wapi naweza pata fundi wa kurekebisha nguo ARUSHA

wapi naweza pata fundi wa kurekebisha nguo ARUSHA

vaikojoel,nenda krokon ndo kuna mafundi wa ku-pimp nguo,erickb52 anawekaga viraka tu,,krokon noma,ni ma-designer,wanatengeneza hadi chupi za mikono mirefu.
 
Last edited by a moderator:
najua njiro hakuna mafundi cherehani, nikahisi anatafuta 'fuuuuuuuuuuundi cherehani' ndo nikamwelekeza pale chuo...

naomba niulize,kama fundi anayeshona nguo anaitwa fundi cherehani,je yule anayetengeneza cherehani anaitwaje?
 
Last edited by a moderator:
mmmh kama fundi cherehani sijui kama utawapata maendeo ya njiro...

ila kama fuuuuuuuuuuuunndiiiii hebu nenda hapo IAA utapata fuuuuuuuuuuuundi nguo wazuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri...

kwa msaada zaidi Erickb52 njoo pande hizi puliziii

Napitaga apo mara moja moja!! Hehehehe mafuuundi wa mifuko tu awa watoto
 
Last edited by a moderator:
Mitaa ile St Thomas kama unashuka chini kisha ukakata kulia ukiwa unatokea juu kama unaelekea ilipo shell ya BP karibu na Jubilee kuna mafundi wengi sana wa cherehani pale mkuu.

Thanks mkuu!!
Apo kama napasoma!! Naanzia pale juu kwa wamasai wanouza kokoto sijui!walizoshika sampuli mkononi pale hospitalini!ntaulizia pande za jubilee
 
Matatizo ya kuvaa mitumba, toka enzi za Mwinyi mlivyokuwa nchi maskini Duniani, msha-pandishwa hadhi na Kikwete, sasa hivi hamko hata katika kumi bora kwa umaskini Afrika, nyie bado tu! acheni kuvaa mitumba. Mtakufa maskini.

Halafu oohhh, "tunataka viwanda", mnataka viwanda huku mnatumia mitumba ya kila kitu?

Maaweee!

Mkuu
Binafsi navaa both!! Mitumba na za dukani
Kama wewe mshepu wako upo parallel na nguo za dukani,ambazo ni chaguo lako bila hata kuzi edit kwa fundi hongera zako
Ila binafsi napata sometimes nguo nazozipenda but zahitaji kuwa adjusted kidogo
Ooooh!!nenda kijijini kamwage povu lako uone kama hawajakufanya mbolea wakupande!!
 
Bora umewaambi wewe mheshimiwa zomba manake nshasema mpaka nkachoka. Wanashindwa kuitumia serikali 'sikivu' ya KJ? Kirefu chake.....ngoja Erickb52 akiamka atakwambia au hata maamay Mungi.
Yaelekea wewe ni kibadilika sana!!au utakua very famous umu chit chat!!yani usipo comment ata kipovu watu wanakumiss
Anyways thanks kwa mchango wako awali!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu
Binafsi navaa both!! Mitumba na za dukani
Kama wewe mshepu wako upo parallel na nguo za dukani,ambazo ni chaguo lako bila hata kuzi edit kwa fundi hongera zako
Ila binafsi napata sometimes nguo nazozipenda but zahitaji kuwa adjusted kidogo
Ooooh!!nenda kijijini kamwage povu lako uone kama hawajakufanya mbolea wakupande!!

Inabidi muelimishwe sana kuhusu vitu vya mitumba vinavyochangia kuuwa uchumi wa nchi zinazoendelea. Siwashangai sana kwa kuikosa hiyo elimu kwani wale mnaidhani wanawapa elimu, ukweli ni kuwa wanawajaza ujinga.

Kama hamtoanza kubadilika na kuuwa biashara za mitumba basi ujuwe Tanzania itaendelea kuwa maskini kwa miaka mingi ijayo, Ni vigumu sana kubadili ujinga na hautoki kwa kwenda kwenye kuta nne za darasani ambazo hufundishwi madhara ya mitumba kwenye nchi zinazoendelea.
 
Yaelekea wewe ni kibadilika sana!!au utakua very famous umu chit chat!!yani usipo comment ata kipovu watu wanakumiss
Anyways thanks kwa mchango wako awali!

Kiasi tu vaikojoel, siyo ki-vile sana......
 
Last edited by a moderator:
Inabidi muelimishwe sana kuhusu vitu vya mitumba vinavyochangia kuuwa uchumi wa nchi zinazoendelea. Siwashangai sana kwa kuikosa hiyo elimu kwani wale mnaidhani wanawapa elimu, ukweli ni kuwa wanawajaza ujinga.

Kama hamtoanza kubadilika na kuuwa biashara za mitumba basi ujuwe Tanzania itaendelea kuwa maskini kwa miaka mingi ijayo, Ni vigumu sana kubadili ujinga na hautoki kwa kwenda kwenye kuta nne za darasani ambazo hufundishwi madhara ya mitumba kwenye nchi zinazoendelea.

Changes sijakataa zinaitajika! But your problem is you need to capsize gafla to attain izo changes!!things like poor economy was distorted during the period ata babu yako ajui kutongoza!!utumwani uko ndipo uchumi uliyumbishwa!! Sio leo!!'Wahiyo nasi ku get back itachukua mda sio leo
 
Njiro kwa matajiri jamani haturuhusu fundi wa kurekebisha nguo, zikileta mushkeli tunazipeleka krokoni wanazipiga bei. Ukitaka cherehani jaribu Kiding'a kule kwa kina Filipo. Bottom line hakuna cherehani NJIRO. SOURCE: mtoa mada kakosa kote.

huku kwetu hatushoni nguo. Pale kwenye tatizo tunafunga na pini! Lol...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom