Wapi nipate power bank orginal?

No ile Sio Oraimo ila ni brand nzuri kuliko Oraimo!

Oraimo is insanely expensive you would never get it in 25,000mAH bila 80K ama zaidi. Quality wise ni standard sio finest. Ni likes za Tecno itel ama Infinix against brands kama Sony, Samsung ama iPhone.

Wao 10,000mAh wanauza 35K na hawakubembelezi.
Yeah for sure iko vizuri sana...inatunza moto sana
 
Mkuu mi nilizitumia enzi hizo hakuna sana simu za fast charge, ilikua ni ngumu sana kupata Power Bank ijaze smart phone mara 2

Labda kama una simu ya fast charge na kama power bank ina support nahisi inawezekana
Za kisasa ziko vzr
 
agiza mm niliagiza mobile WiFihotsport na pia power bank mah 6600 mah
natumia huu mwaka wa tatu ni tangu 2019
na nguvu ipo vilevile nikitumia kama hotspots nachaji mara 1 nikitumia km powebank pekee nachaji mara 2
natumia Samsung S7 edge+ battery lenye battery 3600mah

So agiza kwa manufactures wa uhakika ya 10000mah utaenjoy
ila ujiandae bei inaweza fika hata laki 2 na ushee
View attachment 1995944View attachment 1995949
Bongo kuna oraimo original kwa sh 45K yenye 10000mah
 
Okay mkuu kupitia wewe nimewatafuta Instagram wapo Mwanza wananiambia power bank 27000mh kwa 85k sijui napigwa mkuu.
Usiangalie tu hizo MAh ..hio powerbank ina sifa nyingi sana kwanzia ant scratch na vitu vingne...

Ina mfumo wa power delivery almaharufu kama PD maswala ya quantity charge QC...unaweza icharge kwa watts 18 pia unaweza toa watts 18 ukachajia device zako za type C ..upande wa 5v inatoa 3A ambayo ni kubwa simu pekee ninayojua inapokea 3A ni huawei flagship moja hivi zingne ziko kwenye 2A kushuka chini

Japo zingne zinapokea volt 9 kwa 1.67A

Hizi kina infinix smart 5 sijui zipi zipi ni 5V na 1.3A

Mimi simu yangu inakubali 2A na inaonesha kabisa current inayoingia ..kwa hio powerbank yoyote ya oraimo kwangu inapeleka fasta hata nyie wenye simu za type watts 15 kuendelea unachukua ile oraimo yenye fast charging utakuta imeandikwa watts 18

Me nataka nunua yenye 10000mah week hii kwa 45K bei ya insta sijajua huku wataniuzia ngap

Kuhusu bei hio ya elf 85 ninsawa kabisa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom