi mahusiano
Uko mkoa gan?Mshana heshima yako mkuu. Mzee nahitaji msaada wako please!
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama wwNina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu

Acheni kutapeli watu kakaNjoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama ww
Usiwaze kutapeli je vibali tunavyopewa na serikali ni kuajili ya nnAcheni kutapeli watu kaka
Kwa ajili ya mitishamba ya polini sio kuagua sijui kufuta madeniUsiwaze kutapeli je vibali tunavyopewa na serikali ni kuajili ya nn
Sawa njoo inboxKwa ajili ya mitishamba ya polini sio kuagua sijui kufuta madeni
Ili ufanye nn kaka unanitapeli na mm familiaSawa njoo inbox
Hujapata shida wwMwamini Mungu tu