watoto wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona mke wake corporate feminist lady kakomea watoto wawili, katafuta mchepuko form 4 kafyatua watoto wanne, ni sawa ?

    Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza. Alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada Mke ni msomi mwenye degree...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

    1. Sitachoka kuwafundisha ninyi vijana. Maana wengi wenu hamkuishi na Wazee nazungumzia wazee waliozaliwa kabla ya mwaka 1940. Hao ndio Wababu. 2. Mtibeli nilibahatika kuishi na Wazee waliozaliwa miaka ya 1920-1945. Nikajifunza baadhi ya issues kutoka kwao. Na bahati nzuri walikuwa rafiki...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sijaoa nina watoto wawili, ndoa ya nini?

    Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana. Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe stress za bure wakati maisha yenyewe ndo haya na kila siku watu humu wanalialia kwa wanayopitia...
  4. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    Habari zenu wakuu? Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis. Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki. Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka...
  6. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

    Karibuni wakuu, Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Pesa inayofaa kuacha kwa matumizi ya familia yenye watoto wawili wasiozidi miaka 5

    Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo: Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuacha mke wangu niliezaa nae watoto wawili

    Amekua akininyima unyumba kwa muda sana kila nikihitaji amekua akitoa sababu mara naumwa kichwa mara miguu alaf siku zingine nikifanikiwa kusex nae hua ananipa kama kunisusia wala hajishughulishi si kwa sauti wala vitendo. Nimeishi nae takriban miaka 5. Watoto wangu ni wadogo sana Mkubwa na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Mbwa 22 walioua watoto wawili wamepigwa risali

    Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imefanikiwa kununua bunduki moja na kuanza kufanya msako wa kuua Mbwa, wanaozurura mitaani kiholela na kufanikwa kuua Mbwa 84 huku kundi la Mbwa 22 ambao walisababisha vifo vya watoto wawili wakiuawa kwa risasi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

    Tazama mwenyewe,
  11. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wenye uzito mkubwa wafikishwa Mloganzila

    Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi yanayowakabili. Akiongea baada ya kuwapokea Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura, Dkt. Asha Iyulla...
  12. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

    Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala. Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary. Wataalam...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Magu: Watoto wawili wauawa na fisi wakienda shule

    Haya yanatokea leo karne ya 21. Tunaweza vipi kuwa na huruma na wezi na wabadhirifu au matumizi mabaya (yasiyokuwa na ridhaa ya watu) ya mali za umma? -------- Mwanza. Wanafunzi wawili wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ilumya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamefariki katika matukio...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Watoto wawili wafariki kwa kula mboga yenye sumu, saba wanusurika kifo

    Watoto wawili wa Familia ya Tandula Ngasa, katika Kijiji Cha Mwakiloba Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamepoteza maisha na wengine saba kunusurika kifo baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Akiwa kwenye mkutano wa Jukwa la tatu la Ushirika Mkoa wa Simiyu ambapo alikuwa mgeni rasmi, Mkuu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watoto wawili watuhumiwa kumlawiti mdogo wao baada ya baba na mama kuikimbia familia

    Wakazi wa Kata ya Muriet, eneo la Barabara ya Nado, mitaa ambayo ni maarufu kwa jina la Muriet au Barabara ya East Afrika Mkoani Arusha, wamelalamikia kitendo cha wazazi wawili (mume na mke) kuwatelekeza watoto wao ambao wamejikuta wakiingia katika matatizo ya kimaadili. Inaelezwa kuwa Wazazi...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Moshi: Watoto wawili wa familia moja wateketea kwa moto

    Watoto wawili ambao ni wa kike na kiume, wenye umri wa miaka miwili na nusu na mwingine miaka miwili na miezi minne katika Kijiji cha Shinga, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuungua. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo, Februari...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Siku 9 tangu kutokea kwa Tetemeko, Wanawake watatu, watoto wawili wakutwa hai kwenye kifusi

    Wanawake waliokutwa hai ni Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wamwokolewa katika Mji wa Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikiwa inasafisha maeneo yaliyoathirika, wengine waliookolewa wanatokea Mji wa Antakya ambapo ni mama na watoto wake wawili. Jumla ya watu waliofariki kwa upande...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

    Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika. Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watoto wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu

    Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya. Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi lilipowalipukia. Wanakijiji wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa mabomu mengine yaliyoachwa maeneo hayo ili...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Watoto wawili wateketea kwa moto kwenye banda la kuku

    Watoto wawili Meshack Ndimbwa (6) na Agrey Mgimba (2) wamefariki dunia na mmoja kulazwa baada ya kuungua na moto wakiwa wanacheza kwenye banda la kuku kijiji cha Lugarawa Wilayani Ludewa mkoani Njombe. Akizungumza na Mwananchi leo Oktoba 31, Mwenyekiti wa kijiji cha Lugarawa amesema tukio...
Back
Top Bottom