wewe ni she au he...?..tuanzie hapo
Mtafute erickb52 nifundi mzuri sana na anapatikana pale karibia na soko la kilombero, kwa sasa anaringa sana kwani bado anayo pesa ya sensa!
Mtafute erickb52 nifundi mzuri sana na anapatikana pale karibia na soko la kilombero, kwa sasa anaringa sana kwani bado anayo pesa ya sensa!
Habari wana jf,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza!!
Nilikua naulizia sehemu nayoweza pata fundi mzuri wa kulekebisha nguo zangu
Maeneo! Along njiro road!! Town if possible
Mara ya mwisho kuonana na huyu Bwana alikuwa fundi viatu. Ina maana aliongeza ujuzi? Kudos ErickB52
Eh kumbe yupo Kilombero?...Nilisikia alikosa nafasi pale NMC baada ya kufukuzwa katikati ya mji....Kibanda chake kilikuwa pale soko kuu..
Njiro ni ishu..aende mtaa wa Ndovu au msikiti mkuu au sokoni stapata wazee wa ukweli....mmmh kama fundi cherehani sijui kama utawapata maendeo ya njiro...
ila kama fuuuuuuuuuuuunndiiiii hebu nenda hapo IAA utapata fuuuuuuuuuuuundi nguo wazuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri...
kwa msaada zaidi Erickb52 njoo pande hizi puliziii
huyu jamaa ni maltipapasi hapa Atown, alikuja home kipindi cha kuhesabu watu(sensa) tena dodoso refu, naona bado anavichenchi vya sensa
Hahaaaa pale nilishahama...niko huku cafe la aziziMtafute erickb52 nifundi mzuri sana na anapatikana pale karibia na soko la kilombero, kwa sasa anaringa sana kwani bado anayo pesa ya sensa!
Hahaaaa pale nilishahama...niko huku cafe la azizi
Habari wana jf,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza!!
Nilikua naulizia sehemu nayoweza pata fundi mzuri wa kulekebisha nguo zangu
Maeneo! Along njiro road!! Town if possible
Heheheeee pale ndio Arusha sasa...yan kati kweli...biashara ipo kijana😛ound:😛ound:ulihama uliamishwa?? kama huko Cafe la aziz siku sio nyingi utakua mpiga debe hapo stendi.
Hahahaaa Mzee wa Rula unampeleka kwa wauza Tanzanite?Mshikaji umedropp jana toka mamtoni nini???? Yaani kweli hujui hata fundi cherehani walipo katika jiji la Arusha!!!!
Njoo mitaa ya Town basi karibu na St Thomas Hospital wamejaa tele hapo hata ukitaka kushona suti utawapata.