Clinton Manangwa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 214
- 219
- Thread starter
- #41
Ndio bei zake mkuu ikishuka sana ni 50K! Ukitaka za kitonga zile za 25K utapata ya 10,000maH
Nimewaambia niwape 50k wakagoma wakasema eti labda wanipe ambayo sio oraimo
Ndio bei zake mkuu ikishuka sana ni 50K! Ukitaka za kitonga zile za 25K utapata ya 10,000maH
Duka lao liko maeneo gani?Nimewaambia niwape 50k wakagoma wakasema eti labda wanipe ambayo sio oraimo
Duka lao liko maeneo gani?
Ambayo sio Oraimo wanaweza wakakupiga, Oraimo kidogo ni brand ambayo ina msimamo sokoni bora hio hio!Nimewaambia niwape 50k wakagoma wakasema eti labda wanipe ambayo sio oraimo
Ile ni OraimoAmbayo sio Oraimo wanaweza wakakupiga, Oraimo kidogo ni brand ambayo ina msimamo sokoni bora hio hio!
Hong Kong, ChinaWakuu natafuta Power Bank Orginal ambayo naweza kuchaji simu hata mara tatu kwa asilimia 100.
No ile Sio Oraimo ila ni brand nzuri kuliko Oraimo!Ile ni Oraimo
Yeah for sure iko vizuri sana...inatunza moto sanaNo ile Sio Oraimo ila ni brand nzuri kuliko Oraimo!
Oraimo is insanely expensive you would never get it in 25,000mAH bila 80K ama zaidi. Quality wise ni standard sio finest. Ni likes za Tecno itel ama Infinix against brands kama Sony, Samsung ama iPhone.
Wao 10,000mAh wanauza 35K na hawakubembelezi.
Yeah ishi nayo tu! Next time tutafta 30,000mAHYeah for sure iko vizuri sana...inatunza moto sana
Ndio bongo tulivyo tena hao Mwanza wana bei nafuu kidogo. Kenya kwa 60k ya kibongo unaichukua hiyoSawa hata oraimo wamenambia 85K
YeahYeah ishi nayo tu! Next time tutafta 30,000mAH
Ambayo sio Oraimo wanaweza wakakupiga, Oraimo kidogo ni brand ambayo ina msimamo sokoni bora hio hio!
Ndio bongo tulivyo tena hao Mwanza wana bei nafuu kidogo. Kenya kwa 60k ya kibongo unaichukua hiyo
Za kisasa ziko vzrMkuu mi nilizitumia enzi hizo hakuna sana simu za fast charge, ilikua ni ngumu sana kupata Power Bank ijaze smart phone mara 2
Labda kama una simu ya fast charge na kama power bank ina support nahisi inawezekana
Sawa mkuu
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
Bongo kuna oraimo original kwa sh 45K yenye 10000mahagiza mm niliagiza mobile WiFihotsport na pia power bank mah 6600 mah
natumia huu mwaka wa tatu ni tangu 2019
na nguvu ipo vilevile nikitumia kama hotspots nachaji mara 1 nikitumia km powebank pekee nachaji mara 2
natumia Samsung S7 edge+ battery lenye battery 3600mah
So agiza kwa manufactures wa uhakika ya 10000mah utaenjoy
ila ujiandae bei inaweza fika hata laki 2 na ushee
View attachment 1995944View attachment 1995949
Usiangalie tu hizo MAh ..hio powerbank ina sifa nyingi sana kwanzia ant scratch na vitu vingne...Okay mkuu kupitia wewe nimewatafuta Instagram wapo Mwanza wananiambia power bank 27000mh kwa 85k sijui napigwa mkuu.