Wapi nianike Chupi yangu?

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,162
Likes
40,565
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,162 40,565 280
Mwanzoni nilikuwa nikianika bafuni, kuna siku tumbo la kuaibisha likanishika. Nikatoka nduki hadi bafuni kwetu ambako choo na bafu viko ndani ya chumba kimoja, huko kilichonitokea sitakaa nisahau. Nilikuta mke wa mpangaji mwenzangu akiitumia chupi yangu niliyokuwa nimeifua asubuhi kujisugulia mwilini mwake. Tumbo langu la kuhara likaishia hapo na yule bibie sikumuuliza kisa cha yeye kuifanya chupi yangu dodoki lake la mwilini. Tangu siku hiyo nikawa naanika chumbani.

Jana nimetembelewa na mke wangu mtarajiwa. Yeye anajiendeleza katika chuo cha mahakama kilichopo Lushoto.
Alipoona chupi nimeanika chumbani akaanza nigombeza kuwa ni mwiko na aibu kuanika chupi chumbani. Nimejaribu kumuuliza kuwa nianike wapi? Badala ya kunielewesha kaanza kunilaumu kuwa simjali wala simsikilizi. Mimi ni mtu jeuri nisiyemthamini na kumuenzi.
Tangu jana hadi muda huu kanuna.
Jamani wana MMU nyie chupi zenu mnaanika wapi nami nije kuanika yangu?
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
391
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 391 180
Hadi leo bado wavaa kyupi? Tupa kule, hujui climate change imeondoa umaana wa kyupi
 
aikaruwa1983

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
1,400
Likes
1,254
Points
280
aikaruwa1983

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
1,400 1,254 280
mdau mpaka leo wavaa chupi duh utamtia kilema huyo..... subiri waje wavaaji
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Likes
241
Points
160
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 241 160
mimi huwa nakadust bin kangu ka chupi
wiki nzima nikivua nazitupa huko
wkend naloweka kama lisaa nazifua mdogomdogo nasugua nasuuza fresh naanika kwenye kamba mchana live
haya mambo ya kufua chupi na maji uliyoogea yenye mapovu ya sabuni ndo maana mafangasi hayawaishi huko down
kuna watu uchi umezeeka maana..sabuni na uvundo vimezila

kama huwezi kutunza chupi asi usivae
 
N

Nalonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Messages
220
Likes
24
Points
35
N

Nalonga

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2010
220 24 35
kwa afya anika juani....mbona hakuna shida ktk hilo,chupi zenyewe si mali kitu siku hizi....wamachinga wanatembeza mikononi,zinamwaga barabarani.....kujipa fangazi wa bure kwa kuanika ndani wamuogopa nani hasa???
 
Mlandege

Mlandege

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Messages
1,091
Likes
299
Points
180
Mlandege

Mlandege

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2012
1,091 299 180
"Boxer" ni neno la kigeni lenye kumaanisha nguo ya ndan ya kiume kwa muktadha huu,yangu mm huanika nje ili ikauke kwa jua,
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,422
Likes
7,511
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,422 7,511 280
Mpe huyo bibie mwambie pse nianikie hii nguo.
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Likes
241
Points
160
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 241 160
Mpe huyo bibie mwambie pse nianikie hii nguo.
huyo mwanamke nae mshambaa unaenda kwa mwanaume badala amwambie mambo au apige mizinga ya maana anaenda kuchungulia vyupi vimefuliwaje?uuuuuhhhh.....inahusu nini ata avae nepi?,,,,ukute hapo hata nauli ya bodaboda hakupewa
 
simbamzeewamwakidila

simbamzeewamwakidila

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Messages
1,350
Likes
213
Points
160
simbamzeewamwakidila

simbamzeewamwakidila

JF-Expert Member
Joined May 4, 2013
1,350 213 160
kama kwao ni mwiko akuambie yeye wapi. vitasa vianikwe
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,019
Likes
5,336
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,019 5,336 280
kwanini ukonde kaka mkubwa? nguo zote tunazofua tunaanika nje juani, hizo nazo ni nguo za kawaida yafaa kuanikwa nje juani! sasa pole yako ikiwa imetoboka kama hiiau
au uanike kama hivi hapa

Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
Mwanzoni nilikuwa nikianika bafuni, kuna siku tumbo la kuaibisha likanishika. Nikatoka nduki hadi bafuni kwetu ambako choo na bafu viko ndani ya chumba kimoja, huko kilichonitokea sitakaa nisahau. Nilikuta mke wa mpangaji mwenzangu akiitumia chupi yangu niliyokuwa nimeifua asubuhi kujisugulia mwilini mwake. Tumbo langu la kuhara likaishia hapo na yule bibie sikumuuliza kisa cha yeye kuifanya chupi yangu dodoki lake la mwilini. Tangu siku hiyo nikawa naanika chumbani.

Jana nimetembelewa na mke wangu mtarajiwa. Yeye anajiendeleza katika chuo cha mahakama kilichopo Lushoto.
Alipoona chupi nimeanika chumbani akaanza nigombeza kuwa ni mwiko na aibu kuanika chupi chumbani. Nimejaribu kumuuliza kuwa nianike wapi? Badala ya kunielewesha kaanza kunilaumu kuwa simjali wala simsikilizi. Mimi ni mtu jeuri nisiyemthamini na kumuenzi.
Tangu jana hadi muda huu kanuna.
Jamani wana MMU nyie chupi zenu mnaanika wapi nami nije kuanika yangu?
huyo mchumba wako anamapepo.
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,620
Likes
120
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,620 120 145
Anika kwenye kamba nje
 
Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Messages
1,314
Likes
17
Points
135
Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2012
1,314 17 135
Du! Kiongozi bado wavaa kyupi! Bora boxer mwonekano wake unaanika hadharani kama uko kwenye upangaj wachumba! Lakini kama uko kwako sidhani kama inasumbua kuanika hata kama ni kyupi!
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,229
Likes
4,623
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,229 4,623 280
Wakati unafua, fua na nguo nyingine kama shati au shuka, anika nje funikia na shuka au sharti.
 
Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,632