ha haaa, best hala hala hiyo wiki panya asiingie kwenye hiyo dust bin, mbona itakuwa majanga! chupi za wiki nzima!mimi huwa nakadust bin kangu ka chupi
wiki nzima nikivua nazitupa huko
wkend naloweka kama lisaa nazifua mdogomdogo nasugua nasuuza fresh naanika kwenye kamba mchana live
haya mambo ya kufua chupi na maji uliyoogea yenye mapovu ya sabuni ndo maana mafangasi hayawaishi huko down
kuna watu uchi umezeeka maana..sabuni na uvundo vimezila
kama huwezi kutunza chupi asi usivae
na wewe rafiki unavaa msuli?Vaa msuli kuepuka adha ya kukosa pa kuanikia chupi yako.
ha ha. nimelipenda hili jibuMpe huyo bibie mwambie pse nianikie hii nguo.
ha haaa, don't worry handsome, ntakununulia soonUkinitafutia Cutie nitauvaa lol!!!
pole kwa yote yaliyokukuta. Lakina kuanika chupi kwenye bafu la pamoja kt nyumba ya kupanga ni kukosa nidhamu, ndo maana jirani alikukomesha. Pili uliingiaje bafuni/ chooni huku mke wa jirani akioga?
ha haaa, don't worry handsome, ntakununulia soon[/QUOTE]
ewww!! grossNikakumbuka miaka ile ninasoma Marangu Sec, tulikuwa tunaanika chupi mwisho wa kitanda, June/July wakati hazikauki hata siku tatu. Hii ilichangia sana wizi wa chupi.
i can't imagine NOT wearing undies. i used to spend a lot of time getting those flashy/cool designs. there was a brand i used in 2010 but i forgot the shop niliponunua. I've given up on ever getting them again :disapointed:Faida za kutovaa pichu:
Unapunga upepo full time
unaokoa muda wa kuvua na kuvaa
unaokoa gharama za kununua, kurepair na kufua
kwani chupi za wiki nzima ni ngapi dear? sometimes sivai ujue ...unaweza kukuta moja tu niliyoendea kanisaniha haaa, best hala hala hiyo wiki panya asiingie kwenye hiyo dust bin, mbona itakuwa majanga! chupi za wiki nzima!
\Mwanzoni nilikuwa nikianika bafuni, kuna siku tumbo la kuaibisha likanishika. Nikatoka nduki hadi bafuni kwetu ambako choo na bafu viko ndani ya chumba kimoja, huko kilichonitokea sitakaa nisahau. Nilikuta mke wa mpangaji mwenzangu akiitumia chupi yangu niliyokuwa nimeifua asubuhi kujisugulia mwilini mwake. Tumbo langu la kuhara likaishia hapo na yule bibie sikumuuliza kisa cha yeye kuifanya chupi yangu dodoki lake la mwilini. Tangu siku hiyo nikawa naanika chumbani.
Jana nimetembelewa na mke wangu mtarajiwa. Yeye anajiendeleza katika chuo cha mahakama kilichopo Lushoto.
Alipoona chupi nimeanika chumbani akaanza nigombeza kuwa ni mwiko na aibu kuanika chupi chumbani. Nimejaribu kumuuliza kuwa nianike wapi? Badala ya kunielewesha kaanza kunilaumu kuwa simjali wala simsikilizi. Mimi ni mtu jeuri nisiyemthamini na kumuenzi.
Tangu jana hadi muda huu kanuna.
Jamani wana MMU nyie chupi zenu mnaanika wapi nami nije kuanika yangu?
Msuli ukikudondoka ndipo utakapo ona raha zaidisisi watu wa gahwa tunavaa msuli tu tena tunakwenda comando kama unaweza Bujibuji jaribu kuvaa msuli na usivae kitu ndani halafu katiza barabara ya Jangwani utajisikia raha kweli