Waandishi wa Habari Mikoani tunaangaika kupata Press Card

KwetuKwanza

Member
Mar 13, 2023
34
82
Moja ya mujukumu ya Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, imekuwa ni kutoa vitambulisho kwa waandishi wa Habari (PRESS CARD).

Kwa muda mrefu sasa, ili Mwandishi wa Habari hasa wale wa Mikoa tofauti na Dar es Salaam na Dodoma, wakihitaji hivyo vitambulisho lazima kusafiri kufuata Dodoma au Dar es Salaam.

Hili jambo limekuwa na usumbufu Mkubwa kwa waandishi wa Habari, limesababisha zaidi ya asilimia 70 ya waandishi kufanya kazi bila ya hivi vitambulisho.

Mathalani hivi vitambulisho utaona umuhimu wake pindi wanapofanya ziara Viongozi wakuu wa kitaifa kwenye Mikoa yetu, lkn Mwandishi anayefanya kazi Dar es Salaam na Dodoma ni Muhimu kuwa na kitambulisho hiki cha serikali.

Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kwa muda mrefu sasa tumelalamikia hili jambo lakn halifanyiwi kazi, waandishi kutoka Mikoa tofauti na hiyo miwili, tunaangaika sana kuvipata.

Kutokana na ubora na hadhi ya kitambulisho hicho, asilimia kubwa tumekuwa tukitamani kuvipata, lkn utakuta asilimia Moja au mbili ndiyo wenye hicho kitambulisho kwenye Mkoa.

Umbali wa kupata hivyo vitambulisho ndiyo tatizo kubwa, Angalia hapa ili upate hicho kitambulisho inahitajika sh. 30,000 tu pamoja na kujaza fomu.

Kila Mwaka tumekuwa tunalipia Sh. 30,000 kupata Press Card, Lakini tatizo limekuwa ni kwa jinsi gani unaweza kupata.

Mfano Mwandishi wa Habari kutoka Kagera, Kigoma, Mara, atatakiwa kusafiri siku nzima au siku Moja Kabla, ili afike Dodoma au Dar es Salaam, na atatakiwa kuwa na nauli isiyopungua Laki mbili(200,000) kwenda na kurudi.

Hapo haujaweka pesa ya Hotel au Guest, kwa siku kama mbili hv kiwango cha chini Sh. 20,00 kwa siku, siku mbili 40,000, Chakula kwa siku zote akiwa Dodoma au Dar es Salaam na njiani wakati wa kwenda na kurudi siyo chini ya Sh. 40,000 au 50,000 hapo amejibana jumla anaweza kutumia kama 350,000 Hadi 400,000 kufuata kitambulisho cha Sh.30,000.

Kwa kweli haya ni mateso makubwa kwa waandishi wa Habari ambao hawana mishahara, Bima, Wala kesho ya maisha yao, waandishi wa Habari ambao wanategemea Posho ili kuishi, wanategemea Wadau ili kujua kesho yao. (Hili kila mmoja analifahamu).

Mwandishi mwenye Maisha ya hivyo, atapata wapi Laki tatu Hadi nne, kufuata kitambulisho cha Sh. 30,000? Huu ni usumbufu na mateso makubwa kwa waandishi, ndiyo maana mpaka sasa ukija Mkoani unaweza kukuta waandishi wote Mkoa mzima hawana Press Card, siyo kwamba hawataki ila uwezo wa kuvipata hatuna.

Gharama ya Sh. 30,000 kama ada ya Press Card kuipata siyo tatizo kwa waandishi wengi, lkn tatizo linakuja gharama za kufuata hiyo Press Card ni kubwa kuliko uwezo wa waandishi.

Licha ya kuwa ni usumbufu na mateso kwa waandishi wa Habari, lakini Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali inakosa mapato, maana inao wajibu wa kukusanya maduhuri ya serikali kupitia press Card hizo.

Press Card kuendelea kupatikana Dodoma na Dar es Salaam ni mateso makubwa kwetu, ni mnatufanya waandishi wa Habari kuwa watumwa, uko nyuma tulishauri angalau hizi Press Card zipatikane mikoa ambayo ni Makao makuu ya Kanda, mfano Kanda ya ziwa ni Mwanza, Kati ni Dodoma, Kaskazini ni Arusha, Kusini Ni Mbeya.

Tumeshauri sana hili jambo kwa Viongozi mbalimbali wa taasisi hii, lakini nadhan kutokana na waandishi wa Habari kudhalaulika basi wamekuwa hawachukulii umuhimu hata kidogo jambo hili.

Mpaka Sasa tangu Mwaka huu umeanza waandishi wa Habari wengi wa mikoani hatuna hivi vitambulisho, mfano kwenye Mkoa wangu ambao Kuna waandishi zaidi ya 100 hakuna Mwandishi hata mmoja mwenye Press Card na Mwaka Jana waliokuwa navyo walikuwa watano tu.

Tunaiomba Ofisi ya Habari Maelezo kusikia hiki kilio chetu waandishi wa Habari wa Mikoani, itafute Njia rafiki kwetu tupate hizi Press Card, kwani wengi tunapenda sana kuwa nazo na uwezo wa kulipia 30,000 tunao ila hatuna uwezo wa nauli hadi Dodoma au Dar es Salaam.

Tuliwahi kushauri kwa sasa serikali imejitahidi kuajiri Maafisa Habari wa Mikoa kwenye Ofisi za wakuu wa Mikoa, jambo ambalo tunaamini Hawa ni Maafisa kamili wa serikali basi hizi press Card zipitie kwao ili waandishi tupate kwa urahisi.

Au yatolewe Maelekezo kila Mwandishi anayehitaji press Card apelele pesa zake kwa Afisa Habari wa Mkoa na aorodheshe jina lake hata kama mtawaambia waandishi waongezee 10,000 ya usafiri sisi tuko tayari maana hiyo tunaweza kumudu Lengo tupate Press Card.

Kuna Njia nyingi na rahisi zenye uhakika ambazo Habari Maelezo wanaweza kuzitumia waandishi wa Habari tukasaidiwa kuzipata hizi Press Card kwa urahisi bila kutuumiza, ila Tatizo nadhan Viongozi waliopo hawaoni umuhimu wa jambo hili.
 
Hatari sana,ndo maana wengi tunaishia kuwa na vitambulisho vya waajiri badala ya press card.
Ni urasimu usiokuwa na sababu za msingi,yaani kila Mwaka unaomba press card utadhani ni bima ya magari,kwa nini isitolewe kwa miaka mitano au kwa sababu ni chanzo Chao cha mapato?,wakale wapi?
 
Pamoja na kula lakini hawavileti asee ipo haja ya kuwepo siku ya hukumu (kutoka kwa Mungu) kila mtu apate haki aliyodhulumiwa
 
NA HIZI PRESS CARD SI NDO MNATUMIA KUINGILIA MPIRANI BURE..?? LAKINI NYIE HAO HAO KUTWA KUCHA KUWASEMA WASHABIKI WA YANGA KUWA WANAINGIA MPIRANI BURE..!!
 
Tatizo mnatetea agenda za wakubwa hata kama zina mlengo mbaya kwa jamii kweli malipo ni duniani mbinguni mahesabu.
 
Mwandishi gani wewe hata lugha yako kiswahili huijui?
Tunaangaika
TUNAHANGAIKA
 
Hao wanaovitoa hivyo vitambulisho ni watu wasiojali ofisi zao. Wao wanasubiri TRA wakusanye mapato ili wao walipwe mishahara, hawataki kukusanya na wao.

Kwani wanashindwa kuwatumia waandishi wa habari vitambulisho kwa njia ya EMS baada ya kujaza fomu kwa njia ya mtandao?
 
Moja ya mujukumu ya Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, imekuwa ni kutoa vitambulisho kwa waandishi wa Habari (PRESS CARD).

Kwa muda mrefu sasa, ili Mwandishi wa Habari hasa wale wa Mikoa tofauti na Dar es Salaam na Dodoma, wakihitaji hivyo vitambulisho lazima kusafiri kufuata Dodoma au Dar es Salaam.

Hili jambo limekuwa na usumbufu Mkubwa kwa waandishi wa Habari, limesababisha zaidi ya asilimia 70 ya waandishi kufanya kazi bila ya hivi vitambulisho.

Mathalani hivi vitambulisho utaona umuhimu wake pindi wanapofanya ziara Viongozi wakuu wa kitaifa kwenye Mikoa yetu, lkn Mwandishi anayefanya kazi Dar es Salaam na Dodoma ni Muhimu kuwa na kitambulisho hiki cha serikali.

Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kwa muda mrefu sasa tumelalamikia hili jambo lakn halifanyiwi kazi, waandishi kutoka Mikoa tofauti na hiyo miwili, tunaangaika sana kuvipata.

Kutokana na ubora na hadhi ya kitambulisho hicho, asilimia kubwa tumekuwa tukitamani kuvipata, lkn utakuta asilimia Moja au mbili ndiyo wenye hicho kitambulisho kwenye Mkoa.

Umbali wa kupata hivyo vitambulisho ndiyo tatizo kubwa, Angalia hapa ili upate hicho kitambulisho inahitajika sh. 30,000 tu pamoja na kujaza fomu.

Kila Mwaka tumekuwa tunalipia Sh. 30,000 kupata Press Card, Lakini tatizo limekuwa ni kwa jinsi gani unaweza kupata.

Mfano Mwandishi wa Habari kutoka Kagera, Kigoma, Mara, atatakiwa kusafiri siku nzima au siku Moja Kabla, ili afike Dodoma au Dar es Salaam, na atatakiwa kuwa na nauli isiyopungua Laki mbili(200,000) kwenda na kurudi.

Hapo haujaweka pesa ya Hotel au Guest, kwa siku kama mbili hv kiwango cha chini Sh. 20,00 kwa siku, siku mbili 40,000, Chakula kwa siku zote akiwa Dodoma au Dar es Salaam na njiani wakati wa kwenda na kurudi siyo chini ya Sh. 40,000 au 50,000 hapo amejibana jumla anaweza kutumia kama 350,000 Hadi 400,000 kufuata kitambulisho cha Sh.30,000.

Kwa kweli haya ni mateso makubwa kwa waandishi wa Habari ambao hawana mishahara, Bima, Wala kesho ya maisha yao, waandishi wa Habari ambao wanategemea Posho ili kuishi, wanategemea Wadau ili kujua kesho yao. (Hili kila mmoja analifahamu).

Mwandishi mwenye Maisha ya hivyo, atapata wapi Laki tatu Hadi nne, kufuata kitambulisho cha Sh. 30,000? Huu ni usumbufu na mateso makubwa kwa waandishi, ndiyo maana mpaka sasa ukija Mkoani unaweza kukuta waandishi wote Mkoa mzima hawana Press Card, siyo kwamba hawataki ila uwezo wa kuvipata hatuna.

Gharama ya Sh. 30,000 kama ada ya Press Card kuipata siyo tatizo kwa waandishi wengi, lkn tatizo linakuja gharama za kufuata hiyo Press Card ni kubwa kuliko uwezo wa waandishi.

Licha ya kuwa ni usumbufu na mateso kwa waandishi wa Habari, lakini Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali inakosa mapato, maana inao wajibu wa kukusanya maduhuri ya serikali kupitia press Card hizo.

Press Card kuendelea kupatikana Dodoma na Dar es Salaam ni mateso makubwa kwetu, ni mnatufanya waandishi wa Habari kuwa watumwa, uko nyuma tulishauri angalau hizi Press Card zipatikane mikoa ambayo ni Makao makuu ya Kanda, mfano Kanda ya ziwa ni Mwanza, Kati ni Dodoma, Kaskazini ni Arusha, Kusini Ni Mbeya.

Tumeshauri sana hili jambo kwa Viongozi mbalimbali wa taasisi hii, lakini nadhan kutokana na waandishi wa Habari kudhalaulika basi wamekuwa hawachukulii umuhimu hata kidogo jambo hili.

Mpaka Sasa tangu Mwaka huu umeanza waandishi wa Habari wengi wa mikoani hatuna hivi vitambulisho, mfano kwenye Mkoa wangu ambao Kuna waandishi zaidi ya 100 hakuna Mwandishi hata mmoja mwenye Press Card na Mwaka Jana waliokuwa navyo walikuwa watano tu.

Tunaiomba Ofisi ya Habari Maelezo kusikia hiki kilio chetu waandishi wa Habari wa Mikoani, itafute Njia rafiki kwetu tupate hizi Press Card, kwani wengi tunapenda sana kuwa nazo na uwezo wa kulipia 30,000 tunao ila hatuna uwezo wa nauli hadi Dodoma au Dar es Salaam.

Tuliwahi kushauri kwa sasa serikali imejitahidi kuajiri Maafisa Habari wa Mikoa kwenye Ofisi za wakuu wa Mikoa, jambo ambalo tunaamini Hawa ni Maafisa kamili wa serikali basi hizi press Card zipitie kwao ili waandishi tupate kwa urahisi.

Au yatolewe Maelekezo kila Mwandishi anayehitaji press Card apelele pesa zake kwa Afisa Habari wa Mkoa na aorodheshe jina lake hata kama mtawaambia waandishi waongezee 10,000 ya usafiri sisi tuko tayari maana hiyo tunaweza kumudu Lengo tupate Press Card.

Kuna Njia nyingi na rahisi zenye uhakika ambazo Habari Maelezo wanaweza kuzitumia waandishi wa Habari tukasaidiwa kuzipata hizi Press Card kwa urahisi bila kutuumiza, ila Tatizo nadhan Viongozi waliopo hawaoni umuhimu wa jambo hili.
Safi sana
Waendelee kukaza mpaka vichwa viwakae sawa. Mmezidi kujipendekeza na uchawa na sasa mnapangwa kama nazi sokoni.

Endeleeni kupigwa za utosi hadi akili ziwarudie akilini
 
Back
Top Bottom