Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Habarini wote.. Poleni kwa changamoto mbalimbali.. Natamani kuwasaidia ninapoweza Ila kwa bahati mbaya Sana kwa sasa sijishungulishi na habari zozote za ushirikina.. Niliacha mwaka 2023 na kuokoka
Kwasasa Mimi ni mtumishi wa Mungu.. Huko ndiko nilikojikita

Kwenye ishu za mahusiano na madeni zipo njia nyingine za asili zisizo na madhara ya maagano! Nikipata mojawapo sahihi nita share nanyi hapahapa kwa uwazi

Kuhusu waganga wa kienyeji konki msiingizwe mkenge na madalali wa ushirikina.. Epukeni kuchafuliwa miili yenu kwa madawa yasiyofaa na kuingizwa kwenye maagano mabaya
Wacha wewe,
Umeokoka wapi na jana tumeshinda wote Bar pale kibaha mkuu??
 
Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Kaka umesahau wale wa kumaliza Kesi za Mahakamani!
Na wale wa kutengeneza Ajali km za Boda ama Baiskeli
 
Back
Top Bottom