Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Kama umechoka na maisha ya bongo ninakushauri katika nchi ulizozitaja bora uende nchini Botswana katika nchi za bara Asia nenda Japan au South Korea Au brunei..
Katika nchi za Bara la ulaya nenda ireland au Sweden, au Ujerumani, au Switzerland, au Belgium Au Kanada au Australia
Nipe Tarehe uliyozaliwa na mwezi wako nipate kukupa ushauri wa nchi gani ya dunia inayo kufaa kwenda kuishi na kuweza kufanikiwa kimaisha
20th May
 
Kuna uzi humu ilikuwa unaelezea fursa za biashara zilizoko kwenye visiwa vya comoro na Mauritius na ulikuwa uzi poa sana nakumbuka na wadau wakawa wameanza organize kusafiri kwenda kwa pamoja ku confirm hizo fursa, ilikuwa inasifika kuwa matunda na mbogamboga za majani ukipeleka kwa hivyo visiwa unapiga super normal profit... Kama kuna anayeukumbuka anitag hapa ulikuwa na madini mengi sana
 
Nchi ya ushelisheli au ina watu laki mbili kitakupa nini...

Kisiwa cha Seychelles kinazidiwa fursa na kisiwa cha Gozba, kipo Muleba.

Ushauri wangu katafute maisha Muleba
 
Hizo nchi ulizotaja zote ni poor economically na kwenye kila kitu ukilinganisha na Tanzania. Baki hapahapa. Kama umeshindwa kutafuta hapa huko ni kwenda kujitafutia kifo.

Msijidanganye kwamba kubadilisha location bila research na plans ita-reset chances zako za kufanikiwa to factory default. Ni kujiombea kifo.
 
Nenda Mali ama ghana fursa ni mtaji wako, Ukipenda Toka Na Maparachichi ya Kienyeji Makubwa Utaheshimika Hapo Ghana.. ama kama uko na mil2 tofauti na mambo ya usafiri Mali kodisha kiwanja bei nafuu fanya kilimo.
 
Hahah Uoga wa Mtu ndio unaochelewesha Mafanikio
Kupanga ni kuchagua
fanya machaguzi vyema, Na Tanzania Usidanganywe Sio nchi Pekee Ambayo ina Marketing nzuri Hapa Africa Sio Kweli Ghana Kunao kunao masoko mengi kulik hapa mzunguko wa Ela South Africa sio kama hapa Tanzania
 
Nenda Mali ama ghana fursa ni mtaji wako, Ukipenda Toka Na Maparachichi ya Kienyeji Makubwa Utaheshimika Hapo Ghana.. ama kama uko na mil2 tofauti na mambo ya usafiri Mali kodisha kiwanja bei nafuu fanya kilimo.
Ghana ni free visa ila Ghana 🇬🇭 sio nchi poa uchumi mgumu
 
Back
Top Bottom