Wapi nipate power bank orginal?

Wapi nipate power bank orginal?

agiza mm niliagiza mobile WiFihotsport na pia power bank mah 6600 mah
natumia huu mwaka wa tatu ni tangu 2019
na nguvu ipo vilevile nikitumia kama hotspots nachaji mara 1 nikitumia km powebank pekee nachaji mara 2
natumia Samsung S7 edge+ battery lenye battery 3600mah

So agiza kwa manufactures wa uhakika ya 10000mah utaenjoy
ila ujiandae bei inaweza fika hata laki 2 na ushee
images%20(36).jpg
images%20(35).jpg
 
View attachment 1995944View attachment 1995949

Okay safi sana sasa hatua zikoje za kuagiza mkuu hadi Wi-Fi
 
mkuu mimi nilimuagiza mtu directy kutoka china hicho kidude kilikuwa km dora 300 mtandaoni mana ndio vipya vilikuwa vinatoka
yeye nilimpal dora 200

so wewe pitia EBAY na AMAZON utapata powerbank nzuri huko utaagiza ila ukotaka hicho kimobile wife hotsport bei juu
 
Sawa mkuu asante sana
 
Okay ngoja niwasake mkuu kwani ww ulinunua wapi na matumizi yake yako pouwa?
Mimi sikununua powerbank wala sina uhitaji nazo. Oraimo sijajua ubora wa bidhaa zao ila najua unazidi wa Tecno na Infinix ingawa zina parent company moja.

Ningekushauri ulizia za Xiaomi muda fulani niliziona duka moja Kariakoo kuna jamaa ana bidhaa zao. Hizi ni uhakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom