Wapi nipate power bank orginal?

Kama upo Geita chukuq Oraimo hapo stand ya chai bora Mwanza Oraimo ni bora maana kwa Bongo option nyingine zote utazokuta za Brand kubwa kama Samsung na Huawei zinakua ni copy na fake, kikubwa Oraimo utaikuta ina QR code ingia kwenye websites yao na Scan kama ni genuine au la.
 
Asante sana mkuu
 
Mimi sikununua powerbank wala sina uhitaji nazo. Oraimo sijajua ubora wa bidhaa zao ila najua unazidi wa Tecno na Infinix ingawa zina parent company moja.

Ningekushauri ulizia za Xiaomi muda fulani niliziona duka moja Kariakoo kuna jamaa ana bidhaa zao. Hizi ni uhakika

Asante sana mkuu
 
Kama upo Geita chukuq Oraimo hapo stand ya chai bora Mwanza Oraimo ni bora maana kwa Bongo option nyingine zote utazokuta za Brand kubwa kama Samsung na Huawei zinakua ni copy na fake, kikubwa Oraimo utaikuta ina QR code ingia kwenye websites yao na Scan kama ni genuine au la.
Huu ni ukweli brands nyingine zote wanazotumia wabongo ni fake. Mpaka ununue kwa official dealer au mtu unayemjua vyema
 
Hapo tunalinganisha bidhaa ya kampuni isiyokosekana kwenye top 5 ya wauzaji wa units nyingi za simu duniani, kampuni ambayo bidhaa zake zinauzika masoko yote ulimwenguni (Xiaomi). Dhidi ya Oraimo ambao wana wateja Afrika pekee.

Ila chukua Oraimo haitakuwa na shida

Okay mkuu kupitia wewe nimewatafuta Instagram wapo Mwanza wananiambia power bank 27000mh kwa 85k sijui napigwa mkuu.
 
Back
Top Bottom