Wapi nianike Chupi yangu?

Mwanzoni nilikuwa nikianika bafuni, kuna siku tumbo la kuaibisha likanishika. Nikatoka nduki hadi bafuni kwetu ambako choo na bafu viko ndani ya chumba kimoja, huko kilichonitokea sitakaa nisahau. Nilikuta mke wa mpangaji mwenzangu akiitumia chupi yangu niliyokuwa nimeifua asubuhi kujisugulia mwilini mwake. Tumbo langu la kuhara likaishia hapo na yule bibie sikumuuliza kisa cha yeye kuifanya chupi yangu dodoki lake la mwilini. Tangu siku hiyo nikawa naanika chumbani.

Jana nimetembelewa na mke wangu mtarajiwa. Yeye anajiendeleza katika chuo cha mahakama kilichopo Lushoto.
Alipoona chupi nimeanika chumbani akaanza nigombeza kuwa ni mwiko na aibu kuanika chupi chumbani. Nimejaribu kumuuliza kuwa nianike wapi? Badala ya kunielewesha kaanza kunilaumu kuwa simjali wala simsikilizi. Mimi ni mtu jeuri nisiyemthamini na kumuenzi.
Tangu jana hadi muda huu kanuna.
Jamani wana MMU nyie chupi zenu mnaanika wapi nami nije kuanika yangu?

.......ulichukua muda gani kumtizama kwa makini na ukagundua dodoki ni kufuli lako?
 
kwanini ukonde kaka mkubwa? nguo zote tunazofua tunaanika nje juani, hizo nazo ni nguo za kawaida yafaa kuanikwa nje juani! sasa pole yako ikiwa imetoboka kama hii

374940_293257847375887_868562802_n.jpg

au
302218_185733054832117_8109993_n.jpg
au uanike kama hivi hapa

428255_10151343110867829_1360268432_n.jpg

Lol, nimecheka sana jamani, kweli hii ya mwisho chupi unayovaliwa au!!! Mweeee!!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Kweli kuna malimwengu! Tangu uanze kujua kuvaa chupi ulikuwa unaanika wapi? au ndio nyie mkinunua chupi mpya mnajidai mmesahau bafuni wakati mnajua kuna wapangaji watatumia bafu. Karne hii bado yupo mtu hajui mahali sahihi pa kuanika chupi! Anika juu ya meza ya kulia chakula kana kwamba upo manzese unauza mitumba
 
Mwanzoni nilikuwa nikianika bafuni, kuna siku tumbo la kuaibisha likanishika. Nikatoka nduki hadi bafuni kwetu ambako choo na bafu viko ndani ya chumba kimoja, huko kilichonitokea sitakaa nisahau. Nilikuta mke wa mpangaji mwenzangu akiitumia chupi yangu niliyokuwa nimeifua asubuhi kujisugulia mwilini mwake. Tumbo langu la kuhara likaishia hapo na yule bibie sikumuuliza kisa cha yeye kuifanya chupi yangu dodoki lake la mwilini. Tangu siku hiyo nikawa naanika chumbani.

Jana nimetembelewa na mke wangu mtarajiwa. Yeye anajiendeleza katika chuo cha mahakama kilichopo Lushoto.
Alipoona chupi nimeanika chumbani akaanza nigombeza kuwa ni mwiko na aibu kuanika chupi chumbani. Nimejaribu kumuuliza kuwa nianike wapi? Badala ya kunielewesha kaanza kunilaumu kuwa simjali wala simsikilizi. Mimi ni mtu jeuri nisiyemthamini na kumuenzi.
Tangu jana hadi muda huu kanuna.
Jamani wana MMU nyie chupi zenu mnaanika wapi nami nije kuanika yangu?
Bujibuji kwanza umenichekesha sana na thread yako, labda nianze hv,
Watu wa pwani hawana kawaida ya kuvaa chupi sijui kwa nini ila wanavaa misuli sana labda ndo hiyo joto kali na kujifanya wanapunga hewa.
Watu wengine hasa wa zamani walikuwa hawavai chupi kabisa hasa wa kiume coz walikuwa wanaamini ukivaa chupi mwanaume dushelele yako inabanwa na haiwi kubwa yaani haiongezeki hivyo kuiacha wazi ni kuifanya izidi kuwa kubwa kadri unavyokuwa sehemu nyingine za mwili nayo inakuwa.
Wamasai nao hawavai chupi hasa na zile lubega zao upepo ukija mambo njenje, kidoogo siku hizi wanavaa pensi ndani ila nao sababu ni hizohizo za kuacha dushelele iwe kubwa na ndefu ili kumfurahisha mama yoyoo.
Wanaume wa siku hizi hawavai tena chupi, wanavaa boxer, chupi zimebakiwa kwa wanawake hivyo ukisema mwanaume unavaa chupi watu wanakutazama mara mbilimbili.
Back to the topic, mahali pa kuanikia chupi kwa mazingiora uliyonayo kama itakulazimu kuendelea kuvaa basi uwe unaanika pembeni ya dirisha lako ili mwanga wa nje na hewa visaidie kuikausha vizuri ila ukipata mgeni tuu kabla hajaingia unaingie wewe unaondoa makafyondo yote kisha unamkaribisha pakiwa safi. Na ukijua atakuja kesho basi leo uandae mazingira kabisa sio mtu aje kutoka huko asome ramani zako zote vibaya hivyoooo.
Waweza fanya maamuzi mapya ya kuendelea kuvaa chupi, au hamia boxer na uwe nazo nyingi au uwe unavaa na kutupa au usivae kabisa kama Kongosho looh!!
 
Last edited by a moderator:
mimi huwa nakadust bin kangu ka chupi
wiki nzima nikivua nazitupa huko
wkend naloweka kama lisaa nazifua mdogomdogo nasugua nasuuza fresh naanika kwenye kamba mchana live
haya mambo ya kufua chupi na maji uliyoogea yenye mapovu ya sabuni ndo maana mafangasi hayawaishi huko down
kuna watu uchi umezeeka maana..sabuni na uvundo vimezila

kama huwezi kutunza chupi asi usivae
Umeanza kuvaa siku hizi
 
kwani chupi za wiki nzima ni ngapi dear? sometimes sivai ujue ...unaweza kukuta moja tu niliyoendea kanisani
ha haaa, hiyo kiboko.....
mimi nabadili kila nikioga, sasa inategemea nimeoga mara ngapi kwa siku, min ni mara 2..... sasa piga mahesabu hapo panya akiingia si majanga?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huwa sielewi kwa nini unadhani wakati wa kuoga maji yanakuwa na mapovu ya sabuni so hayafai kufulia vyupi

mimi huwa nakadust bin kangu ka chupi
wiki nzima nikivua nazitupa huko
wkend naloweka kama lisaa nazifua mdogomdogo nasugua nasuuza fresh naanika kwenye kamba mchana live
haya mambo ya kufua chupi na maji uliyoogea yenye mapovu ya sabuni ndo maana mafangasi hayawaishi huko down
kuna watu uchi umezeeka maana..sabuni na uvundo vimezila

kama huwezi kutunza chupi asi usivae
 
kabanga umeua, hizo nazo ni chupi? maisha bora kwa kila mtanzania
 
Last edited by a moderator:
Hadi leo bado wavaa kyupi? Tupa kule, hujui climate change imeondoa umaana wa kyupi

Kongosho huyu bujibuji si ni mwanaume tena hajakata ile kitu ya mbele, sasa asipovaa pichu si hatari jamani. fikilia kitu imesimama haina pichu ya kuzuia.
 
sakapal babu yangu aliniusia kuwa nikitaka kumridhisha mwanamke ni lazima nivae chupi ya mpira aina ya V I P. Hii chupi ina madini siri ambayo huongeza uimara wa kiungo burudani na kukufanya uchelewe kuufikia mshindo.
Chupi zangu za V I P ni urithi pekee nilioachiwa na babu yangu
Bujibuji kwanza umenichekesha sana na thread yako, labda nianze hv,
Watu wa pwani hawana kawaida ya kuvaa chupi sijui kwa nini ila wanavaa misuli sana labda ndo hiyo joto kali na kujifanya wanapunga hewa.
Watu wengine hasa wa zamani walikuwa hawavai chupi kabisa hasa wa kiume coz walikuwa wanaamini ukivaa chupi mwanaume dushelele yako inabanwa na haiwi kubwa yaani haiongezeki hivyo kuiacha wazi ni kuifanya izidi kuwa kubwa kadri unavyokuwa sehemu nyingine za mwili nayo inakuwa.
Wamasai nao hawavai chupi hasa na zile lubega zao upepo ukija mambo njenje, kidoogo siku hizi wanavaa pensi ndani ila nao sababu ni hizohizo za kuacha dushelele iwe kubwa na ndefu ili kumfurahisha mama yoyoo.
Wanaume wa siku hizi hawavai tena chupi, wanavaa boxer, chupi zimebakiwa kwa wanawake hivyo ukisema mwanaume unavaa chupi watu wanakutazama mara mbilimbili.
Back to the topic, mahali pa kuanikia chupi kwa mazingiora uliyonayo kama itakulazimu kuendelea kuvaa basi uwe unaanika pembeni ya dirisha lako ili mwanga wa nje na hewa visaidie kuikausha vizuri ila ukipata mgeni tuu kabla hajaingia unaingie wewe unaondoa makafyondo yote kisha unamkaribisha pakiwa safi. Na ukijua atakuja kesho basi leo uandae mazingira kabisa sio mtu aje kutoka huko asome ramani zako zote vibaya hivyoooo.
Waweza fanya maamuzi mapya ya kuendelea kuvaa chupi, au hamia boxer na uwe nazo nyingi au uwe unavaa na kutupa au usivae kabisa kama Kongosho looh!!
 
Last edited by a moderator:
sakapal babu yangu aliniusia kuwa nikitaka kumridhisha mwanamke ni lazima nivae chupi ya mpira aina ya V I P. Hii chupi ina madini siri ambayo huongeza uimara wa kiungo burudani na kukufanya uchelewe kuufikia mshindo.
Chupi zangu za V I P ni urithi pekee nilioachiwa na babu yangu

Heheheheee sie wakina dada ilikuwa chupi za taiwan enzi hizo rangi ilikuwa nyeupe au nyeusi au nyekundu weeeh ukiivaa siku hiyo kwenye rede lazima sketi ipandishwe juu makusudi unajidai machejo kumbe unataka tuu chupi ionekane au mkicheza vichupa ukaa vibaya ili ionekane na watu zamani ilikuwa raha sana hehehehe tulikuwa tunacheza watoto wa kiume na wa kike wala hapakuwa na shida yoyote, sio sikuhizi ni balaa.
Sasa pia hizo chupi zenu za VIP nilisikia zilikuwa na tabia ya kukatika pale katikati sasa ukute mvulana anacheza mpira inapanda juu ya kaptura unaistukia iko kifuani watu weweeee unazani wanakushangilia unavocheza mpira kumbe wanacheka chupi yako imekatika hahahahahahahaaa.
Haya bana Bujibuji urithi mwema ulioachiwa na babu yako nakuombea ukutunzie hazina yako barabara.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom